Sijajutia kuonana na Robert Kiyosaki

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
3,527
6,523
Kuna watu ukikutana nao katika Maisha Yako hakika unapata madini ya kutosha Katu hujutii Muda ulio upoteza kukaa nao kwani unapata mengi ya kujifunza.

Na ndivyo ilivyotokea kwangu,huyu bwana ni motivational speaker na mwandishi WA vitabu mbali mbali katika Kada ya biashara na maendeleo binafsi Kwa ujumla wake,,,hutembea inchi mbali mbali kutoa semina na warsha katika kuwahamasisha watu kufikia malengo Yao.

Kuna mambo kadhaa alinifundisha nami ningependa tushee wote ili sote tufaidike Kwa pamoja,kwani hakuna kitu kizuri kama kugawa love Kwa ndugu zako.

Hapa tutajifunza nidhamu ya matumizi ya fedha na kwakiasi gani tukijitahidi kufuata madini haya tutakuwa na uhakika wa fedha kuwa nasi siku zote,fuatana nami ule asali!

ASSET NA LIABILITY

Asset
Kwa lugha rahisi kabisa ni vile vitu ambavyo hukuingizia fedha mfukoni mwako,Kwa mfano Ajira Kwa kulipwa mshahara unaingiza pesa mfukoni, uwekezaji katika biashara kama duka,gari la biashara,nyumba ya kupangisha na kadhalika.
Vitu hivi na vingine vingi ndio tunaita Asset,Kwa maana vinakujaza wewe hela mfukoni mwako.

Liability Kwa lugha rahisi ni vile vitu au mambo ambayo yanatoa hela mfukoni mwako,mfano gari la kutembelea utahitaji kutoa hela kununua mafuta,vipuli,kulipia bima, kama umepanga utatoa hela kulipia Kodi ya nyumba, na mahitaji yako ya kila siku ni sehemu ya liability.

Sasa ili uwe na hela na kuwa na Amani siku zote inahitajika Asset iwe kubwa kuliko Liability, au Kwa lugha nyepesi Mapato yawe makubwa kuliko matumizi au matumizi yawe madogo kuliko kipato chako,na hapa ndo penye shida Kwa watu wengi! Ndio maana kila siku ikifika nusu mwezi Tu mshahara umekata na unaanza kukopa,Kwa maana nyingine mshahara wako hautoshelezi kupata mahitaji yako ya mwezi mzima.

Kubwa kuliko yote ishi Chini ya kipato chako,fanya bajeti zako lakini hakikisha unaishi kutokana na kipato chako,ebu kagua matumizi yako binafsi yakoje,kuna vitu huenda unaviona vidogo lakini ndio vinakufanya kila siku hela yako haifiki mwisho wa mwezi,kagua matumizi yako ya Simu,je kuna haja gani ya kuongea na mtu Kwa Simu Kwa Mda mrefu,unakuta mtu anaongea na Simu nusu saa au lisaa lizima na hakuna Jambo lolote la maana,hii itakufanya ununue Mda wa maongezi kila mara na hivyo kufanya matumizi yasiyo na msingi,je unatumiaje bando lako la internet,kuna haja gani ya kuangalia kila kitu ktk mitandao,unapoteza bando Kwa kuangalia sijui vichekesho tik tok na upuuzi mwingine mwingi Tu,hayo ni matumizi mabaya ya fedha yako,unajikuta bando limekata kwakuwa ushapata uraibu basi wajikuta wanunua tena bando,mwisho wa mwezi ukipiga mehesabu umetumia 30,000 au 40,000 kununua bando Kwa kuangalia mambo yasiyo na maana.

Wavuta sigara ndio watu ambao hutumia hela nyingi Sana Bila wao kujua,anatoa shilingi 30 au 50 kununua sigara moja,Kwa kuangalia ni hela ndogo,lkn piga hesabu Kwa siku kavuta sigara ngapi na kwa mwezi sigara ngapi,utastaajabu ni hela nyingi Sana,juzi mdogo wangu alinionyesha takwimu vitu ambavyo vinaongoza kuingiza mapato serikalini hatukuamini pombe IPO nyuma ya sigara,na tena naona tumbaku ndo ya Kwanza Kwa mapato.

