rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi sawa. Hayati Magufuli hakuwahi kuzuia wakulima kuuza mazao nje

    Kuna Sukuma gang uchwara wanataka kusema kuwa JPM alikuwa akizuia wakulima kuuza mazao nje. Wanapotosha mchana kweupe. Sera ya Bashe ndiyo ilikuwa sera ya JPM. Ndiyo sera iliyokuwa inaenda kumkomboa mkulima. Hakuwa na hizi sera za kuiba mali ya wakulima.
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rekodi na Takwimu za mwisho za Ligi ya Mabingwa UEFA/EUROPA

    Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa? UEFA Champions League 5 Karim Benzema (Real Madrid) 5 Dani Carvajal (Real Madrid) 5 Luka Modrić (Real Madrid) 5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid) 4 Gareth Bale (Real Madrid) 4 Casemiro (Real Madrid) 4 Andrés Iniesta...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania GUINNESS WORLD RECORD: Je, washindi wanaovunja rekodi duniani hufaidika vipi na rekodi zao?

    Kuwa mshindi wa Guinness World Record hakuna faida zozote za kifedha kama zawadi pale unapofikia record fulani katika nyanja mbalimbali. Hata hivyo unapatiwa hati maalumu ya utambuzi ambayo inakubalika na kutambulika kimataifa; hivyo mshindi kwa kupitia hati hiyo anakuwa amefanikiwa kujulikana...
  4. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Rekodi za SIMBA na kama wenye vyeti vya kuunga unga

    Kwenye rekodi ya timu ya kwanza kuchukua ubingwa ligi ya Tanganyika inasomeka SUNDERLAND lakini Simba wanadai ndiyo wao ila jina limebadilika Fainali ya CAF CUP 1993 SImba wanadai ndiyo CAF CONFEDERATION CUP ila JINA LIMEBADILIKA kwanini nyie ndugu zangu rekodi zenu mpaka kuderive derive?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa Yanga huu, kavunja kila aina ya rekodi Kombe la Shirikisho

    Kampiga na kumtoa nje ya michuano Mwarabu (Club Africain), hakuna timu Tanzania imewahi kumfunga Mwarabu akiwa kwenye ardhi ya nyumbani kwake ndani ya dk. 90! Kampiga Rivers nyumbani kwake ambapo alikuwa hajawai kufungwa tokea 2021 kwenye uwanja wake wa nyumbani, tukumbuke na Whydad Casablanca...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Yanga dhidi ya Timu za Afrika ya Kusini

    Wasalaam. Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho. Nawasilisha.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Masela na ndoto ya bahari Jangwani

    Kuna masela wawili pale jangwani waliofanikiwa kuipata chemchem baada ya miaka 88 na wananchi rasmi kuanza kuiota bahari katikati ya jangwa. Hawa ni viongozi wangu ila ni masela wenzangu pia. Wakati waanza masela hawa kila mtu hakuwa na imani nao kama wateza kupata maji jangwani na badala yake...
  8. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 wote hawajawahi kuivuka rekodi hii CAF Champions League

    Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998 Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana huishia robo fainali yaani ile ile 8 Bora walioishia Yanga, miaka ishirini na tano sasa
  9. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Barrick yaendeleza rekodi ya ushindi tuzo za Wiki ya Usalama na afya Mahali pa kazi (OSHA)

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhi tuzo ya OSHA mshindi wa jumla wa maonesho hayo Mkufunzi wa Usalama mahali pa kazi wa Barrick Bulyanhulu, Azaely Kitenge (katikati) ni Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Dkt. Adelhelm Meru...
  10. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Uongozi Simba SC waapa kuandika rekodi Afrika

    Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya mechi 10 za Simba Vs Yanga zilizopita, sare zimetawala, hakuna mbabe

    Mechi 10 zilizopita baina ya Simba dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara tangu Msimu wa 2017/18, kila timu imeshinda mechi 2 huku sare zikiwa ni 6. 29/04/2018: Simba 1-0 Yanga 30/09/2018: Simba 0-0 Yanga 16/02/2019: Yanga 0-1 Simba 04/01/2020: Simba 2-2 Yanga 08/03/2020: Yanga 1-0 Simba...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Australia: Aweka rekodi ya kupiga ‘push ups’ 3,200 kwa saa moja

    Lucas Helmke (33) ameweka rekodi hiyo katika ukumbi wake wa mazoezi uliopo Brisbane kuvunja rekodi iliyowekwa na raia mwenzake wa Australia, Mwaka 2022. Kila push up ilibidi isiwe na dosari ili kufikia viwango vinavyohitajika kwa rekodi rasmi ya Dunia, akitakiwa kuuweka sawa mwili wake...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Yanga kuruka ukuta mechi za dabi inatisha

    Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga. Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia...
  14. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga 4-5 Villa Squad: Rekodi ya 2008/2009 isiyoimbwa na inayoweza kupotea

    Leo nimeamua niweke katika kumbukumbu matokeo ya hii mechi ambayo hayanukuliwi mara nyingi kwa kuwa labda ilikuwa ni mechi ya mwisho katika msimu wa 2008/2009 tarehe 27/04/2009 kati ya timu ndogo ya Villa Squad iliyokuwa imeshashuka daraja dhidi ya Yanga iliyokuwa imeshanyakua ubingwa, na...
  15. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya simba kwenye michuano ya kimataifa ya CAF

    Katika kipindi cha miaka 5 Simba ndio klabu bora Afrika Mashariki kwa hatua walizopiga michuano ya Kimataifa ya CAF. Hatua ya makundi na Robo Fainali mara 4. Yanga itawachukua miaka 4 hadi 5 kuifikia hatua hii ya Simba.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya rekodi CAF: Yanga kufungwa magoli mengi zaidi kwenye hatua ya makundi champions league!

    Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998. Most goals conceded in group stage (single...
  17. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rekodi hii ya Simba inaweza isivunjwe miaka 20...

    Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa? Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Babu Zlatan Ibrahimovic afunga goli na kuweka rekodi Serie A

    Kitendo cha ZlatanI Ibrahimovic kucheka na nyavu akiwa na AC Milan kimeweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Ligi Kuu ya Italia ‘Serie A’ kufunga goli. Akiwa na umri wa miaka 41 na siku 166 amerejea uwanjani baada ya kuwa nje kwa miezi 14 alipokuwa...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC yavunja rekodi ya Raja kuifunga Yanga goli 6

    Hii ni rekodi ya vipigo vikali kuwahi kutolewa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika. Tulichofanya leo ni kuvunja rekodi ya Raja kumchapa Utopolo goli 6. 1998: 🇲🇦Raja [6-0] 🇹🇿Yanga 2001: 🇮🇪ASEC Mimosas [7-0] CR 🇩🇿Belouizdad 2019: 🇨🇩TP Mazembe [8-0] 🇹🇳Club Africain 2023: 🇹🇿Simba [7-0]...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mapacha waliozaliwa kwa Ujauzito wa miezi 4 waweka Rekodi ya Guinness kwa kuishi muda mrefu

    Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani. Kwa mujibu wa Guinness, Watoto hao wamezaliwa zikiwa zimesalia Wiki 18 kufika Wiki 40 zinazotakiwa Kiafya kwa Mama Mjamzito kuwa...
Back
Top Bottom