Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao?
Katika...
Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate...
Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani.
Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis.
Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025.
Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi.
Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua.
Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
Wamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...
Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki...
Kufuatia sintofahamu ya kupiga mabomu na risasi kwenye mitaa na kuwatishia watu wasitembee maduka na magenge yamefungwa
Watu wanakula akiba ya chakula kilichokuwa nyumbani, kikiisha nawahakikishia watu hawatavumilia njaa, hawatakubali kufa kwa njaa watakuja mitaani bora muwauwe kwa risasi...
KInachoendelea huko Mabatini Sinza, kituo cha polisi kimetiwa moto, polisi nao wapigana kujaribu kuwadhibiti wananchi lakini wanazidiwa nguvu.
Kwa upande mqingine wanajeshi wameanza kuungana na wananchi. Mambo yakiendelea vizuri siku itaisha nchi ikiwa mikononi mwetu.
Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
Wakuu,
FBI wameashaanza kutoa clue huko kuhusu nani alihusika na kumpiga risasi Charlie Kirk.
Kwenye briefing yao wamesema kwamba aliyehusika kwenye unyama huo wameshamfahamu lakini details kuwa yeye ni nani hawatazitoa sasa hivi
Wamesema umri wake ni kama wa mwanachuo na bunduki...
Hamjambo Wote!
Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea.
Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati.
Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama...
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
===
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
Ogopa sana mtu anayesimama na ukweli tena kwa ajili ya watu wake Mungu humpenda na Kumlinda
Tundu Lissu anapigania haki juu ya Watanzania wote,anataka tuwapate Viongozi wa kweli watakaopatikana kwa kura za wananchi ambao watalinda rasilimali zetu siyo hawa wanaopita kwa rushwa na vimemo amabo...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo
Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM.
CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
Nicolae Ceaușescu alikuwa kiongozi wa Kikomunisti kuanzia mwaka 1965 hadi 1989 huko Romania.
Awali alionekana shujaa kwa kujitenga kidogo na USSR, lakini baadaye akageuka dikteta hatari. Aliamua kulipa madeni yote ya nchi kwa kuuza chakula nje. Wananchi wakabaki na njaa, foleni za mkate na...
Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.