Wanywaji vile vile WA pombe wenyewe wanaita vyombo, wanatumia hela mingi Sana Kwa mambo ambayo hayana faida yoyote Sana Sana wanajipa maradhi Tu,hawa hawana tofauti na wavuta sigara,wote hawa wanatumia hela ovyo na wanachangia kujipa maradhi.

Nimegusia hayo Kwa uchache Tu,Kikubwa ni kukagua matumizi yako,je kuna ulazima WA kufanya matumizi ambayo hayana faida na wewe,ukiji chunguza Kwa Makini na kukata baadhi ya matumizi utaona kuna hela ambayo utaiona na itakusaidia kufanya mambo mengine.

Jinsi hela inavyozidi kuongezeka ndivyo inavyokufanya au kukupa tamaa ya kuitumia zaidi,pambana na tamaa yako,Kwa kufanya hivyo utafanikiwa. Ukiwa na hela utatamani ununue Simu mpya,ununue nguo mpya,inakushawishi kufanya matumizi yasiyo ya lazima. Kama Simu yako ni nzima kuna haja gani ya kununua Simu nyingine? Kama Una nguo za kutosha je kuna haja gani ya kutaka kwenda na kila fashion inayoingia mtaani? Na hii inawahusu Sana wanawake,kila fashion unataka isikupite iwe kwenye nguo,mabegi,viatu na kadhalika,utalazimika kuwa na matumizi ya fedha yasiyo ya lazima,usiwe mtumwa wa fashion,idhibiti tamaa yako na hela utaiona kila siku.

Ukiwa na hela nyingi, kama Zamani ulikuwa unakunywa chai ya 2000 basi ujue sasa hivi utakunywa chai ya 5000,kama ukijitahidi kukomaa na chai ya 2000 kama Zamani inamaana hapo utasave 60,000 Kwa mwezi,na hapo sijazungumzia chakula cha mchana,unaona mwisho wa mwezi utajikuta Una hela nzuri Tu ambayo unaweza kuisave na kuifanyia uwekezaji katika Jambo lingine.

Kuna watu ambao unaweza kuwaona ni wabahili wanaenda na lunch box zao ofisini,lakini hawa wanajielewa Sana kwani wameshapiga hesabu na kuona wakienda na chakula Chao kutoka nyumbani mwisho wa siku wanaokoa kiasi Fulani cha fedha na kuwawezesha kufanya mambo mengine ya maendeleo,ndo Ile unaona wenzako wanajenga unashangaa! Huyu tunalipwa mshahara Sawa mbona mwenzangu anafanya maendeleo?

Inanikumbusha ndugu yangu mmoja yeye alikuwa dereva kiwanda cha Serengeti lakini wenzake ni sales man,Kwa kawaida wenzake ndio wanakipato kizuri zaidi,lakini waliendekeza starehe Sana,mwisho wa siku mkataba wa kazi ukaisha,ndugu Yangu alipanga chumba na vitu ndani na wao hata sturi hawana. Hawakuwa Makini na matumizi ya fedha zao.

Kuna haja gani ya nyinyi Dada zangu kila shughuli mnataka mhudhurie na huku mnashona Sare mpya kila siku,hapo hujaweka hela ya kutunza. Je Kwa staili hii ya Maisha kwanini siku zote usiwe na madeni,au usiishiwe na hela?.

Mwisho nimalizie Kwa kusema hela haitakiwi ikae bank Tu Bila sababu ya msingi,hela inatakiwa izalishe ili iongezeke zaidi,matajir wote ni watu wenye kufanya investment. Wekeza hata kwenye vibiashara vyenye faida ndogo lakini mwisho wa siku unaongeza kipato,chukua Kwa mfano umewekeza biashara ambayo inakupa faida ya 5,000 Kwa siku,hiyo ina maana Kwa mwezi unapata 150,000, je chukulia unazo kama mbili tatu je kwa mwezi na Kwa miezi kadhaa utakuwa na shilingi ngapi? Wenye kujua namna hela inavyofanya kazi hawadharau hata buku moja,kwani hata laki moja ilianzia na buku.

