rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo rekodi zinazoshikiliwa na majiji nje ya Dar-Es-Salaam

    Muonekano mzuri city center - Mwanza Barabara - Dodoma Maji - Mbeya Huduma za Serikali - Dodoma Utalii - Arusha Vyuo - Mbeya Malls na supermarket - Mwanza Usalama - Dodoma Huduma za Afya - Mbeya Hali ya Hewa - Arusha Mzunguko wa pesa - Mwanza Unafuu wa maisha - Mbeya Ukarimu wa watu - Tanga...
  3. JamiiForums Tanzania REKODI ZA MAMA KATIKA MICHEZO

    Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee........... Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania. HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana ! Kupitia "goli la mama" tumeona Simba na Yanga zikifika fainali za kombe la shirikisho barani...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

    Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili 1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili 2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
  5. JamiiForums Tanzania Rekodi mpya Tanganyika baada ya miaka 62

    Kuna hesabu za kiroho hapa Mwaka 1962 Aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Uingereza alijiuzulu nafasi hiyo muhimu kimataifa baada ya kutofautiana na boss wake Hayati Mwalimu J.K. Nyerere Mchonga meno! Miaka 62 baadae (2025 haijakamilika hivyo sip 63) Aliyekuwa Balozi nchini Cuba na...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt 8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt 9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt 10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt 🌎 Rest of the World – 293Mt (in...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi mauzo kidigitali

    Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥 Habari mfanyabiashara! Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua? Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote. 📱 Bizi...
  8. JamiiForums Tanzania BADILI PASSORD ZAKO SASA HIVI: Password bilioni 16 zimedukuuliwa katika uvujaji wa data uliovunja rekodi, Facebook, Google, Apple,

    Data kadhaa za ID vya kuingia hufichua mojawapo ya ukiukaji mkubwa zaidi wa data katika historia, ukiwa na jumla ya ID cha kuingia cha bilioni 16 kilichofichuliwa. Data ina uwezekano mkubwa zaidi kutoka kwa watoa taarifa mbalimbali. HaBARI hii, kulingana na matokeo ya kipekee ya Cybernews na...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Talaka ya Zuchu imevunja rekodi ya Dunia

    Talaka 3 ndani ya siku 28 hizo zinafaa kuingia kwenye Guinness Worlds' Record.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuhifadhi rekodi za "MATAGA" & "CHAWA" kwa awamu tofauti

    Poleni kwa taharuki za udukuzi na kupata taarifa za kushtua mioyo. Nimeona heri tukumbushane hapa wale wanaharakati wa awamu ya 5 maarufu kama Mataga na hawa wa sasa kama chawa. Tujue huwa wanabadili IDs tu ama usajili huwa ni mpya kabisa. Kuna Id zilitamba sana enzi za mwendazake leo huzioni...
  12. JamiiForums Tanzania Bifu na malawi,south afrika na leo kenya ila ndio rekodi ya kwanza kwa raisi wa chama tawala.Na idd amin alifanya haya haya

    Katika mtu anayeongozwa kusemwa sana kwa utawala wake ni raisi samia hapa JF.Sio kusemwa kwa mazuri ni mabaya mengi ambayo wananchi wake wameshamchoka. Sema watanzania wanakatabia kama cha tenge tenge kuacha mambo. Sada haya mabifu ambayo kila kukicha tunatengeneza nchi za watu. Unaficha nini...
  13. JamiiForums Tanzania Google walipa wamevunja rekodi ya kulipa faini kubwa kwa kukusanya na kufuatilia taarifa za watu bila idhini. Hatupo salama

    Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

    Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema: Wekeni rekodi vizuri ya Matukio yote ya Utekaji, Kuuwawa, kulawitia na Kupotezwa kwa Watu wenu na Watanzania. Mtanishukuru baadae

    Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu. Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa. Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

    Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac. Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok. Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho. Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
  17. JamiiForums Tanzania Rekodi za Stellenbosch wala hazitishi, jionee mwenyewe

    Mpaka sasa Simba na Stellenbosch washacheza mechi 8 kila mmoja kwenye mechi za shirikisho msimu huu. Simba kashinda 5 Stellenbosch 4 Simba kadroo 1 Stellenbosch 1 Simba kafungwa 2 Stellen 3 Simba kafunga goli 10 Stellen 7 Simba karuhusi goli 6 Stellen 10 Simba ana clean sheet 4 Stellen 5...
  18. JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kuvunja rekodi walioshindwa yanga kwa kutwaa ubingwa shirikisho yanga hajawahi vuka hatua ya makundi Champion ligi.

    Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
  19. JamiiForums Tanzania Jeremy Monga aweka rekodi ya mchezaji mdogo wa pili kucheza EPL akiwa na miaka 15 tu

    Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL. Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game. Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74...
  20. JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo kwa miezi 9 mfululizo yakusanya trilioni 24.05

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…