rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

    Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukizidisha mahitaji hayo ya silaha. Poland ambayo iko katika harakati za kupanua jeshi lake, ilifanya...
  2. Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote

    Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote ni hizi hapa:
  3. Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Habari wadau. Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana. Tips muhimu za kuishi maisha...
  4. Manchester United Yaendeleza Rekodi yakutokufungwa Siku ya Boxing Day Yaipasua Aston Villa 3-2

    Club Ya Manchester United Alimaarufa Mashetani Wekundu imepata Ushindi katika Mchezo wake dhidi ya Aston Villa ambapo Mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Old Trafford. Aston villa walikua wa kwanza kutangulia kupata goli 2 kupitia kwa Captain McGinn na Dendoncker Lakin Man Unuted ikafanya...
  5. J

    Israel anapata wapi hiki kiburi? Ameweka rekodi ya kuuwa wafanyakazi wengi zaidi wa UN na waandishi

    Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel...
  6. Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

    Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam. Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) Upasuaji huo wa historia umefanyika kwa wagonjwa watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 katika...
  7. LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

    Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
  8. Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

    Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa. ile ya 5-0 timu zilishalipizana 1968: Yanga 5-0 Simba 1977:Simba 6-0 Yanga 2012: Simba 5-0 Yanga 2023:Simba 1-5 Yanga
  9. Bondia Fadhili Majiha avunja rekodi ya Mwakinyo kwa kufikisha nyota 4.5

    Bingwa wa ndondi Mkanda wa WBC Afrika, Fadhili Majiha na bondia namba moja Tanzania 'Kiepe Nyani' ameweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kupata hadhi ya nyota nne na nusu tangu nchi ipate uhuru huku akivunja rekodi ya Hassan Mwanyiko na Tony Rashid katika mtandao wa Boxrec. Majiha ameweka...
  10. Kama ni hivi sasa itakuwaje rekodi ya kipekee ya Simba

    MACHO na masikio yote ya mashabiki wa soka nchini kwa sasa yameelekezwa katika mchezo mkali na wa ‘Derby ya Kariakoo’ utakaozikutanisha Simba itakayokuwa wenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumapili hii ya Novemba 5, unaweza kujiuliza itakuwaje? Kwa kuwa rekodi Jumapili zipo upande...
  11. Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House. Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani. Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
  12. D

    Kelvin Kiptum ashika rekodi mpya ya dunia katika marathon huko Chicago (2:00:35). Kipchoge kwisha habari yake!

    Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09). Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
  13. UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
  14. Mwanariadha Mtanzania Magdalena Shauri aweka Rekodi ya Taifa Berlin Marathon

    Mwanariadha pekee wa Tanzania wa kike, Magdalena Shauri ameshika nafasi ya Tatu na kuweka rekodi ya Taifa kwa kukimbia muda wa 2:18:41 katika mashindano ya berlin Marathon Leo huko Ujerumani. === Assefa clocked 2hr 11min 53sec, more than two minutes ahead of the previous world mark of 2:14:04...
  15. R

    Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

    Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"? To...
  16. Video: Aweka Rekodi mpya ya Riadha, Afisa asimamishwa kazi

    Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano ya kimataifa. Mwanariadha huyo Nasra Ali Abukar, alikimbia na alivuka mstari wa kumaliza kwa sekunde...
  17. Al Hilal kuvunja Rekodi ya Dunia, yatenga Tsh. Bilioni 812 kumnasa Mbappe

    Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya kuhitaji saini ya nyota huyo. Mbappe aliyebakiza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia PSG, amedaiwa...
  18. Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

    Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30. Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja. Takwimu za timu hiyo: Mechi 30 Ushindi 00 Sare 04 Kupoteza 26 Pointi 04
  19. Ashindwa kuvunja Rekodi ya Kulia kwa Saa 100, aishia saa 6

    Raia wa Nigeria, Tembu Daniel maarufu kama ‘Towncryer’ ameshindwa kufikia lengo lake la kuweka rekodi ya dunia kwa kulia kwa saa 100 mfululizo ambapo amekomea saa 6 na sekunde 42. Ash
  20. Tuweke rekodi sawa. Hayati Magufuli hakuwahi kuzuia wakulima kuuza mazao nje

    Kuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…