risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. incognitoTz

    JamiiForums Tanzania Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inspekta Jenerali wa polisi Kenya ameagiza kukamatwa kwa afisa aliyempiga risasi kichwani mchuuzi wa barakoa jijini Nairobi

    Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) imepokea kwa wasiwasi mkubwa tukio la kupigwa risasi kwa raia asiye na silaha na askari wa polisi aliyekuwa akitumia bunduki ya kudhibiti ghasia, tukio lililotokea katika eneo la biashara kuu jijini Nairobi (CBD) tarehe 17 Juni 2025. Kufuatia tukio hilo, Inspekta...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Seven Kipara ashikiliwa kwa tuhuma za kukodi Watu wamuue mama yake mzazi, risasi yafyatuliwa yamjeruhi Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi. Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Seneta wa Minnesota, Melissa Hortman pamoja na mume wake wameuawa kwa risasi

    Kuna tetesi kuwa Seneta kutoka chama cha demokrati ameuawa kwa kupigwa risasi huku tukio hilo likihusishwa na swala la kisiasa. ----- A Minnesota state lawmaker and her husband were shot and killed in their home early on Saturday morning in what Governor Tim Walz called an "act of targeted...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Kuna viashiria vya uhalifu, watoto kutekwa, watu kupigwa risasi

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kusimama imara kuzuia vitendo vya uhalifu vikiwemo vya wa watoto kutekwa na kuuwawa, mtu mmoja mmoja kupigwa risasi kwenye makazi yake, hadi sasa kuna viashiria vya uhalifu huo. Ameyasema hayop alipokuwa...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Marekani ina katiba nzuri na mfumo mzuri wa uchaguzi, lakini vurugu na risasi havikomi — Kwanini?

    Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na uhuru mkubwa. Licha ya hayo yote, bado katika Taifa hilo kubwa duniani, tunashuhudia matukio ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Colombia apigwa risasi akiwa kwenye kampeni

    Katika hali isiyo ya kawaida mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo, seneta Miguel Uribe Turbay (39) akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kampeni yake uliofanyika Bogota nchini humo alijeruhiwa...
  9. nzala_kv

    JamiiForums Tanzania Malipo ya kisasi ni kisu au risasi

    Katika maisha haya tunayoyaishi hapa Duniani Kila bin Adam ni Safi kabisa iwapo tungekuwa hatukutani na binadamu wengine. Ila kwa sababu tunakutana Sina budi kusema 'The atmosphere is no longer the same'. Na hii kwa sababu katika kukutana kwetu tunakoseana sana. Na siku zote bin Adam ndiyo...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari wa IDF auawa kwa risasi rafiki ( Friendly-Fire )

    Uchunguzi wa IDF: Sajenti Yosef Yehuda Chirak aliuawa kwa risasi rafiki(Friendly-Fire) Uchunguzi wa awali uligundua kuwa wakati SGT Chirak alipokuwa akifanya kazi ya kukagua shimo la handaki kaskazini mwa Gaza, kikosi kilichokuwa kikilinda eneo hilo kilimpiga risasi bila kujua kuwa huyo ni...
  11. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Risasi yangu ya mwisho

    Tajiri hasalimii. Poleni na mihangaikoni ya mchana kutwa wakuu. KISA hiki hakihusiani na mapigano ya mitutu, lakini nimeyapitisha majina kadhaa kwenye ubongo wangu wakati nikifanya uchaguzi wa jina la kulioanisha na kisa hiki mwisho nikaishia kuchagua hili 'RISASI YANGU YA MWISHO' Kuna huu...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Hata Donald Trump aliwahi kushambuliwa kwa risasi, wanaotoa mashambulio huwa hawabagui

    Kama ingelikuwa ni kuweka wazi hisia za watu, if am asked to put clear all the sentiments ambazo zipo katika vinywa vya watu, yafuatayo ningeweza pia kuyasema, la kwanza, Mnakumbuka Rais wa sasa wa serikali ya Marekani, President Trump akiwa kwenye mlolongo wa kampeni zake aliwahi pia kupata...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  14. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa bunge la Kenya Charles Were apigwa risasi na kufariki

    Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki. Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la polisi la Kenya kumpatia ulinzi kutokana na vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana kwa wiki kadhaa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

    Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Machozi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tukio la Emmanuel Lucas kuuawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza (Mara), uchunguzi ufanyike na Haki ipatikane

    Dar es Salaam, 02 Aprili 2025. Jana tarehe 01 Aprili 2025, LHRC ilipokea taarifa za kuuawa kwa mwananchi mmoja aitwae Emmanuel Lucas Mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Kisangura Wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara kilichosababishwa na askari wa Jeshi la Magereza Sijali William Hence na...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania waziri mkuu wa Ethiopia asema sasa wanauwezo wa kutengeneza Risasi zao wenyewe na Hata kuuza??

    akikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
  19. sanalii

    JamiiForums Tanzania Myahudi awapiga risasi wayahudi wenzie huko miami akidhani ni wapalestina

    Hii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma, Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi hao kupelekwa Hospitali, wali tweets wakisema ni anti-semitic attack na kumaliza kusema "Death to...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Iipofika topic ya Kinjekitile tulimcheka sana na kumuona mshamba lakini hatukujua hata sisi tulikuwa tushapakwa dawa na kuambia risasi zitageuka maji

    Manipulation: Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe. Confusion: Tulimshangaa sana ngwale lakini kuna upande mwingine ulituambia alifanya ushujaa ili ashawishi vijana...
Back
Top Bottom