robert

The name Robert is an ancient Germanic given name, from Proto-Germanic *Hrōþi- "fame" and *berhta- "bright" (Hrōþiberhtaz). Compare Old Dutch Robrecht and Old High German Hrodebert (a compound of Hruod (Old Norse: Hróðr) "fame, glory, honour, praise, renown" and berht "bright, light, shining"). It is the second most frequently used given name of ancient Germanic origin. It is also in use as a surname. Another commonly used form of the name is Rupert.
After becoming widely used in Continental Europe it entered England in its Old French form Robert, where an Old English cognate form (Hrēodbēorht, Hrodberht, Hrēodbēorð, Hrœdbœrð, Hrœdberð, Hrōðberχtŕ) had existed before the Norman Conquest. The feminine version is Roberta. The Italian, Portuguese, and Spanish form is Roberto.
Robert is also a common name in many Germanic languages, including English, German, Dutch, Norwegian, Swedish, Scots, Danish, and Icelandic. It can be used as a French, Polish, Irish, Finnish, Romanian, and Estonian name as well.

View More On Wikipedia.org
  1. eze malongo

    Naomba kumfahamu vizuri Shaaban Robert

    Ndugu zangu hivi history ya mwandishi nguli hapa Tanzania Shaaban Robert imehifadhiwa wapi? Nimesikia alifanya makubwa sana katika sekta ya Lugha lakini watu hawamuenzi ipasavyo, tasnia ya lugha hamzungumzii kwa lolote licha ya vitabu vyake kufanya vizuri A level secondary lakini ni kama...
  2. Sky Eclat

    Robert De Niro amepata mtoto wake wa saba akiwa na umri wa miaka 79

    Robert De Niro ni mwenye asili ya Italia ingawa alizaliwa katika kitongoji cha Manhattan, New York City. alizalwa mwaka 1943. Kwa sasa anafanya shughuli zake uigizaji Hollywood nchini Marekani. Moja ya sinema alizocheza na kuapata umaarufu mkubwa inaitwa Casino iliyotoka mwaka 1995.
  3. Lycaon pictus

    Utubora mkulima by Shaaban Robert

    KUACHA KAZI Baada ya kutoka Burma, siku moja, Utubora alisimama katika ofisi mbele ya tajiri wake kumwambia kuwa alitaka kuacha kazi. Kazi yake ilikuwa ukarani katika ofisi kubwa ya biashara ya karafuu. Mshahara wa Utubora ulikuwa simulizi karibu katika Unguja nzima; ilisemwa pia kuwa uliwatia...
  4. D

    Je, unakubali ndoa au unakataa?

    Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forums baina ya team mbili 1) KATAA NDOA 2)KUBALI NDOA Kwa upande kataa ndoa muwakilishi ROBERT HERIEL aliandika uzi huu "Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi" Kwa upande wa kubali ndoa ni MSHANA JR Kaandika uzi huu "Malezi...
  5. BARD AI

    Chris Brown amuomba msamaha Mshindi wa Tuzo ya GRAMMY, kutokana na post yake iliyohoji "Robert Glasper ni nani"?

    Chris Brown amemuomba msamaha Robert Glasper baada ya kumkashifu kufuatia kushindwa kwake katika uwaniaji wa Tuzo ya Grammy. Mwimbaji huyo wa "Under the Influence" ameweka picha Instagram ikiwa ujumbe wa moja kwa moja aliotuma kwa Glasper ambapo akimpongeza mwanamuziki huyo kwa kushinda Albamu...
  6. K

    Kwako rafiki Ndugu Robert Heriel

    Katika makala yako kuhusu Mayahudi kumkataa Yesu, moja ya sababu umesema ni kwa sababu Yesu huyu tumjuae sisi hakuzaliwa kutoka kwa ukoo wa Daud kama ilivotabiriwa bali alizaliwa kutokana na Roho Mtakatifu litu ambacho hakikutabiriwa hivyo. Sasa swali langu ni kwamba, katika akili ya kawaida...
  7. wilcoxon

    Treni ya kisasa ya Dkt. Mwakyembe na Dkt. Robert Shumake kwa mkoa wa Dar es Salaam iliishia wapi?

    Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
  8. Mr Pixel3a

    Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

    Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time. Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...
  9. ERTUGRUL BEY

    Sijajutia kuonana na Robert Kiyosaki

    Kuna watu ukikutana nao katika Maisha Yako hakika unapata madini ya kutosha Katu hujutii Muda ulio upoteza kukaa nao kwani unapata mengi ya kujifunza. Na ndivyo ilivyotokea kwangu,huyu bwana ni motivational speaker na mwandishi WA vitabu mbali mbali katika Kada ya biashara na maendeleo binafsi...
  10. K

    Liberata Mulamula ni Robert Ouko mwingine?

    Liberata Mulamula inaelekea alikuwa anapata sifa sana kwa viongozi wa nje na kuna washauri hawajapendezwa na hili. Hii imesababisha washauri kuanza kuongelea mipaka na mambo mengine. Ushauri Rais usiweke uwoga sana kwa wasaidizi wako hata kama wamekuzidi kielimu au kupendwa. Usiogope wasaidizi...
  11. MIXOLOGIST

    Hatimaye Shaban Robert mwandishi nguli aeinziwa Kenya na mawakili wa Dr. Ruto

    Wasalam wana JF Je ni kweli Raila anaifanya Kenya kuwa nchi ya Kusadikika? Si maneno yangu bali ya mawakili wa Ruto kama video inavyojieleza
  12. JanguKamaJangu

    Hatimaye Barcelona yakubaliwa kumsajili Robert Lewandowski

    Klabu ya Barcelona hatimaye imekubaliwa dili la kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski kwa ada ya Pauni Milioni 42.5. Kilichobaki ni kukamilisha mchakato wa usajili, akitarajiwa kusafiri leo Julai 16, 2022 kutoka Ujerumani kuelekea Hispania baada ya makubaliano ya klabu...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Wajua nini kilichomfanya Harmonize kujiita "Robert"?

    JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"? Anaandika, Robert Heriel. Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Kwema Wakuu! Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo; 1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana. Jua...
  15. JanguKamaJangu

    Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena amtembelea Jenerali mstaafu Robert Mboma

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amemtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali (Mstaafu) Robert Philemon Mboma nyumbani kwake Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumjulia hali. Waziri Stergomena amemtembelea Jenerali Mboma akiwa ni mwendelezo...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Ujasusi Macho Manne

    UJASUSI MACHO MANNE! Anaandika, Robert Heriel. Nilianza kuvutiwa na Ujasusi nikiwa Kidato cha pili huko Makanya, Kwa mara ya Kwanza Neno Ujasusi nililipata miaka hiyo nikisoma Biblia, kisa cha Kwanza cha Ujasusi kilichowazi nilikipata kwenye Kisa cha Yusufu alivyowaambia Ndugu zake wamekuja...
  17. Aliko Musa

    KITABU #2.02; Successful Real Estate Investing (Kuwekeza Kwenye Majengo Kwa Mafanikio Na Robert Shemin)

    Kwenye uchambuzi unaofuata nitakuwa nakushirikisha makosa matatu (3) au zaidi kila siku. Kitabu hiki hakina sura, hivyo nitakushirikisha namba za makosa hadi kufikie kosa la 75 kwenye kitabu hiki. KOSA #01; Kutokuanza Kuwekeza Mapema Kwenye Ardhi Na Majengo. Hili ni kosa kubwa sana ambalo...
  18. Roving Journalist

    Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
  19. The unpaid Seller

    Nampongeza Robert Hariel kwa uandishi wake wakini hapa JF

    Nitoe pongezi kwa ROBERT HERIEL nimekua msomaji wa maandiko yake mengi humu JF na nikiri wazi kua kijana huyu (naamini ni mwanaume kutokana na hulka na uandishi wake) analenga taswira chanya katika kila andiko lake. Hana tabia ya kupindisha ukweli ili kupeti peti wanajukwaa, jamaa atasema...
  20. N

    CEO Barbra kakiwasha South Africa Rise FM, Show ya Robert Marawa apangua fitina zote

    Alikuwa live kwenye show kubwa ya redio ya michezo iliyo hosted na yule mtangazaji maarufu Robert Marawa aliyekuwa mtangazaji wa supersport na mchumba wa zamani wa bOONGE MOJA LA DEMU liitwalo Pearl Thusi Back to the point, ni kwamba CEO kamchachana sana yule kocha katoa ushahidi wa kila aina...
Back
Top Bottom