Siku zote wenye nidhamu ya fedha ndio wanao fanikiwa siku zote
,ndio maana we angalia jamii inayo kuzunguka wale tunao waita wabahili ndio ambao wanafanikiwa. Ingawa niweke angalizo ubahili usipitilize na kukufanya ukashindwa kula vizuri na kulala pazuri kwani afya yako ni muhimu zaidi.

Kwenu vijana wenzangu,usafiri sio anasa ni hitajio muhimu kukutoa sehemu moja na kwenda nyingine,lakini kipato chako kinakuruhusu kumiliki gari? Kuna watu Wana miliki magari lakini Maisha Yao ni adhabu tosha,kila siku wanapata stress ya kupata hela ya mafuta,kufanya service na kulipia bima,hayo sio matumizi mazuri ya fedha zako,jipange Kwanza wekeza na kisha ndio ununue gari,mshahara wako hautakiwi uhudumie gari lako Bali biashara yako nje ya mshahara ndio inatakiwa uhudumie gari yako,na kwakufanya hivyo kipato chako kitakutosha na hautakuwa na stress.

Robert Kiyosaki aliniambia kwamba yeye,alinunua gari Kali ya kifahari mara baada ya uwekezaji wake kufanya vizur,Ile faida aliyopata ndio akajizawadia gari Kali la kifahari,kumbuka huyu ni Tajir ambaye afanye kazi na asifanye kazi hela inaingia Tu mfukoni kwake kwasababu amewekeza vya kutosha.

Matajir huwa Wana nidhamu kubwa Sana ya pesa na ndio maana wanafanikiwa.

Mambo ni mengi na Mda ni mchache kwa Leo! muishi na hayo madini na kubwa zaidi ni kuyafanyia kazi.

Ni hayo tu
 
Wa kwanza kabisa siti ya kushoto!!
 
Siku za nyuma niliwahi shusha uzi wa "UTAMBUZI NA MAFANIKIO".
Na niliwahi andika

Kanuni nyepesi ni hii:

SALIO = Mapato - Matumizi.

Kinachochangia salio lako liwe kubwa sio mapato yako; bali nidhamu katika matumizi yako.!

Ahsante kwa kuniongezea ujuzi mkuu,nimebeba kitu hapo.

Sikutoka mtupu nilipo toka kujifunza.
 
Pamoja Sana mkuu tupo pamoja!

Shukrani.
 
Ulikutana nae wapi huyu Mjepu? Atakuwa kazeeka sana, maana anaitafuta 80.
 
Ndio huyu jamaa aliyeandika kitabu cha The rich Dad and poor Dad? MaJuzi alishauri watu wawekeze kwa kununua Dhahabu na Silver wakati huu bei hiko chini baadaye watatajirika. Pia amewatahadharidha watu wawe makini kwenye crypto ni kama bahati na sibu ila wanunue tu kama pata potea lakini huu ndo muda wa kununua Bitcoin na crypto zingine na kusahau zisikufanye uwe na pressure.

Pia kashauri watu wasipuuzie kuwekeza kwenye commodities kama pamba ma ngano.

Jamaa alitake advantage ya mdororo wa uchumi wa 2008 akakopa na kuwekeza.

Kuna jamaa flani Marekani kakopa 250 million usd na kuwekeza kwenye Bitcoin kwa kuzinunua.
 
Ndio huyo huyo mkuu

Jamaa ni mtamu sana
 
Hiyo ni lugha Tu ya uandishi mkuu

Nimekutana nae kitabuni/nimesoma Kitabu chake
Sawa, Mwamba yuko vizuri.

Huwa napenda video clip yake anapoelezea four types of people.
1. People who want to be liked.
2. People who want to be right.
3.People who want to be comfortable.
4. People who want to win.

Jinsi anavyofafanua hizi aina za watu utacheka sana.
 
Back
Top Bottom