refa

REFA, the Association for Work Design, Business Organization and Business Development is Germany's oldest organization for work design, business organization and business development.
It was founded in 1924 as the Reichsausschuß für Arbeitszeitermittlung (English: Reich Committee for Working Time Determination). During the Nazi era, it was known as the Reichsausschuß für Arbeitsstudien (English: Reich Committee for Labour Studies).

View More On Wikipedia.org
  1. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Anayemjua Refa Kayoko amsomee hii

    Hakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi. Refa siyo adui wa mchezaji ni rafiki mkubwa wa mchezaji, ukimuiga Corina kutumbua mijicho hivyo haimaanishi kuwa wewe utakuwa Corina, lakini ukumbuke Corina vile ndivyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni Nani amekudanganya kuwa kupata Ajira ni ngumu? au unahitaji Refa wa kuunganishia?

    Nianze Kwa kusema “kwa kuwa uliamini hivyo ndiyo Maana hujapata, umechelewa sana kupata au hujapata Ile Ajira unayoihitaji”. Hapa kwanza tuliza akili ili uweze kupokea kitu, hasa vijana. Napenda utambue kuwa nilikuwa kama wewe. Ajira zipo nyingi Sana, zinatoka na kutangazwa Kila dakika kutoka...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mpira: Ni utaratibu upi wa kupata sifa ya kuajiriwa kuwa refa ama mshika kibendera, Maslahi ya kazi yapoje, vitu gani vya ziada vizingatiwe?

    Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu, Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje. Ningependa mnijuze haya.. - Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa, - Ataanzia wapi na atatumia...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Refa Aragije kuwa makini sana tafadhali, kwani Kesho ukifanya Mzaha unaweza kujikuta unaishia ICU Meru Hospital

    Hizo Simu ambazo kila mara unapokea pokea tu kuwa nazo makini na Kesho chezesha kwa Haki sasa haribu ukione. Wenye Akili na Mapenzi na Mkoa wa Tanga tunajua kuwa Coastal Union FC ya Kesho itakuwa si ile Watu waliyoizoea bali ya Kesho itakuwa kama FC Barcelona au PSG FC kwa itakavyoupiga mwingi...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dodoma Jiji wanaweza kuifunga Yanga, Je refa atakubali?!

    Mifano ya Yanga kusaidiwa ushindi na marefu ni mingi,haiesabiki. Dodoma Jiji wasiopohujumiwa na uongozi wanaweza kabisa kuifunga timu mbovu ya Yanga. Lakini najiuliza refa atakubali?!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mechi ya leo waliyoikaba Yanga ni Refa na Fei Toto

    Refa kaikaba Yanga kwa kukataa lile bao halali la Ruvu shooting kwani kona au winga akikimbia na kumaliza uwanja na kutoa cross kwa vyovyote vile bao lile ni halali, vile vile ni kwenye kona, ikipigwa kona haiwezi kuwa offside mbona mpigaji yoko kwenye kibendela ? Refa iliikaba Yanga kwa sababu...
  7. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Refa kapeta faulo aliochezewa Zimbwe ndani ya box!

    Maoni yangu ile ilikuw faulo kabisaa ndan ya box na ilipaswa ipigwe penant! Wachambuzi hawalioni hili?......... Dadeki zako 🐸nitakutafuta nusu fainali FA!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Maandalizi niliyoyaona kama Kesho Refa Kayoko akifuata Sheria zote 17, Kuna Timu itafungwa vibaya na hawatoamini

    Kuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi. Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.
  9. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Refa wa Simba, Yanga ajadiliwa usiku mnene Dar

    JOTO la mpambano wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Simba utakaopigwa Jumamosi Aprili 30, 2022 saa 11 jioni wiki hii katika Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda. Hii sio tu kwa mabosi wa timu hizo, ila hata mashabiki wao. Lakini kuna tukio kubwa lililojiri jijini Dar es Salaam jana usiku. Vigogo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyote mnaosema kuwa Simba SC jana ilionewa sana na Refa ( Mwamuzi ) tafadhali nijibuni upesi haya Maswali yangu yafuatayo

    Je, 1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana? 2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu? 3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

    Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi. Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jean Jacques Nadala: Refa aliyedharauliwa na wachambuzi wa Bongo kuchezesha Kombe la Dunia, 2022

    Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia. Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside Pia...
  13. Inkotanyi 94

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuachiwa Huru: Leo mshitaki, mshitakiwa na refa, wote wanasherehekea

    Michezo ya kisiasa huwa iko complex kiasi kwamba huzalisha conspiracies nyingi. Kwa bahati mbaya na kwa heshma ya msemo wa "the majority are always not right" huwa tunaangalia kile tu tunaona(patent). Mi kwa mtazamo wangu 1. Serkali na CCM kama chama tawala ndo washindi No moja katika sakata...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa

    Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu

    Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu
  16. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Salima Mukansanga Refa wa kwanza mwanamke katika mashindano ya Afcon

    Picha: Salima Mukansanga Salima Mukansanga ameweka historia kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu nchini Cameroon, kwa kuwa mwamuzi wa kwanza mwanamke kwenye mashindano ya wanaume. Mnyarwanda huyo mwenye umri wa miaka 33 alisimamia mchuano wa Afcon siku ya Jumatatu...
  17. Huja

    JamiiForums Tanzania Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
  18. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anatakiwa kuwa kama refa uwanjani

    Wakuu Leo naomba tupate elimu kidogo kwenye mada inayohusu nidhamu ya uongozi na wajibu. Kwenye nchi zetu za Kiafrika viongozi huwa wanajisahau sana wanapofika kwenye nafasi za uongozi kutokana ulimbukeni wa madaraka na mali na kusahau jukumu la uongozi. Kiongozi wa taifa inatakiwa afanye...
Back
Top Bottom