kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,030
- 2,929
Habarini nduu zangu,
Kuna ndugu yangu nimemsaidia kufanya application ya loan board, kuna zoezi la kutuma taarifa ya cheti cha kuzaliwa RITA kwaajili ya verification, zilipita week 2 wakarudisha majibu kwenye system kuwa sijafanya attachment ya cheti usika, nimefanya attachement ya cheti tangu week iliyopita mpaka sasa kimya, na siku zinazidi kuyoyoma, mimi nipo mkoani uku kigoma, je ni njia gani ambayo naweza kufanya ili niweze kupata verification iyo ya RITA ili zoezi la mkopo niendane nalo kwa muda, leo nilienda RITA ya uku mkoani nilipo wakasemahawashughuliki na zoezi ilo la verification kwa uku mkoani Kibondo-Kigoma