riwaya

  1. Riwaya: Mwanamke Kama Mama Yangu

    Habari member wa JamiiForums ningependa kuwaleteeni Riwaya ya ndugu mwandishi Kelvin kagambo ili tuelimike na kubuludika pamoja. ======== RIWAYA: MWANAMKE KAMA MAMA YANGU MTUNZI: KELVIN DONATUS KAGAMBO SIMU: 0713 48 28 16 FACEBOOK: KEV CLEVER KAGAMBO SEHEMU YA KWANZA (1) "Vuta picha...
  2. Riwaya: Mzalendo Kizimbani (Mwalimu Makoba)

    Angalizo: Nchi inayotajwa kama Nchi yetu, haina uhusiano wowote na nchi ya Tanzania. Sehemu ya Kwanza Komandoo Mako alikimbia akiwa kashika kidege kidogo kisichokuwa na rubani, baada ya umbali fulani, akakiachia nacho kikapaa peke yake. Pembeni alilala Komandoo Bwii, huyu alikuwa na kitu mfano...
  3. M

    Nitapata Wapi Riwaya Nzuri za Zamani

    Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
  4. Serikali kuanza kutoa tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha 2022/23

    Serikali imeunda kamati maalum inayoongonzwa na Prof. Penina Mlama kwa ajili ya kuweka utaratibu wa kutambua na utoaji tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha 2022/23. Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) wakati wa...
  5. Riwaya na hadithi za John Wisse zote mpya utazipata hapa

    UZI HUU NI MAALUM KWA AJIRI YA KUSOMA NA KUPATA RIWAYA ZA JOHN WISSE. UKIHITAJI KITABU CHOCHOTE UTAKIPATA KWA KUULIZA HAPA NAWE UTAJIBIWA HARAKA NA KUPATA KILE UNAKIHITAJI.
  6. Riwaya: Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta

    Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta Mwandishi: Mwalimu Makoba Sehemu ya Kwanza Nilipita siku ya Jumatatu huko Mwananyamala katika nyumba za ndani sana. Baada ya kuvuka mitaro mitatu, nikaona nyumba iliyokuwa na baraza kubwa. Hapo barazani alikaa binti mrembo sana ambaye kwa uzuri wake...
  7. Riwaya: Mfalme Anataka Kuniua

    Msisitizo: Riwaya imekamilika, kila siku itakuwa inatumwa sehemu moja mpaka itakapoisha. Hakuna longolongo, hakuna kuchelewesha wala hakuna kununua. Mfalme Anataka Kuniua | Sehemu ya Kwanza Mwandishi: Mwalimu Makoba Mako alijibanza katika kichaka cha kijani. Mbele alitazama kundi kubwa la...
  8. Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

    Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili. Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval...
  9. Riwaya ya Kijasusi: Mlio wa Risasi Harusini

    RIWAYA: MLIO WA RISASI HARUSINI Mtunzi: Robert Heriel WhatsApp 0693322300 Akajitazama kwenye kioo kikubwa cha kabati akiwa chumbani kwake. Kila alipojitazama hakuona kasoro yoyote katika mwili wake. Aligeuka huku na huku akiendelea kujitazama. Macho yake yalimuambia yeye ni...
  10. Fahamu zaidi maana, sifa, historia na aina za Riwaya ya Kiswahili

    Maana ya Riwaya kwa ujumla Riwaya ni masimulizi ya kubuni ya kinathari yenye msuko au mpangilio fulani wa matukio au ploti inayofungamana na wakati au kusawili wakati na yenye visa vingi vivavyotendeka katika wakati fulani na yenye mawanda mapana yenye mchangamano wa dhamira, visa na wahusika...
  11. Riwaya: Jina langu ni Pheady

    MTUNZI : SELOPHEADY H. MAGEMBE HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA Huruhusiwi kunakili au kutumia sehemu ya hadithi hii bila ruhusa ya mwandishi. Nilikua nimehitimu masomo ya shule ya upili na kuchaguliwa kwenda kusomea ualimu katika chuo cha ualimu.Hii ilikuwa ni miaka ya 1990 hivi, ualimu ni kazi ambayo...
  12. Sikukukataa mwanangu; Umasikini ulifanya mama yako anikimbie

    SIKUKUKATAA MWANANGU; UMASIKINI ULIFANYA MAMA YAKO ANIKIMBIE. Kwa Mkono wa, ROBERT HERIEL. © maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. Taikon wa Fasihi Anawasilisha "Sasa nimebaki Peke yangu, hata waliowangu hawanitaki, sio wangu tena, ingawaje ni Mali yangu kiasili lakini dunia...
  13. U

    Riwaya: Kiu Ya Haki

    Wapenzi wa Riwaya Za Upelelezi kuanzia leo tutawaletea mfululilizo wa Riwaya ya Kiu ya Haki
  14. Riwaya ya kipelelezi: Wakala wa Siri

    RIWAYA: WAKALA WA SIRI Mtunzi; Robert Heriel 0693322300 Episode 01 MAABARA YA BORETI. Jokofu maalumu kwa ajili ya kuchunguzia maiti lilikuwa limezungukwa na Madaktari bingwa wa maswala ya uchunguzi, ndani yake ilikuwepo maiti iliyofungwa kwa karatasi jeupe la nailoni. Ilikuwa ni maabara ya...
  15. Riwaya ya beka mfaume: The godfather

    TRENI ya abiria kutoka bara iliwasili kwenye Stesheni ya Dar es Salaam majira ya saa tano asubuhi. Kuwasili huko kuliwafanya baadhi ya watu waliokuwa wakisubiri, kuanza kuangalia kwenye madirisha ya mabehewa ili kuwaona wageni wao. Treni hiyo iliposimama kukaligeuza eneo hilo kuingia kwenye...
  16. Riwaya: Machinga mimi Masikini

    Utangulizi Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo… Nasogea kwenye bustani na kuketi napigwa na upepo mzuri naona wanafamilia wakitembea kutoka makwao kuelekea...
  17. Riwaya: Maamuzi Magumu

    JINA: MAAMUZI MAGUMU MTUNZI: CHIAMARO MOKIRI HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA. NI MARUFUKU KUNAKILI AU KUSAMBAZA KAZI HII BILA RUHUSA YA MAANDISHI KUTOKA KWA MWANDISHI. HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA KWA YEYOTE ATAKAYETHUBUTU. SEHEMU YA KWANZA JACK REACHER ALIAGIZA kahawa vikombe viwili vya take...
  18. S

    Riwaya ya kichawi- Mama Usinifundishe Uchawi

    MAMA USINIFUNDISHE UCHAWI. SEHEMU YA KWANZA “Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Kibaoni, na kijiji cha Maharaka. Anga yote ilikuwa imetanda kuashiria mvua saa yoyote inanyesha. Hali ya hewa si shwari baridi lilikuwa kali kupita maelezo. Ardhi baada ya muda ukali wa jua...
  19. Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Matairi meusi ya ndege ya shirika la ndege la kimataifa la Kenya (Kenya airways) yaligusa taratibu katika ardhi ya uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es salaam. Abiria wengi walianza kushuka katika ndege hiyo kwa kutumia ngazi ndefu nyeupe iliyotokea baada ya...
  20. Tuzo za waandishi wa riwaya, tungo na mashairi

    TUZO YA KISWAHILI YA MABATI-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA: 2021 Utaratibu wa Kushiriki Tunafurahi kuwajulisha utaratibu wa kushiriki katika mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika yanayoingia mwaka wake wa sita. Tuzo hii, iliyoanzishwa mwaka wa 2014 na Dkt. Lizzy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…