rangi

Ngāti Rangi is a Māori iwi (tribe) of New Zealand, whose tribal district is mainly around Ohakune and the Upper Whanganui River in the central North Island. Ngāti Rangi trace their ancestry to the chief Paerangi. They believe they were in New Zealand before the main migration of Māori to the country.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya rangi za nyumba, kwa mtaji wa mil. 30

    Habari wadau, Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)? Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je, kwa huo Mtaji unaweza kuuza jumla jumla? Je, ipi njia sahihi ya kufanya biashara ya Rangi? Kwenye...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela: China na Afrika ziko pamoja kithabiti katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi

    "Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mlishiriki kubariki dhuluma ya uchaguzi uliopita; mshirika wenu anawaonesha rangi yake sasa, vumilieni

    Maandiko yalikuwa ukutani, wakayapuuza. Mazingira ya kisiasa , Vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, sheria n.k vyote vilikuwa si rafiki sawa na hapo awtu ali lakini ACT Wazalendo walichagua kushiriki kubariki uchaguzi uliyopita na kuwapa CCM uhalali ambao waliuhitaji sana,wakati ACT wote...
  4. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupaka rangi ya maji juu ya rangi ya mafuta

    Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini ule uchafu hautoki. Sasa nauliza je nawezaje kupaka rangi ya maji juu ya huu ukuta wenye rangi ya...
  5. kjembe

    JamiiForums Tanzania Macho kuweka rangi ya kawia na vijikovu kidogo

    Ndugu wana jamii Forums waslaam! nimekuwa na tatizo la macho ambapo hadi sasa ninalazimika kutumia miwani ili kuona mbali kwani baada ya kupima nilibaini jicho moja la kushoto kuwa na uoni hafifu, hivyo nilishauriwa kutumia miwani ili kulinda hili moja la kulia. Lakini ninashangazwa na macho...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maisha yana rangi za kupendeza na kuogopesha sana

  7. alcacer

    JamiiForums Tanzania Nywele zangu zimekuwa za brown, naomba msaada zirudie rangi nyeusi

    Nisaidieni nywele zangu zimepoteza ublack sasa hivi niza brown nafanyaje kuzirudisha katika hali yake ya kawaida?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni virusi vya Corona au ni watu wenye ubaguzi wa rangi?

    Maambukizi ya virusi vya Corona yamefichua unafiki kuwa nchi zile zinazopinga vikali ubaguzi wa rangi ndio zenye vitendo vibaya zaidi vya ubaguzi wa rangi. Wakati virusi vya Corona vilipogunduliwa kwa mara ya kwanza mjini Wuhan, China, wao walitoa kauli ya ubaguzi kama “virusi vya China”...
  9. kokudo

    JamiiForums Tanzania Nipeni maarifa kuhusu biashara ya kuprint Tshirt

    Wakuu Habari za majukumu, naomba kujua kuhusu hii biashara ya kuprint Tshirt hasa ile local ambayo wanatumia ki unao flani hivi. Nachotaka kujua, namna unavyoweza kujifunza kukitumia hicho kifaa je logo kabla hujai print unaifitisha vipi kwenye hicho kimachine? Mwenye darasa tafadhali tufungue...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye koti la rangi ya chungwa aliwapotea wazazi wake akiwa kwenye Shopping Mall

    Madhara ya kunyonyesha watoto mpaka wakianza kutembea. Haya miaka miwili dogo amenogewa na maziwa.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la kampuni ya kuweka rangi kwenye mafuta: Mikataba ulikuwa umebakiza muda gani kuisha na hawawezi kutupeleka mahakamani kwa kuuvunja mkataba?

    Japo inadaiwa kuwa kampuni husika imetupiga hela nyingi (bilion 5 mpaka 7 kwa mwezi) lakini ukweli ni kuwa walikuwa wanatupiga kupitia mikataba tuliyoingia nayo wenyewe huku tukiwa na akili zetu timamu (hizo hela hawajatupora kwa mtupu wa bunduki) Kwahiyo, kama tumevunja mkataba kinyume na...
  12. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania Pendelea kuvaa rangi ya mkanda inayofanana na viatu

    Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume tunakosea katika uvaaji wa nguo. Kama unavaa mashati na unachomekea kwenye suruali basi hakikisha rangi ya mkanda wako inaendana na viatu unavyovaa. Vitu vingine sio lazima uwe na hela nyingi ndo uvifanye[emoji123]
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Rangi ya ngozi ya Adam ilikuwa reddish-brown (kama mfinyanzi wa reddish-brown)

    Rangi ya ngozi ya Adam ilikuwa reddish-brown (kama mfinyanzi wa reddish-brown). Rangi ya ngozi ya Ham ilikuwa ni nyeusi. Rangi ya ngozi ya watoto wa Ham (Cush, Mizraim, Phut na Caanan) ilikuwa ina range from nyeusi sana to nyeusi maji ya kunde. Waisraeli wa zamani walikuwa watoto wa Shem...
Back
Top Bottom