risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hamas yatoa onyo kwa Wapalestina wanaoikosoa kwa kuwapa adhabu ya risasi za magoti wakosoaji

    Baadhi ya Wapalestina wamechoshwa na vitendo vinavyofanywa na hamas ikiwemo wao kukimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha wapalestina wawe ngao pale Israel inapojibu mashambulizi, Pia chakula cha misaada kimekuwa kikiuzwa badala ya wapalestina kupewa bure Hamas wamechapisha video ya onyo sambamba...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kaka wa Tundu Lissu aibua masikitiko juu ya ukimya wa uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi (Lissu) Dodoma

    Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema: “Ukumbuke alivyoshambuliwa...
  4. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu uchunguzi huru uanze upya kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na shambilio la risasi dhidi ya Tundu Lissu

    Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana . Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane . Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu. Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: BBC, CNN, VOA au Aljazeera, mumuhoji Erick Kabendera juu ya madai yake kuwa Magufuli alimpiga risasi Ben Saanane

    Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi. Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe aliahirisha ghafla safari ya kwenda Dar na siku hiyohiyo Lissu akapigwa risasi?

    Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale? Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama. Makamada piiipooooz.
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Mkuu ujao anguko la FRELIMO liwe funzo kwa vyama ng'ang'anizi. Zama zinabadilika, vijana wa sasa wakichoka hawaogopi risasi wala majeshi

    1962 mondlane aliasisi chama Kikongwe kwa ajili ya kuikomboa msumbiji kutoka kwenye makucha ya wareno !kutoka na Hali ya msumbiji nyakati hizo iliwalazimu frelimo kuweka makao yake makuu jijini dar es salaam! Mapambano makali wakisaidiwa na serikali ya Tanzania chini ya jemedari hayati mwalimu...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, kiusalama, kuvaa vest ya kuzuia risasi, na kuacha kichwa, ambayo ni sehemu hatari zaidi, ikiwa wazi, mtu anakuwa amejilinda?

    Ni katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa. Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona Polisi/wanausalama/wanajeshi wanavaa na helmet pia. Kwa wenye uelewa tafadhali
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Trump kwa nchi washirika wake wa kibiashara huenda ukaifanya Marekani iishie kujipiga risasi yenyewe mguuni

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
  11. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Habari zenu wakuu, Based on True story!! Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeweza kujikuta katikati ya mchezo hatari uliopangwa kwa ustadi wa hali ya juu. Ilianza kama jambo la kawaida tu — ofa ya kuvutia na ahadi za mafanikio ya haraka. Lakini kadri nilivyozidi kujihusisha, nilitambua...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mimi ninatembea na risasi, nitaogopa mawe ya mtandaoni?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akiwajibu wanachama wa chama hicho wanaomshambulia mitandaoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katavi: Askari wa TANAPA adaiwa kumuua mfugaji kwa risasi

    Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tabora: Askari TFS matatani kusababisha kifo cha mwanafunzi wa awali

    Askari watatu wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na mgambo wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Grace Mussa (4) katika Kijiji cha Mpanda Mlowoka wilayani Kaliua, mkoani Tabora. Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 2, 2024 Kamanda wa...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  16. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akionyeshwa bastola au akisikia mrindimo wa risasi basi hata eneo la tukio hatakanyaga na atakimbia mithiri ya kuvunja miguu

    Tafakuri ya leo. Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa?? Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu?? Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lissu: Mimi natembea na risasi mwilini siogopi, nyie mnaogopa

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA taifa Tundu Lissu akizungumza katika mkutano wa hadhara, jimbo la Tarime mjini, Kanda ya Serengeti. Soma pia: Tundu Lissu: Kama Mnaogopa Mabomu, Mkalale Mshughulikiwe na CCM. Ukiogopa Mabomu Kalale Uchunwe Ngozi na CCM
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

    Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili. Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Shujaa wangu ni Tajiri Peter Zacharia aliyewamiminia risasi Watu wasiojulikana. Baadaye Ikajulikana walikuwa Usalama wa Taifa

    Mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia, Juni 30, 2018 alishikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwamimini risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa waliodai walikuwa katika majukumu yao. Matiss hao walikimbizwa hospitali ya mjini Tarime kupata matibabu Tarime...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Dodoma, Tanzania Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana. Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina...
Back
Top Bottom