refa

REFA, the Association for Work Design, Business Organization and Business Development is Germany's oldest organization for work design, business organization and business development.
It was founded in 1924 as the Reichsausschuß für Arbeitszeitermittlung (English: Reich Committee for Working Time Determination). During the Nazi era, it was known as the Reichsausschuß für Arbeitsstudien (English: Reich Committee for Labour Studies).

View More On Wikipedia.org
  1. Dabil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa ashangilia goli la Yanga

    Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
  2. Mchochezi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu refa alikuwa na haraka ya nini?

    Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika. Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari ndefu sana
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

    Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu. Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi. Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
  4. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa aliecheza mechi ya simba aondolewe achunguzwe...Tff msibebe wajinga kama hawa mtasababisha fujo

    Niliwahi sema aliesema mpira wa tanza kichwa cha mwendawazimu hakukosea kabisa. Yaan maamuzi ya kijinga ya kipuuzi kabisaa Goli la simba offside kabisa hakuna goli kama lille hata kama mhamala wa simu umesoma. Amejizalilisha sana refa na wenzie Kaongeza dk 10 Unachezesha dk 13 Kwenye nchi za...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

    Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports Vs Jkt Tanzania Vs Coastal Union Vs Tabora United SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani Vs Singida Black Stars Vs...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo wapi Refa wa Yanga Ramadhani Kayoko?

    Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi?
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  8. pet geo pet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa alikuwa sahihi katika mchezo wa Simba vs mwarabu ..

    Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100% .someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujadili: Refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa, tumebebwa au ni sahihi?

    Wakati tunafurahia matokeo haya, tujiulie: je, ilikuwa sahihi kwa refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa? Wachambuzi tusaidieni na wote tuweke ushabiki pembeni. All In all, hongera Taifa Stars maana hata Yanga goli lao lilikataliwa Mamelodi akabebwa. Mungu ametulipa watanzania. Soma Pia...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba mechi 6 zote mnabebwa na Refa hamna kelele. Leo mbebwe na kupoteza kisha kelele?

    I will be short Simba since community shield Refa anawabeba tu . Magoli yote ya offside na penalty feki amna kelele. Leo mechi na yanga mmebebwa sana. Mnapoteza Refa ndo tatizo. Akili za makolo sijui zipo wapi? Football usipo kuwa fair . Uwezi jua quality yako. Leo yanga Kanyimwa penalty...
  12. Dabil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

    1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa uliyechezesha game yetu Simba jana, hatukudai

    1. Ulikuwa upande wetu mwanzo mwisho 2. Ukazui tusifungwe la tatu 3. Maelekezo uliyopewa uliyatekeleza ipasavyo.
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa apuyanga, awapa tuta jepesi mno Prison wakicheza dhidi ya Fountain Gate leo

    Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa. Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha. Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza...
  15. Dabil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashauri mechi ya derby ichezeshwe na refa kutoka nje

    Hii mechi ya ngao ya jamii tarehe 8 ingetakiwa TFF na bodi ya ligi wamlete refari kutoka nje ambaye ana uzoefu mkubwa ili kuepuka lawama na kasoro za upendeleo wa wazi kama wanavyofanyaa marefa wa ndani hasa Kayoko na Arajiga, inashindikana nini mbona mechi ya Al Ahly na Zamalek ilikuwa...
  16. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  17. PAZIA 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu: Ikitokea refa akahusika kufunga goli kwa bahati mbaya, goli hilo siyo goli

    Kama utakumbuka, miaka ya 2018 kurudi nyuma, refa alizingatiwa kama mchezaji wa ziada na ilipotokea akahusika kwa namna moja au nyingine, matokeo yoyote yalikuwa yanahesabika bila tatizo lolote. Mpaka mwaka 2019, sheria ya refa kuwa sehemu ya mchezo iliondolewa hivyo, kwasasa ikitokea refa...
  18. Bome-e

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama tuna haki tudai lakini tuepuke mihemko! Refa wa kati tunamuangushia jumba bovu!

    Wakuu,kuna suala nimeliona kuanzia kwa mashabiki,wachambuzi na hata viongozi mbalimbali juu ya mechi ya Yanga vs Mamelods! Lawama nimeona zikienda kwa refa wa kati kwa kuacha kwenda kuangalia VAR kuhusu mpira wa Aziz Ki lakini akaenda kuangalia foul ya Lomalisa kwenye VAR ili aangalie kama...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Kwenye ligi yetu iliwahi kutokea. Yanga MNAKUMBUKA??
  20. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
Back
Top Bottom