risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rapa wa Marekani, Offset apigwa risasi Florida

    Rapa wa Marekani Offset ameripotiwa kupigwa risasi karibu na casino maarufu ya Seminole Hard Rock Hotel & Casino huko Hollywood, Florida. Mtu wa karibu na rapa huyo amethibitisha kuwa Offset kwa sasa yuko salama na anaendelea vizuri, ingawa mamlaka bado zinaendelea kuchunguza kilichosababisha...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na Trump ni watu wabinafsi sana. Hakuna wa kuwawajibisha?

    Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani. Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha. Yote ni ubinafsi wa wawili hawa wanaokabiliwa na kashfa lukuki na wanaotumia vita kuepuka kuishia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  4. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  7. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka Bunda mkoani Mara, wananchi waambiwa wapishe upanuzi wa eneo la hifadhi, uvuvi wasitishwa, risasi zafyatuliwa

  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa

    Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa, wananchi waeleza kilichotokea.
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 George: Nilipigwa risasi Oktoba 29, 2025 nikapoteza mguu

    "Nilikataa kukatwa mguu, lakini madaktari waliniambia nimechelewa kupata matibabu." Huo ni ushuhuda wa kusikitisha wa George Chipeta (24), fundi wa umeme wa magari mkazi wa Banana, mkoani Dar es Salaam aliyetoa maelezo mbele ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025. George, ambaye...
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Huyu ni George aliyepigwa risasi Gongo la Mboto

    Kijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo. Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi

    Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa video za Oktoba 29 zilivyokuwa ni wazi kuwa waliopigwa risasi hawakuwa wahalifu

    Video oct 29 za watu waliopigwa risasi hawakuwa maeneo yaliyo haribiwa ni majumbani inaonesha waliuwawa kwasababu hawamtaki samia na sio waharifu. Watu walio uwawa walimkataa samia ndio maana amewauwa na sio kwasababu walichoma vitu au kupiga askari na hawakuwa tishio kivyovyote hata hivyo...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hivi askari Mtanzania unampigaje risasi Mtanzania mwenzako anayetii amri zako ikiwa kulala kifudi fudi

    Jana nimeangalia report ya DW kuhusu mauaji Serikali wanasema waliuwa waandamanaji, wezi na vibaka lakini cha kushangaza polisi walifika mtaani na majumbani kuuwa kila Mtanganyika aliyeonekana machoni pao 1. Hivi askari Mtanzania unakuta vijana Kisesa Mwanza wapo kibarazani wanakula chips...
  15. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mara: Mama wa mtoto aliyepigwa risasi atuma salamu kwa Samia

    Mama mmoja huko Mara ametuma salamu kwa Samia akidai kuwa mwanae aliuawa October 29 alipoenda Dar katika harakati za kutafuta maisha. Mtoto wake alitoka Mara na kwenda Dar kufanya kazi ya upambaji kwa muda lakini ilipofika October 29 mama yake alipokea taarifa kuwa mwanae amepigwa risasi ya...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, atuma ‘salamu’ kwa Rais

    Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atuma ‘salamu’ kwa Rais
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Milio ya risasi Mbezi Tangibovu yasikika

    Mlio meneo hayo tujuzeni kuna nini hapa Mbezi Shule? Maana na gari 2 za Polisi zimepita muda huu
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anayekaa madarakani sababu ya kiburi cha risasi na jeshi huondoka madarakani kirahisi sana

    Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo. Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho. Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
Back
Top Bottom