risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mgombea Urais aliyepigwa risasi Colombia afariki dunia

    Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39 alipigwa risasi tatu — mbili kichwani na moja mguuni — wakati wa...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

    Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

    Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
  4. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Boniface Mwangi aondolewa mashitaka ya ugaidi, sasa akabiliwa na kosa la kumiliki risasi kinyume cha sheria

    Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria. Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

    ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi. mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwanakandarasi wa misaada Gaza aambia BBC aliona wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina

    Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga: Yeyote anayeagiza Polisi kuwapiga watu risasi, aibu yako

    Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM),Raila Odinga amelaani kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen baada ya kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi na kuwaua raia watakaosogelea kituo cha polisi katika maandamno yaliyofanyika Kenya Akizungumza na wakazi...
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchuuzi ( Boniface Kariuki) aliyepigwa risasi na polisi katika maandamano Nairobi athibitishwa kufariki

    Boniface Kariuki, mchuuzi aliyepigwa risasi wakati wa maandamano wiki mbili zilizopita jijini Nairobi, amefariki dunia. Msemaji wa familia, Emily Wanjira, amesema Kariuki alithibitishwa kuwa amefariki saa tisa na robo jana alasiri Taarifa za awali kutoka kwa Familia ilisema madaktari...
  11. incognitoTz

    JamiiForums Tanzania Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  12. Dalton elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inspekta Jenerali wa polisi Kenya ameagiza kukamatwa kwa afisa aliyempiga risasi kichwani mchuuzi wa barakoa jijini Nairobi

    Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) imepokea kwa wasiwasi mkubwa tukio la kupigwa risasi kwa raia asiye na silaha na askari wa polisi aliyekuwa akitumia bunduki ya kudhibiti ghasia, tukio lililotokea katika eneo la biashara kuu jijini Nairobi (CBD) tarehe 17 Juni 2025. Kufuatia tukio hilo, Inspekta...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Seven Kipara ashikiliwa kwa tuhuma za kukodi Watu wamuue mama yake mzazi, risasi yafyatuliwa yamjeruhi Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi. Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Seneta wa Minnesota, Melissa Hortman pamoja na mume wake wameuawa kwa risasi

    Kuna tetesi kuwa Seneta kutoka chama cha demokrati ameuawa kwa kupigwa risasi huku tukio hilo likihusishwa na swala la kisiasa. ----- A Minnesota state lawmaker and her husband were shot and killed in their home early on Saturday morning in what Governor Tim Walz called an "act of targeted...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Kuna viashiria vya uhalifu, watoto kutekwa, watu kupigwa risasi

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kusimama imara kuzuia vitendo vya uhalifu vikiwemo vya wa watoto kutekwa na kuuwawa, mtu mmoja mmoja kupigwa risasi kwenye makazi yake, hadi sasa kuna viashiria vya uhalifu huo. Ameyasema hayop alipokuwa...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Marekani ina katiba nzuri na mfumo mzuri wa uchaguzi, lakini vurugu na risasi havikomi — Kwanini?

    Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na uhuru mkubwa. Licha ya hayo yote, bado katika Taifa hilo kubwa duniani, tunashuhudia matukio ya...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Colombia apigwa risasi akiwa kwenye kampeni

    Katika hali isiyo ya kawaida mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo, seneta Miguel Uribe Turbay (39) akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kampeni yake uliofanyika Bogota nchini humo alijeruhiwa...
  19. nzala_kv

    JamiiForums Tanzania Malipo ya kisasi ni kisu au risasi

    Katika maisha haya tunayoyaishi hapa Duniani Kila bin Adam ni Safi kabisa iwapo tungekuwa hatukutani na binadamu wengine. Ila kwa sababu tunakutana Sina budi kusema 'The atmosphere is no longer the same'. Na hii kwa sababu katika kukutana kwetu tunakoseana sana. Na siku zote bin Adam ndiyo...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari wa IDF auawa kwa risasi rafiki ( Friendly-Fire )

    Uchunguzi wa IDF: Sajenti Yosef Yehuda Chirak aliuawa kwa risasi rafiki(Friendly-Fire) Uchunguzi wa awali uligundua kuwa wakati SGT Chirak alipokuwa akifanya kazi ya kukagua shimo la handaki kaskazini mwa Gaza, kikosi kilichokuwa kikilinda eneo hilo kilimpiga risasi bila kujua kuwa huyo ni...
Back
Top Bottom