ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti inayoelezea mbinu za Marekani kuidhoofisha Urusi iitwayo Rand Corporation 2019

    Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi pamoja na uwezekano wa kila mbinu kutimiza lengo hilo. Kilichonishtua zaidi ni kuona kwamba yale...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mnaopata kiungulia kila Ripoti ya CAG ikitolewa oneni madudu yanayotokea kwenye nchi za wazungu

    Wakati Tanzania ikizozana kuhusu uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, hebu tutazame hali katika mataifa yanayodai kuwa vinara wa uwazi na utawala bora. Ripoti za hivi karibuni kutoka Marekani zinaonyesha kuwa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inashindwa kupitisha ukaguzi wa hesabu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake na ripoti fake

    Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake kama Tanzania 1. Tuna mfumo wa Demokrasia ambao serikali ndiyo inaongoza kudidimiza! 2. Ripoti za...
  5. 5523

    JamiiForums Tanzania BBC: Urusi imeipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

    Ni mwendo wa kula uliwe Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza. Mafuta...
  6. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inaunda sana Tume za Uchunguzi na Ushauri, ila sasa Utekelezaji wa Ripoti zake utafanyika lini?

    Hili ni suala linalogusa hisia za wengi, hasa inapokuja kwenye uwajibikaji wa serikali na tija ya Tume zinazoundwa mara kwa mara. Ni kweli kuwa Tume zimekuwa sehemu ya utamaduni wa kushughulikia masuala mazito nchini, lakini mara nyingi matokeo ya kazi zao hayaonekani kufanyiwa kazi kwa kiwango...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Ukaguzi ya Mwenendo wa Ufanisi wa Shughuli za Ujenzi Maeneo ya Mijini

    Wakuu, Hii hapa ripoti (nimeambatisha hapo chini) ya ukaguzi wa shughuli za ujenzi wa majengo maeneo ya mijini.
  8. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Makamishna wa Mamlaka za Kodi Afrika Mashariki wazindua ripoti ya utendaji

    Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti za kila siku zinaonekana kama ni fake! wananchi hawapati taarifa

    Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu. Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume ya Lowasa kuhisu Majengo ilifanyiwa kazi?

    Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko! Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto. Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: Kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kifua Kikuu duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo ni kubwa zaidi iliyorekodiwa tangu WHO ilipoanza ufuatiliaji wa TB duniani mwaka 1995. Hili...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini: hakuna gazeti hata moja lililoandika habari hiyo!

    Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
  13. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Ripoti WFP: Watu Milioni 27 hawana Chakula Kusini mwa Afrika, Watoto Milioni 21 wamepata Utapiamlo

    Nchi za Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Angola na Msumbiji zimeripotiwa kukumbwa na hali mbaya ya Upatikanaji wa Chakula, hali inayosababisha takriban Watu Milioni 27 kutokuwa na uhakika wa Chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

    Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Wanawake walioko katika Jicho la Umma wanapitia zaidi Ukatili wa Mtandaoni

    Ripoti ya UNESCO "The Chilling: Global Trends in Online Violence Against Women Journalists" inaeleza kuwa wanawake wanaojulikana hadharani kama waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu, wanaharakati, na wabunge wanakumbwa na viwango vya juu vya ukatili wa mtandaoni. Takwimu zinaonyesha...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje? Tanzania yapanda chati kwenye ripoti ya uhuru wa vyombo vya habari duniani

    Wanabodi, Kama unaishi Tanzania basi bila shaka utakuwa unafahamu kuwa media zetu haziko free kama ambavyo zinatakiwa ziwe. Suala la kukosoa serikali limekuwa ni nadra sana kusikika kwenye media za Tanzania ambapo media nyingi zimekuwa ni mouthpiece ya chama tawala wakiogopa kuikosoa serikali...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ripoti Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC): Wanawake Viwandani wananyanyasika kingono

    https://www.youtube.com/live/380UNEwvBCo?si=ES97yMPqBEkG_Qon Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) wakati kikizindua Ripoti ya 10 ya Biashara na Haki za Binadamu leo August 27, 2024, Afisa Program Mwandamizi wa Tafiti kutoka kituo hicho, Fundikila Wazambi amesema kuwa wamebaini...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua Ripoti ya Msaada wa Kisheria-2023

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023. Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na mjadala, ambapo kati ya wazungumzaji ni Dr. Helen Kijo-Bisimba, Dr.Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Takriban benki zote za China zinakataa kushughulikia malipo kutoka Russia, ripoti inasema

    Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha. Takriban benki zote za Uchina zinakataa malipo kutoka Urusi, ripoti kutoka kwa kituo cha Urusi cha Izvestia inasema. Soma Pia: Marekani...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
Back
Top Bottom