Itakuwa alimjibu kunya alafu mbele ya wafanyakazi wakeAisee mishahara mdogo
Sa kama tatizo mshahara si akamue anaepanga mishara, huyo muhindi anahusika vipi na mshahara wa polisi ?Aisee mishahara mdogo
Amna anae jua kilicho endelea ila kwa tabia za hawa wahindi simshangai uyo askariSa kama tatizo mshahara si akamue anaepanga mishara, huyo muhindi anahusika vipi na mshahara wa polisi ?
Itakuwa hivyo hivyo. Hawa wapuuzi wa kihindi huwa na majibu ya shombo na maudhi.Itakuwa alimjibu kunya alafu mbele ya wafanyakazi wake
Huyo ni mikopo umiza mwamba huyo muhindi kampa riba mlima deni haliishi..Hiyo video nimeiona jana tweeter nimejiuliza maswali mengi sana.
Hiyo footage ingekuwa na sauti ingeweza kunipunguzia baadhi ya maswali.
Maswali ambayo nimejiuliza.
1. Ni kwamba huyo mwela hakuwa na lengo la kumdhuru huyo muhindi ila alikuja kupata temper baada ya kujibiwa eidha vibaya na muhindi.
2. Mwela alikuwa ni mtu aliyetumwa au ana watu wakubwa serikalini ambao ni eidha ndugu zake au marafiki zake ambao anajua watamkimgia kifua, kitendo cha kikatili kama kile kinaweza kisiwe na madhara kwake kwasababu ya backup aliyonayo serikalini.
Mikopo umiza deni halihishi riba mlima. uganda huko..Amna anae jua kilicho endelea ila kwa tabia za hawa wahindi simshangai uyo askari
Huyo ni mikopo umiza mwamba huyo muhindi kampa riba mlima deni haliishi..
Jamaa kaona isiwe tabu ngoja amalize kabisa tatizo halisi.
Mali zinazolindwa ni za mhindi , unailinda 1B hlf ww unapewa lak na nusu , kwann usiweuke ?Sa kama tatizo mshahara si akamue anaepanga mishara, huyo muhindi anahusika vipi na mshahara wa polisi ?
Umpige na kitako hlf aje atume watu wake wakuue , hv wabongo mnatatizo gan mnapojadili mambo , ni km upande mmoja wa kufikiri mnauzima , simlaumu huyo afande maana si kichaa , swala la kuua ni kielelezo ana kero ambayo imamshika hapa na hana namnaUkipewa silaha umeaminiwa
Haijalishi utaambiwa upumbavu gani haifai kutumia silaha pasipo na ulazima
Kama alimaindi angempiga hata na kitacho cha bunduki
askari hajai nyembe
Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....