Naomba kueleweshwa namna ya ku-verify birth certificate kupitia RITA

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,402
5,526
I hope you are all fine,

Guys, nataka kuverify cheti changu cha kuzaliwa kupitia RITA hivyo naomba kujua mambo/vitu vifuatavyo:

1. Naweza kuwatumia cheti changu kupitia email? Na kama inawezekana, email yao ni ipi?

2. Namna ya kutuma na mfumo wa malipo pia

3. Baada ya kutuma ni muda gani itachukua hadi kurudushiwa(Online) cheti changu tena kikiwa verified?

Kwa wale ambao wamepitia hii process naomba mnipe mwanga kidogo.

Asante
 
Kama hujaeleweka hivi!, Cheti kinatolewa RITA, then unataka hao RITA ndo waverify, sijui hii imekaaje.
Ninachoelewa ni kwamba Copy ( ya cheti cha kuzaliwa au chochote) ndo inatkiwa kuverify na mawakili au mahakama.
Sasa wewe sijui unataka nini, au labda mm sielewagi haya mambo
 
Wale wanaaafunzi wanaoomba mkopo watakuja kukusaidi...kwasasa ingia kwenye website yao Rita utafute
 
Documents wanaverify watu wa sheria nenda mahakama iliyo karibu nawe au halmashauri.
Km unawataka rita hawa hapa, www.rita.go.tz au piga simu bure 0800-117-482 ukifanikiwa uje kushukuru.
 
Back
Top Bottom