Rasmi Whatsapp imeanza kuweka CHANNELS kwenye App yake

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels, kwenye sehemu ya chini ya Whatsapp Status. Utakuwa na uwezo wa kupata Habari kupitia Channels utakazoamua kuzifollow
Screenshot_20231001-222826.jpg

Screenshot_20231001-221440.jpg

Screenshot_20231001-224841.jpg

Jinsi ya kupata Update hii mpya hakikisha simu yako inatumia tolea jipya la Whatsapp na kama hautumii hakikisha unaenda playstore na ku-update Whatsapp yako. Kisha baada ya masaa kadhaa itaweza kuona Feature hii mpya.

Wamejaribu kuiga Telegram lakini bado Channels hizi hazina uwezo mkubwa kama Channels za Telegram. Ni hivi punde wata-introduce A.I kwenye mfumo wao ambayo utakuwa na uwezo wa kuuliza swali lolote na ikakujibu na kadharika.

Mimi binafsi sijapenda jinsi Picha zinavyoji-download zenyewe automatically kwa sisi ambao hatupendi picha za ku-download zenyewe nimetafuta kipengele cha kuondoa automatic download za channel sijaona
 
Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels, kwenye sehemu ya chini ya Whatsapp Status. Utakuwa na uwezo wa kupata Habari kupitia Channels utakazoamua kuzifollow
View attachment 2768994
View attachment 2768996

Wamejaribu kuiga Telegram lakini bado Channels hizi hazina uwezo mkubwa kama Channels za Telegram. Ni hivi punde wata-introduce A.I kwenye mfumo wao ambayo utakuwa na uwezo wa kuuliza swali lolote na ikakujibu na kadharika
Ila sijapenda status zilivyofichwa,kuona status inakua mgumu mpaka u scrow
 
Kwa sisi wenye Whatsapp business huwezi ona status ulizokishatizama mpaka utafute jina la mtu. Mfano Hustla umepost status moja nikiiona nikitaka kuiona tena inabidi nitoke status niende kwenye profile yako.
Mbaya sana hii... Anyways uenda tukaizoea wakifanya marekebisho maana Mwanzo mgumu
 
Mbona channels zilianza nahis mwezi mmoja uliopita, nilifollow channels nyingi kama JF, Safari TV TBC, ila nilivyoona zinazingua kwenye status, nime unfollow zoote
Yes tangu Juni mwanzoni walitoa tangazo mwezi wa Tisa na mwezi huu wa 10 watu wengi wa Tanzania ndio wameanza kuona updates
 
Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels, kwenye sehemu ya chini ya Whatsapp Status. Utakuwa na uwezo wa kupata Habari kupitia Channels utakazoamua kuzifollow
View attachment 2768994
View attachment 2768996
View attachment 2769012
Jinsi ya kupata Update hii mpya hakikisha simu yako inatumia tolea jipya la Whatsapp na kama hautumii hakikisha unaenda playstore na ku-update Whatsapp yako. Kisha baada ya masaa kadhaa itaweza kuona Feature hii mpya.

Wamejaribu kuiga Telegram lakini bado Channels hizi hazina uwezo mkubwa kama Channels za Telegram. Ni hivi punde wata-introduce A.I kwenye mfumo wao ambayo utakuwa na uwezo wa kuuliza swali lolote na ikakujibu na kadharika.

Mimi binafsi sijapenda jinsi Picha zinavyoji-download zenyewe automatically kwa sisi ambao hatupendi picha za ku-download zenyewe nimetafuta kipengele cha kuondoa automatic download za channel sijaona
pole sana kwa kuchelewa kufahamu hili
 
Back
Top Bottom