Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno.
Hoja za...
Hii SGR iliyopo kwenye mipango ya kujengwa ni tishio kubwa sana kwa Kenya. Itagusa moja kwa moja maslahi yake, si kiuchumi tu bali pia kwenye ushawishi na udhibiti wa biashara Afrika Mashariki.
Mradi huu unapunguza utegemezi wa Uganda kwa miundombinu ya Kenya, jambo linalotishia nafasi ya...
Yeye si ana vyombo vya habari na ana majukwaa ya kisasa, basi aendelee kupromoti mziki na wanamuziki wake. Hatuna muda wa kujadili mambo yake tena issue yake ikifika jioni tujihidi abaki anajadili yeye na mkewe. Mbona hasemi ndugu zetu waliopoteza uhai anaona kipato cha wanamuziki wake bora sana...
Tarehe 4 Septemba 2024, kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Africa (FOCAC) uliofanyika mjini Beijing, China, makubaliano kati ya China, Tanzania na Zambia kuhusu kuihuisha reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) yalisainiwa mbele ya marais wa nchi hizo tatu. Hatua hiyo...
Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.
Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na watoto waliowaua kikatili sana.
Kulenga kumjadili Samia na baraza lake haramu ni kuanza kumpa uhalali...
Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona.
Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado KKKT walitoa nyaraka mbalimbali kumsema na kuituhumu Serikali yake kwa ukandamizwaji wa haki za...
Moja ya silaha waliyonayo nikuwatumia watu maarufu kama hili boya Mwijaku ambaye anapata kidogo chake kutoka kwa watawala eweee kijana usikubali kurubuniwa kwa chapati, msitoke kwenye reli wapo wengi wametumwa kuna yule na wimbo wake wa nani potezeeni.
Bei/Price TSH 21.5M
Call +255 747 999 927
TOYOTA HILUX
Year: 1996
Engine: 3 L
Mileage: 120K
Fuel: DIESEL
Transmission: MANUAL
Sport Rims
Am/Fm Radio
Android Radio
Clean Interior
In Good Condition
Exchange Possible
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri.
Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali muda, mazingira na hata kutoa taarifa. Ukweli mmekidhi viwango vya kimataifa.
Kwa mara zote...
==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
Rais Samia akiwa katika ziara Mkoa wa Pwani ameshiriki uzinduzi rasmi wa safari za mizigo za reli ya SGR, Uzinduzi wa kituo cha kimataifa Logistic cha Kwala na uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala amewataka Viongozi kuendelea kuhamasisha wadau wa sekta binafsi wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia...
Utendaji wa shirika la reli nchini hususani treni za kutoka na kuelekea mikoa ya Dodoma, Tabora na Kigoma limekua linakatisha tamaa kutokana na huduma zake za kubabaisha treni halina muda maalumu wa kutoka pia hakuna muda maalum wa kusimama vituo vikubwa ,lugha ya uongo kutoka kwa waongozaji wa...
Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.
Trump amemtaja bilionea huyo na mfanyabiashara wa makampuni ya SpaceX na Tesla kuwa ni mtu aliyetoka kwenye reli...
Nchi ya Zambia ni moja ya mtumiaji mkubwa sana wa bandari ya Tz mwaka huu pekee amepitisha zaid ya ton 2M kweny bandar yetu ya Dar na hii ni pamoja na changamoto zote za bandari na umbali kutoka Dar hadi tunduma kwanjia ya barabara
Ningependa kuona tunampango wa kupeleka sgr uko sababu mizigo...
Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi.
Ukienda dirisha la tikiti yupo unayemuambia unakokwenda na muda wa treni unayotaka, kisha anaelekeza kwa mwandika tikiti naye...
Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi,
Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
Mdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa:
Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umuhimu wa mwamuzi huru?
Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia?
Hii nchi mbona ni yetu sote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.