Refa Frank Komba na mwenzake wafungiwa

Refa Frank Komba na mwenzake wafungiwa

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
16,894
Reaction score
25,909
IMG_1966.jpeg
Mwamuzi wa kati Hance Mabena na mwamuzi Msaidizi Frank Komba wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano ya NBC PL 🇹🇿 kwa kuonyesha mapungufu ya kiuchezeshaji na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu kwenye mechi ya Simba dhidi ya Pamba Jiji.

Je, hawa wanastahili kufungiwa tu ama waondoshwe ? Timu iliyopoteza kwa maamuzi ya hawa inaweza kufidiwa point?

Kwanini sheria na kanuni zinawabeba?
 

Attachments

  • IMG_1967.jpeg
    IMG_1967.jpeg
    196.1 KB · Views: 6
Walikosea kitu gan kwenye mchezo huo

Kwa wale waliopata mda wa kutazama
 
Back
Top Bottom