refa

REFA, the Association for Work Design, Business Organization and Business Development is Germany's oldest organization for work design, business organization and business development.
It was founded in 1924 as the Reichsausschuß für Arbeitszeitermittlung (English: Reich Committee for Working Time Determination). During the Nazi era, it was known as the Reichsausschuß für Arbeitsstudien (English: Reich Committee for Labour Studies).

View More On Wikipedia.org
  1. covid 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick...
  2. Mcheza Piano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila, tunaweza kumroga refa wa jana na timu nzima ya VAR?

    Inawezekana kuwashusha busha na kupiga chata ya Yanga kwenye busha?
  3. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

    Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu! Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafiki mnaomlaumu Refa Kayoko wa leo mna uhakika sikuwahi kuwaambia kuwa ni Mwananchi na Tajiri wa Ice Cream naye sasa Anahonga?

    Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute. Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi. GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu...
  5. Life2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba wanalia na refa Ramadhani Kayoko wajiulize ni lini mara ya mwisho wameifunga Azam.

    Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch. Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi...
  6. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Refa Ramadhani Kayoko jiandae kwa Albabadili

    Tumeamua Sasa kukomesha tabia za kuhongwahomgwa. Tunatambua kuwa GSM walikulipia mahari na kukolea Mke. Kisha GSM waligharamia harusi yako. Mkataba wako na GSM ni kuhakikisha mechi zote za Simba utakazo Samamia basi Simba wasishinde. Sasa nakupa Taarifa kuwa tumeamua kumlilia Mungu. JIANDAE...
  7. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunahitaji aina ya refa kama yule aliyechezesha mechi ya Zambia na Congo, Januari 17, 2024

    Jana nimefurahishwa na huyu refa, kama kuna matokeo niliyapenda ni ya jana watu waligawana point kihalali. Kikubwa zaidi kumpongeza huyu bwana na wachezaji kumhadaa refa awape penalty. OK kibinadamu akataka kuhadaika wachezaji pinzani wakamfwata wakamkomalia tunaomba VAR, refa kapeleka mpira...
  8. Life2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba walikua na faida ya refa na wachezaji wao wa zamani

    Kwa wasiofahamu mchezo wa jana simba walipata ushindi wa penalti kwa faida ya vitu viwili mosi refa alikua upande wao kwa aasilimia kubwa na pia wachezaji wake wa zamani wanaotumika kama maafisa vipenyo pale Singida. Simba wao wanahisi Singida utd na Yanga ni ndugu basi kutambua hilo...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pale Refa anapokuwa mchezaji wa 12 uwanjani...

    Football Agenda or Agenda in football?
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa wa Kombe la Mapinduzi kanichekesha sana!

    Nilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa. Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad Waziri kadi ya njano huku anamrushia matusi. Inaonyesha kuna maneno ya kuudhi ambayo Waziri alimtamkia...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uturuki: Refa achapwa makonde kwa kuongezwa muda uliosababisha wapinzani kusawazisha

    Ni siku ya Jana katika mechi ya Ankagurcu vs rizespor. Aliongeza mda mrefu na kusababisha wapinzani kusawazisha. Maamuzi yenye ukakasi na wanayolalamikiwa sana marefa huenda yakaleta madhara kama haya Tanzania. Inasemekana wengine Huwa Wana beti.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa aliewanyima goli Yanga kwenye mechi yake na Medeama, hawezi chukuliwa hatua?

    Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside? Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika? Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi? Huyu...
  13. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

    Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale! Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

    Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu, Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
  15. Black jew

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Coast vs Mashujaa refa alikuwa kiongozi wa kupoteza muda

    Mechi ya hiy tajwa inaonesha bado tunasafar ndefu ya kumakiza tatizo la mpira uchweze zaid na kupunguza kusimama bila sababu na mech ya leo mwamazi aliongoza hiloo. Kil ikitokea faul alikuwa anachukua muda mrefu kutoa maelezo mengi na kupoza mpira na kama kungekuwa na stop watch bas mpira...
  16. Kilimbatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa anayechezesha gemu ya Mamelodi vs Atletico de Luanda anajaribu kuwatengenezea mazingira Al Ahyl ya ubingwa

    Dakika ya nne ya mchezo tayari keshatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Mamelodi Beki wa Mamelodi ndiyo alicheza faulo ila haikustahili straight red card Tunajua Al ahyl hana ujanja mbele ya mume wao Masandawana Huwa tunajipigia nje ndani Refa tunakuangalia kwa jicho la mwewe Ombeno Mamelodi...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo chenu cha Kufurahia sana Refa wa Mechi yenu kutoka Congo DR Kwao Wakongo mlionao Kutawaponza

    Taarifa za ndani nilizozipata kutoka Jikoni katika Klabu moja na hata kule Kwenyewe kabisa CAF ni kwamba kama kuna Refa ( Mwamuzi ) ambaye atachunguzwa mno Maamuzi yake Kiuchezeshaji Siku hiyo basi ni huyu kutoka Congo DR. Na Watu fulani wasivyo na Siri mpaka akina MINOCYCLINE tunapata Taarifa...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa asimamishwa baada ya kutumia VAR feki

    Refa asimamishwa kazi kwa kutumia simu ya shabaki kukataa goli Mwamuzi wa Misri Mohamed Farouk amesimamishwa kazi kwa kutumia simu ya mtazamaji kukataa bao katika mechi ya ligi. Al-Nasr walidhani walikuwa wamefunga bao la kusawazisha dakika za lala salama wakiwa ugenini kwa Suez katika mechi...
  19. dyuteromaikota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namba ya huyu refa anayechezesha mechi ya leo, yanga na prison

    Naiomba jamani, mwenyewe nayo anipe pm. Ahsante in advance
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Refa anayechezesha leo Simba vs Coastal nimempenda jinsi anavyofanya

    Ana wa frustrate sana Simba.... 😂😂😀😂 Anawanyima fouls na hata wakichezewa rough anawachunia. Yaani kifupi simba leo lazima wapigwe iwe iweje. Na anawafundisha kuwa ngangali. Anawaumia meno kinyama. Coastal wapigeni hao mapaka.... Leo wakijitahidi ni draw. Nimekaa hapa. Simba leo hashindi. Piga ua.
Back
Top Bottom