reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kinakwamisha uboreshaji reli ya TAZARA Dar kwenda Lusaka?

    Kama mdau wa maendeleo wa nchi hii yetu pendwa..nimekua toka enzi za utoto nikiona matumizi makubwa ya RELI ya TAZARA. Katika utawala wa Mwinyi na Mkapa RELI hii ilikuwa ni kitovu cha uhudumiaji nchi za ukanda wa kusini kama Zambia, Malawi, Congo DR nk. Abiria na mizigo Mingi ilisafirishwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji ukimya wa Serikali kuhusu fidia ya waliopisha Reli ya SGR Tabora

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR kuchelewa kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, Mbunge wa Igagula, Venant Daud Protas amehoji juu ya hatma ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunauliza kulikoni ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza hadi Isaka?

    Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za kupelekea ujenzi huo kusimama ghafla.
  5. JamiiForums Tanzania Serikali Kufufua Usafiri wa Reli ya Kati Kiwango cha META GAUGE Kutoka Dodoma Mpaka Singida

    SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA "Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha Nehemia Gwau, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida "Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
  6. JamiiForums Tanzania Reli ya SGR itakidhi mahitaji ya baadaye?

    Nikiangalia ujezi wa reli ya SGR naona una track moja tu inayotoka Dar es Salaam mpaka Dodoma na ujenzi wa kwenda maeneo mengine kama Mwanza na Kigoma ukiendelea. Kuna matarajio makubwa sana kwenye reli katika usafirishaji wa abiria na mizigo. Swali langu la msingi ni hili. Kama track ya reli...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuna kelele Nyingi za Kuendesha Kwa Reli zetu na kampuni Binafsi sasa huko walianzia mambo si mambo tena

    Metro – End of the line for failing train firms Labour has pledged it will nationalise the railways should the party prevail at the next election, Metro reports. Shadow transport secretary Louise Haigh told the paper the “current model doesn’t work for anyone”. The plan would see a Great...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake...
  9. JamiiForums Tanzania ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...
  10. JamiiForums Tanzania Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
  11. JamiiForums Tanzania Kadogosa: Kwenye Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki, Rais Samia kawazidi Wajerumani

    Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania Zaidi soma hapa: "Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
  12. JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi Wakaribishwa Kuwekeza Katika Reli

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha reli ya TAZARA pamoja na reli ya kutoka Dar es Salaam ,Tanga mpaka Kilimanjaro ili reli hizo ziweze kufanya kazi kwa ufanisi Mkubwa. Kihenzile ameyasema hayo kwenye kongamano la Reli...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  14. JamiiForums Tanzania Masanja Kadogosa: Kukatika kwa umeme hakutakwamisha utendaji wa Reli ya SGR

    Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya Ziara Kutembelea Reli ya Kati Kujionea Hali ya Uharibifu Morogoro

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu. Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Fursa ya uwekezaji Reli na barabara kwenda Zambia baada ya hili

    https://www.cnbc.com/2024/02/05/bill-gates-backed-miner-discovers-large-scale-copper-deposit-in-zambia.html
  17. A

    JamiiForums Tanzania Shirika la reli (trc) acheni uhuni

    Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila imekwama maeneo ya same pasipo shirika la reli kutoa taarifa kwa uma au abiria huku wananchi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeletewa Nabii Lovy tutoke nje ya reli

    Watamzani tunapotezwa kirahisi Sana. Tumeletewa Prophet kutoka sijui wapi huko na tumeanza kuaminishana ni mtamzania! Alikua mwanamuziki ila kakutana na Yesu (Yesu ni uongo), kajaza uanja na watu wametolewa mapepo!?!?! Kuna kipi kipya!?! Watanzania ni wajinga sana. Tumesahau kuhusu Vice...
  20. JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi atangaza zoezi la kupunguza wafanyakazi 648

    TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI) TAREHE 25/11/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…