rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Tawa yakabidhiwa rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani Wilayani Monduli

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Oktoba 3, 2023 imekabidhi rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani yaliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kutoka kwa Msajili wa Hazina na kwenda kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ajili ya shughuli za uhifadhi na...
  2. JamiiForums Tanzania RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wataanza kulogana rasmi mwakani; familia zao ziniandae kisaikolojia

    Mwakani tutakuwa na chaguzi za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Asilimia zaidi ya 80%ya viongozi wa kisiasa waliopo sasa madarakani walipita bila kupigiwa kura na wananchi. Lakini pia regime iliyowaweka haipo tena. Natabiri hawa asilimia 80%kwenda kwa waganga kuandaa mikakati ya kubaki wakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania HESLB kuanza rasmi kutoa Mkopo kwa wanafunzi wa wa Stashahada (Diploma)

    Moja kwa moja. Taarifa imetoka sasa kuwa kesho ndipo uzinduzi rasmi wa muongozo wa uombaji wa huo Mkopo kizinduliwa rasmi makao makuu. Jambo hilo liliibuliwa mwaka huu kama pendekezo moja katika mkuta wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Hassan Suluhu na viongozi wa wanafunzi...
  5. JamiiForums Tanzania Dullah Planet aaga rasmi EATV

    Mkali wa kipindi cha radio cha Planet Bongo na mkali wa kipindi cha TV cha Friday Night Live "Dullah Planet" wa kampuni ya utangazaji ya East Africa Radio & TV, siku ya leo ametangaza kuaga Rasmi Kituo hicho cha utangazaji. Kupitia Viwanja mlimani city mtangazaji huyo amefanya sherehe fupi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  7. JamiiForums Tanzania Rasmi Whatsapp imeanza kuweka CHANNELS kwenye App yake

    Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels, kwenye sehemu ya chini ya Whatsapp Status. Utakuwa na uwezo wa kupata Habari kupitia Channels utakazoamua kuzifollow Jinsi ya kupata Update hii mpya hakikisha simu yako inatumia tolea jipya la Whatsapp na kama...
  8. JamiiForums Tanzania DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

    Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November. Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
  9. JamiiForums Tanzania Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

    Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha. Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa machinjio rasmi ya mifugo Rufiji, Pwani ni kero na hatari kwa afya

    Kwa sisi wakazi wa Wilaya ya Rufiji iliyopo Mkoa wa Pwani tangu nchi ipate uhuru hapajawahi kujengwa machinjio rasmi ya kuchinjia nyama kama zilivyo wilaya nyingine. Pamoja na kuwa wafanyabiashara wanalipa ushuru wa ng’ombe minadani, vizuizi vya njiani (mageti ya ushuru) na kodi kwa Mamlaka ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

    Kigosi National Park ni Hifadhi ya Taifa iliyokuwa ikimilikiwa na TANAPA. Hifadhi hii imenyofolewa chini ya usimamizi wa TANAPA baada ya kugundulika ina hifadhi kubwa ya dhahabu. Hifadhi iliondelewa kipindi cha Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na kukabidhiwa TFS ambayo ni...
  12. JamiiForums Tanzania DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

    Wasalam, Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu. Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi? Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kipindi tatanishi cha umeme ndio kinaanza rasmi, umejiandaaje?

    Tusalimiane Ivo Ivo tu hakuna namna. Kila mwaka inapofika mwezi wa kumi balaa ndio huwa linaanza. Kama ni kipenga ndio kinapulizwa rasmi kuashiria kuwa goma ndio linaanza. Kama kujiandaa ndio kumefika Sasa. Kipindi hiki huwa hakuna utulivu ni vurugu tupu kila kona, taa za mchina na vibatari...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai. Nakala : Maulid Kitenge Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
  15. JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

    Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

    Unaweza kujiuliza kwanini TEC wakachagua kuusoma waraka wa kupinga kugawa bandari za Tanganyika kwa DPW kwa wiki sita na si pungufu ama zaidi? Hili limekaa kiroho na kihesabu zaidi.. Dunia inaendeshwa na tarakimu na hesabu kupitia kanuni maarufu ya MAGAZIJUTO (BODIMUS)! Mara sita inawakilisha...
  17. JamiiForums Tanzania Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia

    Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

    Disclaimer: Hizi ni Tetesi Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa. Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM. Wana CCM...
  19. JamiiForums Tanzania Kinana Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Wilaya ya Hai

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM kuanzia Oktoba 2020 - 2023. Mkutano wa CCM Wilaya ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nisiwe Mnafiki kuna Timu ikishinda leo naingia Msituni rasmi Kimafia kuwasaidia Wasudani ili Wafuzu

    Ni Timu moja mbaya na nisiyoipenda si tu Tanzania bali hata duniani ila kwa sasa nimeisahau Jina.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…