rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

    Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa. Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅. Mungu fundi nyie!
  2. JamiiForums Tanzania Mfalme Charles III kusimikwa rasmi leo Mei 6, 2023

    Ikiwa ni takriban siku 240 tangu kutokea Kifo cha #QueenElizabethII wa Uingereza, hatimaye leo Mei 6, 2023, Mtoto wake wa kwanza, Charles III ataidhinishwa rasmi kuwa Mfalme ikiwa ni miaka 69 na miezi 11 baada ya Utawala wa Malkia kumalizika. KingCharlesIII mwenye miaka 74 atasimikwa rasmi...
  3. JamiiForums Tanzania Youssoph Dabo Atangazwa Rasmi Kocha Mpya Azam FC

    Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka . Kocha huyo amepewa kandarasi ya miaka mitatu. WASIFU WAKE. Dabo amezaliwa kwenye mji wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, ulipata kujua mwaka ambao Ulimwengu ulimjua rasmi Yesu kuwa ndiye Masihi aliyetabiriwa?

    Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius). Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika Mto Yordan na Yohana. Na kwakweli, kwakuwa Wayahudi walikuwa wakiujua unabii mwingine wa Daniel...
  5. JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kuapply kazi ya Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

    Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni. Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
  6. JamiiForums Tanzania Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

    Wakati tukijadili namna kamati ya viwanda toka wizarani ilivyomnanga Masoud Kipanya na vigari vyake, tuangalie namna Ghana inavyotengeneza magari kama Japan kwa sasa....
  7. JamiiForums Tanzania Gari ya Kipanya iwe usafiri rasmi wa Rais Samia

    Heri ya idd ndugu zangu. Tanzania ni moja ya nchi chache Sana duniani ambazo tunatengeneza Magari halafu official state car bado tunatumia gari za nchi nyingine. Viongozi wakuu wa nchi za Marekani, ujerumani, Japan na Uingereza viongozi wao wanatumia kampuni za nyumbani. Bibi la Bibi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi kuwa Majizo wa EFM na Diamond wa Wasafi FM wameingia Vitani

    Baada ya Mmiliki wa EFM Radio Majizo Kufanya Kufuru ya Kumyakua Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aliyekuwa na Kipindi maarufu cha kila Jumapili Wasafi FM nae Mmiliki wa Wasafi FM Diamond Platnumz kaamua kujibu Mapigo na Kuwanyakuwa kwa Bei mbaya Watangazaji mahiri Wazuri Maulid Kitenge wa Kipindi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia atarajiwa kuwa mgeni rasmi Mei Mosi 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi yatakayofanyika kitaifa mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Tucta) imesema maadhimisho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani...
  10. U

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank yaondoa rasmi Riba ya Mkopo ya 13% na Sasa ni 16%

    Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%. Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo...
  11. JamiiForums Tanzania River United FC ya sasa ni Bora kuliko ya mwaka Juzi hivyo natangaza rasmi Kuishabikia

    Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa. Tutaelewana tu kuanzia hatua hii...
  12. JamiiForums Tanzania Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

    Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki. Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Finland kuwa mwanachama rasmi wa NATO kesho Aprili 4, 2023

    Ofisi ya Rais wa Finland imetangaza kuwa Finland itakuwa Mwanachama rasmi wa NATO ifikapo kesho. Tangazo hilo limethibitishwa na Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg. Akizungumza kutokea jijini Brussels Bw.Stoltenberg amesema "Tutapandisha Bendera ya Finland kwa mara ya kwanza hapa kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Simiyu: Polisi yatoa taarifa rasmi juu ya tukio la mwili wa mtu kuokotwa, yasema amenyogwa na waya

  15. JamiiForums Tanzania Na huu ndio wakati rasmi mashabiki wa Simba watatamani ardhi ipasuke wajifiche kwa aibu hizi zijazo, Kocha hawezi toboa msimu ujao

    Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi. Robo fainali hawatoboi kwa Mamelodi...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokuwa inazingua yaachia Finland

    Uturuki ilikuwa inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakuwa kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya. Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni...
  17. JamiiForums Tanzania Gerald Hando arudishwa EFM baada ya benchi la miezi mitatu, akiri kukosea kusema 'nchi inakopa sana'

    Mtangazaji mkongwe Gerald Hando amerudishwa EFM rasmi ambapo amekiri kukosea ======== Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial...
  18. JamiiForums Tanzania Rasmi kibarua cha Antonio Conte chaota nyasi Tottenham

    Baada ya siku kadhaa za presha na tetesi hatimaye pande mbili baina ya klabu na kocha huyo zimeafikiana kuvunja mkataba na sasa timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda ambaye ni Cristian Stellini. Kwa maamuzi hayo Spurs inatafuta kocha wa nne ndani ya miaka miwili. Kabla ya maamuzi...
  19. JamiiForums Tanzania Mesut Ozil ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu

    Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 34. Akiandika katika page yake ya Instagram akisema "Ilikuwa ni dhahiri na sasa ni wazi kuwa muda wa kuacha mpira katika hatua kubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali: Ugonjwa ulioambukiza watu 8 na kuua 5 Mkoani Kagera ni Marburg

    Ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera umetambuliwa kuwa ni Marburg. Soma: Ugonjwa wa Virusi vya Marburg: Historia, Uambukizwaji, Dalili na Matibabu Imesema ugonjwa huo huambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…