risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wanne wamepigwa risasi na Polisi Mjini Kisumu katika Siku ya Mwisho ya Maandamano ya Azimio

    Watu hao wanaendelea na matibabu katika Vituo vya Jaramogi Oginga Odinga Teaching na Hospitari ya JOOTRH baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika maandamano yaliyoratibiwa na Azimio la Umoja One Kenya. Mmoja kati ya waliojeruhiwa ni Afisa Afya wa JOOTRH ambaye alipigwa risasi ya bega akiwa katika...
  2. JamiiForums Tanzania Dar: Asalimisha Bastola na risasi kwa Polisi, adai uhalifu haulipi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ikiwa ni pamoja na kushirikisha wananchi katika kuzuia, kubaini, na kupambana na vitendo vya kihalifu kuanzia ngazi ya mtaa. Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi wema limefanikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

    Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:- (1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo: (2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wapigwa risasi na kufa nchini Cameroon

    Watu wasiojulikana na waliojihami kwa silaha katika mji mkubwa zaidi wa watu wanaozungumza Kiingereza nchini Cameroon, wamewaua takriban watu tisa, wakiwemo wanandoa wapya. Simplice Lontsi Tsomene, 37, na Hélène Raisa Tanga, 25, walikuwa wazazi wa watoto watatu na walikuwa na duka la simu...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari ajiua kwa risasi baada ya kumjeruhi mkewe

    Askari Polisi mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Kyalo amejiua kwa kujipiga na risasi baada ya kumjeruhi mkewe kwa risasi huko Kaunti ya Bondo nchini Kenya mapema leo, Polisi wameripoti. Kamanda wa Polisi wa kaunti hiyo Ibrahim Kosi amesema afisa huyo aliyefariki, aliripoti kazini kama...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu anapokuwekea bastola jibu ni moja Mwambie ashushe au apige risasi.

    Jana usiku ,Kuna Jamaa yangu kawekewa bastola kichwani kamwambia yule muhuni maamuzi ni mawili kupiga risasi au kushusha bastola chini Guyz don't afraid anything
  7. JamiiForums Tanzania Risasi sio suluhisho (kumbukumbu zangu 1996)

    Ilikua usiku wa manane simu ikaita, na mara nyingi namba za nje ya nchi inamuwiaga vigumu kupokea..Akapokea na moja kwa moja sauti akaitambua ni ya nani""Safari hii mpigaji anazungumza vizuri kiswahili kuliko awali"". Mpigaji alikuja na ofa na akaiweka wazi kwa mlengwa namaanisha mpigiwaji...
  8. JamiiForums Tanzania Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

    Habari wanajamii, Salam kwenu na natumai nyote ni buheri wa afya, Naona nielekee kwenye hoja husika. Ilikua ni siku ya mapumziko(weekend) siku ya jumapili tarehe 22 ya mwezi wa 9 mwaka 2007 maeneo ya mbezi beach eneo linafahamika sana kwa jina alimaarufu (Africana) njia ya kuelekea whiteSands...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi: Kigwangalla hajampiga risasi mlinzi Jumanne

    Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania afariki kwa kupigwa risasi South Africa

    😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭 Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine. Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana Mohammed Ramadhani aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la Cape Town jimbo la Fley. Ndugu yetu Mohammed amefariki usiku wa jana huko Cape Town kwa kupigwa risasi...
  11. JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  13. JamiiForums Tanzania Sirro: Sitosahau Askari walipopigwa risasi Kibiti

    IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro baada ya kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi leo Dar es salaam amesimulia tukio ambalo hatolisahau akiwa kazini ambalo amesema ni la Askari Polisi kupigwa risasi na Majambazi baada ya kushambulia kwa risasi gari la Polisi katika Kijiji cha Uchembe, Kata ya Mjawa...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

    Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua. Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi , amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alishuhudia gari lake lililoshambuliwa kwa risasi, asema ataomba kulichukua

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu wasijulikana mwaka 2017 Jijini Dodoma. Akizungumza Leo mei 9,2023 Jijini Dodoma Lissu amesema Dereva...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani: Matukio 201 ya ufyatuaji risasi yametokea Mwaka 2023

    Matukio ya mauaji ya watu kwa risasi yameendelea kuitesa Marekani ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Gun Violence Archive idadi ya vifo hadi Mei 8, 2023 ni 14,865 wakati waliojeruhiwa ni 11,872. Katika rekodi hizo, waliouawa kwa kukusudia au kutokusudia ni 6,417 wakati waliojiua ni 8,448, kati yao...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajir: Askari Wanyamapori waua raia wawili kwa risasi, wananchi walipuka

    Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir. Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya Wanyamapori (KWS) kudaiwa kuwaua watu wawili wanaoaminika kuwa wawindaji haramu Alhamisi jioni. Mauaji hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Wagner na wanajeshi wa Urusi wapigana wenyewe kwa risasi

    Walianza kama utani kulaumiana nani kaboronga kwenye shughuli ambayo imekwama kwa sasa, ghafla wakaanza kufyatuliana risasi na baadhi kuuawa maeneo ya Stanytsia Luhanska. Nasemaje!!! Safi sana piganeni mfe mizoga yenu iwe mbolea. ============== A shoot-out allegedly occurred between Russian...
  19. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu 10 wa Familia Moja Wauawa kwa Risasi

    Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…