rangi

Ngāti Rangi is a Māori iwi (tribe) of New Zealand, whose tribal district is mainly around Ohakune and the Upper Whanganui River in the central North Island. Ngāti Rangi trace their ancestry to the chief Paerangi. They believe they were in New Zealand before the main migration of Māori to the country.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Wakala wa rangi za nyumba (plascon)

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  2. JamiiForums Tanzania Mo Dewji asema wameanzisha Kampeni ya kukusanya chupa za rangi nyeusi, wameshakusanya tani 21

    Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO" Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata! MeTL ni fahari kuwa mwanachama wa Petpro, shirika la wajibu wa ziada za wazalishaji wa chupa za PET kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

    Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.
  4. JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi: Uchaguzi wa rangi

    MAKALA YA 10 Karibuni katika Makala pendwa ambapo tunajadili mambo mbalimbali kuhusiana na ujenzi. Leo tuangazie kwenye kipengele cha Uchaguzi wa rangi(Colour) ya matilio ya kumalizia/finishing jengo Lako. 1.RANGI : ni ule ubainifu au ujuaji wa miale ya mwangaza inapoingia katika kitu fulani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

    Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
  6. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Rangi: Kinyonga wa Madini Tanzania

    Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na kivuli cha giza kinachofahamika kama "tajiri wa rangi," ambaye mara nyingi huwa kama kinyonga kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Mageti ya uwanja wa Mkapa kuwa na rangi nyekundu ni makusudi?

    Wakuu nimefatilia na kuona mageti ya uwanja wa Taifa kuwa na rangi nyekundu nawaza kwa utulivu, hii sio kwamba TFF na wizara kuongozwa na Wana Simba imechangia hali hiyo? Kama MZALENDO wa nchi nataka kuona yale mageti yanapewa rangi neutral ili kuepusha mgongano USHINDI KWA YANGA LEO LAZIMA.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Salamu kwako Rais, wakatae wanaokuroga kwa maneno na rangi ya kijani

    Habari ya Jumamosi. Ninayoheshima kubwa kukuandikia mama kukuambiatu kwa ufupi sana. Mama wewe haya yanayofanyika unayaona na unajua mengi kuliko sisi raiya wako. Hilo lipo wazi Ninachoweza kukuambia hao watendaji wako ambao wengine niwabadhirifu wengine ni wazembe wanakuloga sana. Uchawi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ondoeni pembe mbili na RANGI nyekundu katika bendera yenu, mtafanikiwa

    Salaam, shalom, Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo. Mara kadhaa, viongozi wa CHADEMA wamewahi kunukuliwa wakidai, RANGI nyekundu katika bendera Yao, ni...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rangi za Bendera ya Taifa zifutwe katika sakafu za ndani ya Bunge

    Salaam,Shalom. Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU. Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI hizo za Bendera ya Taifa naziona katika sakafu za ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Wamarekani wenye asili ya Kiafrika bado wanakabiliwa na ubaguzi wa rangi

    Umoja wa Mataifa wiki iliyopita umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi, na kaulimbiu ya mwaka huu ni “Muongo wa Utekelezaji wa Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Asili ya Kiafrika”. Wakati jamii ya kimataifa inajitahidi kuondoa ubaguzi wa rangi, Marekani, ambayo inajiita...
  12. P

    JamiiForums Tanzania In case you are using hair dye: Read carefully before going to salon. Kwa wanaopaka rangi nywele.

    Hair dye reactions Many hair dyes contain ingredients that can irritate your skin or cause an allergic reaction. It's important to be aware of this risk, and know what to do. Reactions to hair dye are avoidable if you follow some simple safety advice. This page offers advice to anyone who...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze wakuu fridge za hisense znakuaga na rangi 2

    naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
  14. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita tumeona rangi zote, sukari kilo Moja elfu tano mia tano

    Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania? Sukari kilo 5,500 Nyama kilo 10,000 Mchele kilo 4,000 Unga kilo 2,800 Petroli lita 3,300 Umeme Giza kama enzi za Richmond, Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: S2kizzy ajipaka rangi kwenye kucha

    Producer mkali na mwenye Hits za kutosha kwenye kiwanda cha BongoFleva "S2kizzy" amejipaka rangi kwenye kucha zake. Angalia picha hapa, Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  16. JamiiForums Tanzania Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

    Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri? Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza rangi nzuri za kupaka kwenye nyumba kwa Bei nafuu

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  18. JamiiForums Tanzania Rangi nzuri ya kupaka sebuleni

    Wakuu habari za uzima? Wataalamu na mafundi naomba kuuliza ni rangi gani nzuri ya kupaka ndani, haswa sebule? Kuna ulazima rangi iwe ya aina moja sebuleni na sehemu ya kula chakula? conductor Na wengine wenye ujuzi. Karibuni.
  19. JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za rangi na majukumu yake kwa kofia ngumu zivaliwazo kwenye ujenzi

  20. JamiiForums Tanzania Rangi ya askari 3 wa Marekani waliouliwa Jordan wanaotaka kulipiziwa kisasi ni mchezo na kampeni za kisiasa

    Karibu wamarekani wote weusi wanaiunga mkono Palestina na kulaani mashambulizi ya Israel ndani ya Gaza. Wamarekani weusi wamekuwa wanaongoza kampeni za kumtaka rasi Biden aizue Israel isiendelee kuleta maafa ndani ya Gaza na wanamuona raisi huyo kama ni sehemu ya washiriki katika maangamizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…