reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI Dar es Salaam, Tarehe 15 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli ya yenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa hawajalipwa fedha zao

    Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza ukiendelea ukiwa na jumla ya kilometa 1,219, kuna mambo kadhaa hayaendi sawa huku nyuma ya pazia. Ipo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Daniel Sillo asema bila ya kuwa na Bandari imara Reli ya SGR haitakuwa na manufaa

    Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya bajeti na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 22, 2023 amesema ya kwamba wapo waliobeza filamu ya Royal Tour lakini leo watalii wameongezeka Mhe. Daniel Sillo akasema hata swala la uwekezaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Reli ya gharama kubwa, ajabu, vichwa vya treni yenyewe vya ajabu ajabu

    Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani! Haya, kichwa chenu hicho hapo.
  5. JamiiForums Tanzania Wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA (1968 – 1975) zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa

    Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia, pia timu ya Wataalam na Wahandisi 13,500 kutoka China. Reli hiyo iliyojengwa kati ya Mwaka 1968...
  6. JamiiForums Tanzania Madhumuni ya Rais yalikuwa kuifanya bandari ya DSM kuwa ya Mwendo kasi ya kisasa kama SGR. Watekelezaji wamechemsha kwa kuanza na International Treaty

    1. Madhumuni (vision) na malengo (objectives) mazuri ya Rais wetu, ambayo aliyatangaza wazi hadharani, yalikuwa ni kuifanya bandari ya DSM kuwa ya kiwango cha mwendo kasi, cha kisasa na cha viwango vya kimataifa (international standards) kama zilivyo bandari hususani zile za Singapore na Taiwan...
  7. JamiiForums Tanzania Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

    Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja. Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu...
  8. JamiiForums Tanzania Reli ya DAR (Treni ya Mwakyembe) kubinafsishwa rasmi

    Serikali imesema Reli ya Dar es Salaam (Dar -Commuter Rail) maarufu kama treni ya Mwakyembe ni moja ya miradi inayokusudiwa kuendeshwa na sekta binafsi ikiwa ni utaratibu wa kutekeleza Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26. Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu...
  9. JamiiForums Tanzania Safari za Reli ya SGR Dar Moro zanukia Kuanza Julai 2023

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE ASEMA SAFARI ZA DAR - MORO KUPITIA RELI YA SGR KUANZA JULAI, 2023 Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR) ambayo yamewasili kutoka nchini Ujerumani tayari kwa kuanza majaribio mwezi ujao. Naibu Waziri Mhe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DP World na Bandari imeshatutoa katika Reli juu ya Tuhuma Kuu nyinginezo za Wizara ya Nishati

    Kama kuna Watu nawapenda basi ni Watanzania kwani ni wepeei kuhamishwa Fikra na Mitazamo huku wakiridhishwa na Asali ya Timu zao Kubwa za Simba na Yanga kwa Kusaidiwa na Rais na Serikali.
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Bandari, namshauri Rais tubinafsishe Shirika la Reli

    Kiukweli mie ni mmoja wa waliofurahishwa na mchakato wa kubinafsishwa bandari ya Dar es salaam. Wadau sote tunajua kuna uvujaji mkubwa wa mapato pale port unaotokana na urasimu, ucheleweshaji mizigo, rushwa, Wizi, ukwepaji kodi na hivyo serikali kuambuliakidogo huku kipato kikubwa kiki toroshwa...
  12. JamiiForums Tanzania Behewa za kisasa za reli ya SGR zimewasili

    Ni behewa za kisasa na zenye mwonekano wa kupendeza zinazotarajiwa kuanza kubeba abiria mapema mwezi ujao kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro. Ni ndoto iliyootwa na ndugu hayati Magufuli na sasa rasmi inaenda kuanza kutimilika hivi karibuni. Hongera hayati Magufuli na hongera Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna Hasara Ujenzi wa Reli ya SGR Tabora - Kigoma

    MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali fikirini kimkakati kuhusu reli ya Dar es salaam - Moshi-Arusha

    Habari wana jf. Leo napenda kuwasilisha wazo la kimkakati linaloweza kuharakisha maendeleo ukihusisha miundo mbinu ya reli hasa Kanda ya kaskazini. Ili kuboresha biashara hasa na washirika wetu wa Afrika Mashariki tunatakiwa kuwa na reli ya SGR ukanda huu. Arusha na Moshi ni eneo la karibu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kokoto zinafanya kazi gani kwenye reli?

    Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
  16. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya Dar - Ruvuma unaopangwa utafaa sana. Uanze mapema

    Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya ufisadi kubainika, bodi shirika la reli yavunjwa na mtendaji mkuu wa wakala za ndege za serikali atenguliwa.

  18. JamiiForums Tanzania Jarida la reli na matukio toleo la 27

    UNAWEZA KUSOMA AU KUPAKUA KUPITIA KIUNGO HIKI https://www.trc.co.tz/publications/13
  19. S

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  20. JamiiForums Tanzania Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

    Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka. Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…