rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Rushwa ni adui wa haki kwa Mtanzania mpenda maendeleo

    Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote. Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya nchi yake. Tukisema rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania hatukosei hata kidogo walio wahi kutana na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Mashirika binafsi ya Uchunguzi (private investigation companies) yatatokomeza Rushwa

    Serikali ya Tanzania, Lini tutaweka nia Kuhakikisha tunachodhamilia, kinatokea?! Rushwa ni adui wa maendeleo Anaitesa Tanzania mawio mpk machweo Waulize mama ntilie wakujibu kwa kilio, Halafu huwezi amini inawapendelea wenye vyeo. Rushwa ni janga Hatutaweza kujenga Tukiendelea kujiganga...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu endelea kugawa Ulichonacho (Elimu ya Katiba) na uache kulalamika juu ya vinavyotolewa na wengine

    Maandiko yanasema Wana wa ngurumo Petro, Yakobo na Yohana hawakuwa na Fedha bali walichokuwa nacho ni "Kumpa yule Mlemavu wa Miguu Kutembea". Yule mlemavu alikaa pale akiamini Fedha (Madera na tukutuku) ndio uponyaji wake lakini Wana wa Ngurumo wakampa Kutembea (Elimu) naye akasimama na kwenda...
  4. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mawaziri Serikali ya Awamu ya Sita wamekuwa na Utajiri wa ghafla usio kifani

    Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa...
  5. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kuvuma kwa watoto wa Marais Awamu ya Nne na ya Sita Taasisi ya Urais haioni kama inatia aibu?

    Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi! Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Lissu amesema Abdul Halima Ameir (mtoto wa Rais Samia) aliwahi kutaka kumpa rushwa

    Salaam Wakuu, Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza. Je, kauli hii ni kweli? Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika --- Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

    Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka". Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ataka wabadhirifu na wezi waombewe ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke!

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke. Amesema haiwezekani Rais Samia anahangaika kutafuta fedha ndani na...
  9. Blender

    JamiiForums Tanzania BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

    Nawasalimu Kwa USD dollars. Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS). Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company. Najua humu JF kuna wadau...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwarobaini wa Bima ya afya kwa wote na rushwa kwenye vituo vya afya

    Katika huduma ambayo inazidi kuwa ghali na inachukua maisha ya watu wengi ni ukosefu wa huduma bora za afya Wakati mwingine watu hupoteza maisha si kwa kutokuwepo kwa madawa au wataalamu wa afya wenye uwezo bali ni kwasababu ya kukosa pesa za kugharamia matibabu na kutoa hongo kwa wahudumu...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Butiku: Acheni kumchangia Rais Samia fomu ya kugombea Uras, kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa. Butiku...
  12. U

    JamiiForums Tanzania SoC04 Muarobaini wa rushwa

    Adui wa haki kwa miaka yote ni rushwa.rushwa limebaki kua fumbo zito kwa nchi nyingi duniani kulitatua ikiwemo nchi yangu pendwa Tanzania, ni Imani yangu kama usipopatikana muafaka wa hili suala ni wazi hatuwezi kufikia Tanzania tunayoitaka. Kuna wakati nimekua nikikaa nikitafakari jinsi nchi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

    Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania. ==== The concession agreement for 30 years has been signed...
  14. Juma jaibu kuhanga

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tindikali ya rushwa Tanzania

    Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo ambacho kinakawamisha maendeleo katika jamii yeyote hile kwani inazuia haki ya watu wengine. kuna mambo...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Vijana achaneni na siasa, hailipi. Pesa ndiyo inalipa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye uchaguzi huchaguliwi! Pale ambako mwanasiasa anakwambia siasa hailipi! Kama hailipi mbona haachi...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa

    Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ado Shaibu akiwa kwenue mjadala wa X (Twitter ya JamiiForums) ametoa mchango wake kuhusu rushwa. Akitoa hoja hiyo anasema: Tunatakiwa kuangalia vyama vyetu ya Siasa vina maslahi gani dhidi ya Rushwa, mfano huko nyuma Rais wa Awamu ya Tano aliwahi kutaka kurasimisha...
  17. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Jackson Mmari: Tatizo la Rushwa linaanza na Mtazamo wa Mwananchi mwenyewe

    JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Utafiti wangu niliofanya nimebaini tatizo la Rushwa linaanza na muono wa Mwananchi mwenyewe, mazingira yanaonesha anakuwa hatarini kutoa Rushwa kutokana na mazingira na tabia yake Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

    Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi juu ya tuhuma za baadhi ya Trafiki kuhusika na uchepushaji wa fedha

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo". Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
  20. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Afisa Ardhi apokee rushwa mbele ya Mkuu wa Mkoa na Rais Mwinyi?

    Katikati Hali ya kushangaza sna Jana mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paulo makonda aliwaamuru takukuru kumkamata afsa ardhi bwan mwakyola kwa kutuhuma za kupokea rushwa kiasi Cha shilingi milion tano mbele ya RC na mbele ya rais Mwinyi. Rc makondaa alisema "huyu bwan alivyo wa aajbu alipewa...
Back
Top Bottom