risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Afariki kwa kupigwa risasi na wanaodaiwa kuwa majambazi

    Richard Nzumbe mkazi wa mtaa wa Butengwa Manispaa ya Shinyanga amefariki dunia akidaiwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakati anaingia nyumbani kwake. Tukio hilo limetokea majira ya saa 1 usiku wakati akitoka kazini kwake alipofika nyumbani kwake ndipo alishambuliwa na watu...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iraq: Askari Polisi 9 wauawa kwa bomu na shambulizi la risasi

    Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika. Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha wakashambuliwa kwa risasi, askari wengine wawili wakijeruhiwa. Inakadiriwa kikundi hicho kina...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Italia: Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

    Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya. Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

    Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao. Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

    Mlinzi wa kampuni ya Suma JKT, Osea Kashiririka (21) amefariki dunia baada ya kujipiga risasi sehemu ya shingo kwa kutumia bunduki. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Issango amesema tukio hilo limetokea leo Jumatatu Novemba 28 majira ya saa 5:30 asubuhi maeneo ya Benki ya Azania jengo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa risasi akiokota kuni shambani

    Inasikitisha sana. Labda ndio maana tunatakiwa kupata Gas za kupikia hadi vijijini ====== Kamanda Mwaibambe alimtaja marehemu aliyepigwa risasi wakati akiokota kuni ni Athumani Ramadhani ambaye baada ya kupigwa risasi ya kifuani alifariki dunia papo hapo. "Kwa kweli hili ni tukio la...
  7. DALA

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu Mstaafu Imran Khan anusurika kuuawa wakati akihutubia

    Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap. Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aishi na risasi 3 mwilini kwa miaka 11 baada Muhimbili na Bugando kutomfanyia upasuaji

    Julai 6 mwaka 2011 ni siku ambayo hatoisahaulika kwa Kulwa Makasi (32) baada ya kupigwa risasi tatu, moja kichwani, mgongoni na kwenye paja la kulia anazoishi nazo kwa miaka 11 sasa. Mkazi huyo wa Shibula jijini Mwanza kwa sasa anatembea kwa kiti maalum kutokana na ulemavu alioupata baada ya...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania 15 wauawa kwa risasi Iran

    Hii yote wanampigania 'mungu' na uislamu... At least 15 people have been killed and 10 others injured in an attack at the Shah Cheragh mausoleum in the Iranian city of Shiraz, state media report. Three armed men entered the shrine at 17:45 (14:15 GMT) and opened fire at pilgrims, the Irna news...
  10. dudus

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi wa Ukraine wapiga chini drone ya Iran kwa risasi

    Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita. Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za Kabendera, ni wazi kuwa waliomtolea Nape bastola na kumpiga risasi Lisu walitumwa

    Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji. Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki. Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran: Mmoja auawa kwa askari kummiminia risasi kwa kapiga honi kuunga maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

    Jameni serikali ya Iran inatumia nguvu nyingi sana kumpigania huyu 'Mungu' wao, inawaua raia wake kama nzige. Wasichokijua, kadiri wanavyowaua watu ndivyo wanazidi kupandisha mzuka nchi yote. ======== Two were killed in Sanandaj, including a man shot in his car after he sounded his horn in...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Afrika: Auawa kwenye jaribio la kuzuia risasi kwa hirizi

    Mvulana wa miaka 12, auawa kwa kupigwa risasi na kaka yake nchini Nigeria, katika jaribio la 'kuzuia risasi' kwa kuvaa hirizi mpya. Kwa mujibu wa polisi katika jimbo la Kwara, ndugu hao waliamini kuwa wamejiimarisha kwa kuvaa hirizi ya ulinzi, ndipo kaka mtu akampiga risasi mdogo wake kwa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Mrusi ampiga risasi msajili kisa kulazimishwa akapigane Ukraine

    Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi... ========= A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on Monday, reports said. A video of the incident shared online shows an official collapsing on stage after a...
  18. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania UDSM Fanyeni tafiti jinsi ya kutokomeza panyaroad bila rungu wala risasi pia kutokomeza janga la ajira nchini achaneni na masuala ya uchawi!

    Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina! Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao. Sasa hivi kuna majanga makuu matatu, Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Cameroon wakamatwa kwa kuua raia kwa risasi

    Wanajeshi watatu wanadaiwa kuwashambulia Wananchi na kuua Wanawake wawili wasiokuwa na silaha katika Kijiji cha Andeck. Wanaharakati wa kutetea Haki za Binadamu wanalaumu Jeshi la Cameroon kwa tukio hilo walilofanya wakati wakiwasaka washukiwa wanaoupinga utawala wa Serikali iliyopo madarakani...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Polisi yaua watatu kwa risasi Serengeti

    Watu watatu wameuawa na polisi wakidaiwa kuwa ni majambazi. Akizungumzia tukio hilo jana ofisini kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu alisema watu hao wameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kujaribu kuwatoroka askari usiku wa kuamkia jana. Alidai kuwa walikamatwa kwenye...
Back
Top Bottom