Nilikutana na mwanamke, kwenye uume kumekuwa na hali ya usaa

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,041
1,323
Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri?

Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa cha uume vikatokea vipele vingi vingi ambavyo vikawa vinatoa maji maji meupe, ikabidi niende hospital kupima sikuwa na ugonjwa wa zinaa ila Dr akasema wanipige sindano zile tano za cetr.... na dozi ya Dox ya siku tano.

Hali Musasho imeisha changamoto niliyonayo ni uume kwenye kichwa ngozi yake imekuwa na rangi yenye kama hali ya usaa usaa nimetumia iodine kukifuta wiki sasa, unakifuta baada ya muda hilo futa kama usaa linarudi na linaseleleka kushuka chini ya kichwa cha uume?.

Nimebadilisha dawa nikakisafisha kwa kutumia hydrogen peroxide kidonda chote; nikaweka sehemu yenye ki mchubuko nikainyunyizia dawa lakini asubuhi nimeamka ile hali ya ngozi kuwa na futa imerudi tena msaada wenu tafadhali..

Ajali kazini.
 
Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri,?

Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa cha uume vikatokea vipele vingi vingi ambavyo vikawa vinatoa maji maji meupe, ikabidi niende hospital kupima sikuwa na ugonjwa wa zinaa ila Dr akasema wanipige sindano zile tano za cetr.... na dozi ya Dox ya siku tano.

Hali Musasho imeisha changamoto niliyonayo ni uume kwenye kichwa ngozi yake imekuwa na rangi yenye kama hali ya usaa usaa nimetumia iodine kukifuta wiki sasa, unakifuta baada ya muda hilo futa kama usaa linarudi na linaseleleka kushuka chini ya kichwa cha uume??.

Nimebadilisha dawa nikakisafisha kwa kutumia hydrogen peroxide kidonda chote; nikaweka sehemu yenye ki mchubuko nikainyunyizia dawa lakini asubuhi nimeamka ile hali ya ngozi kuwa na futa imerudi tena msaada wenu tafadhali..

Ajali kazini.
ondoa wasiwasi acha kuchungulia huko chini kila mara.,,,

Kuwa mtulivu usitumie dawa ya kunywa au kupaka kwa wiki moja then check tena kama hiyo hali bado ipo then, rudi hospital tena......

Acha kudindisha dindisha na kuchoma godoro kana kwamba ni mbususu, unaumwa wewe utaumia zaidi na kuchubua kichwa cha uume zadi....

Hizo video za ngono futa au jipe likizo kidogo na mshedede nao upumzike dahhh..🐒
 
Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri?

Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa cha uume vikatokea vipele vingi vingi ambavyo vikawa vinatoa maji maji meupe, ikabidi niende hospital kupima sikuwa na ugonjwa wa zinaa ila Dr akasema wanipige sindano zile tano za cetr.... na dozi ya Dox ya siku tano.

Hali Musasho imeisha changamoto niliyonayo ni uume kwenye kichwa ngozi yake imekuwa na rangi yenye kama hali ya usaa usaa nimetumia iodine kukifuta wiki sasa, unakifuta baada ya muda hilo futa kama usaa linarudi na linaseleleka kushuka chini ya kichwa cha uume?.

Nimebadilisha dawa nikakisafisha kwa kutumia hydrogen peroxide kidonda chote; nikaweka sehemu yenye ki mchubuko nikainyunyizia dawa lakini asubuhi nimeamka ile hali ya ngozi kuwa na futa imerudi tena msaada wenu tafadhali..

Ajali kazini.
Wazee wa mbichi ....nyama Kwa nyama ... Wazee wa kuuza mechi.... Pole Kaka....
 
ondoa wasiwasi acha kuchungulia huko chini kila mara.,,,

Kuwa mtulivu usitumie dawa ya kunywa au kupaka kwa wiki moja then check tena kama hiyo hali bado ipo then, rudi hospital tena......

Acha kudindisha dindisha na kuchoma godoro kana kwamba ni mbususu, unaumwa wewe utaumia zaidi na kuchubua kichwa cha uume zadi....

Hizo video za ngono futa au jipe likizo kidogo na mshedede nao upumzike dahhh..🐒
Sawa ngoja leo mpaka jioni ni cheki ili dawa niipotezee kwanza nibaki nasikilizia.
 
Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri?

Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali ya muwasho, katika uume wangu nikaenda dukani nikanunua Azuma nikanywa, ila baadae kwenye kichwa cha uume vikatokea vipele vingi vingi ambavyo vikawa vinatoa maji maji meupe, ikabidi niende hospital kupima sikuwa na ugonjwa wa zinaa ila Dr akasema wanipige sindano zile tano za cetr.... na dozi ya Dox ya siku tano.

Hali Musasho imeisha changamoto niliyonayo ni uume kwenye kichwa ngozi yake imekuwa na rangi yenye kama hali ya usaa usaa nimetumia iodine kukifuta wiki sasa, unakifuta baada ya muda hilo futa kama usaa linarudi na linaseleleka kushuka chini ya kichwa cha uume?.

Nimebadilisha dawa nikakisafisha kwa kutumia hydrogen peroxide kidonda chote; nikaweka sehemu yenye ki mchubuko nikainyunyizia dawa lakini asubuhi nimeamka ile hali ya ngozi kuwa na futa imerudi tena msaada wenu tafadhali..

Ajali kazini.
Hiyo ni HPV , nenda hospitali upate dawa lkn pia ulipata PEP kwakuzuia maambukizi ya HIV au unasubiri upime baada ya muda

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom