rambirambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Kinondon ruhusun mchanga utoke Mto Kawe. Vinginevyo tujiandae na rambirambi

    Mkuu wangu kwanza nakupongeza kwa unavyokuwa karibu na watu wako Pili nisisahau niombe tu najua umefika Mto Kawe maeneo ya makazi mapya umeona yale mateso ya Watuu na maafa yake Mkuu wangu wa wilaya mchanga umejaa maji yanasimama yanasomba nyumba za watu Maji yanahitaji njia, tukuombe watu...
  3. Patriot

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

    Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Joseph Pande Afariki Dunia, Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi

    Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kufanya ziara Hanang yenye lengo la kutoa Rambirambi kwa Wahanga

    Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo 18 vya abiria wa basi la Alfa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Putin atuma salamu za Rambirambi kwa Familia za Waliouawa kwenye ajali ya Ndege akiwemo Prigozhin

    Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo. Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Raisi Putin atoa kauli kuhusiana na kifo cha Prigozhin na atoa salamu za rambirambi

    Raisi wa Urusi Vladimir Putin jioni ya jana ametoa salamu za pole kwa familia ya Yevgevy Prigozhin ambae alifariki katika ajali ya ndege ndogo binafsi akiwa na abiria wengine 9. Raisi Putin amesema alimfahamu Prigozhin kwa tangu miaka ya 90 na kwamba kiongozi huyo wa Kundi la askari wa kukodi...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Mliosema hakukua na maafa, haya Putin atuma salamu za rambirambi

    Warusi wa Kwamtongole humu JF wanakuja na nadharia mpya kila siku za kujaribu kufuta aibu ya kilichotendeka juzi, kunao wanasema hakukua na maafa yoyote, sasa Putin hizi rambirambi anatuma za nini.... Ndege zake zilipigwa chini, marubani wakauawa....huu ulikua uasi wa kumuondoa madarakani sema...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa utashangaa ya Firauni; aliyesingiziwa kufa aomba rambirambi zake huko Mtwara!

    Taharuki yatanda kwa wananchi wa kijiji na kata ya Nanganga mkoani Mtwara, baada ya kupata taarifa ya kifo cha Simon Mchekura maarufu ‘Samora’ ambaye mwili wake ulidaiwa kuokotwa na Jeshi la Polisi katika kijiji cha Nyengedi, mkoani Lindi, na kuhifadhi kwenye Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Lindi...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Bernard Membe

  13. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake mashuhuri

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake maarufu

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.* Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
  15. INSIDER MAN

    JamiiForums Tanzania Communication officers wa Simba na Yanga wanastahili kuchapwa viboko

    Hivi hata message za msiba mpaka wakopi na kupaste hii ni aibu sana kwa taifa na wananchi. Hizi tim janja janja zimekua nyingi kama wanaajili watu hawajui ngeli ni aibu kwao.
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mbona mama huwa anachelewa Sana kutoa salami za rambirambi?

    Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Papa Francis atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali ya Precision Air

    Katibu Mkuu wa Vatican, Kadinali Pietro Parolin, kwa niaba ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametuma salamu za rambirambi kwa watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ajali mbaya ya ndege ya Precision Air iliyosababisha watu 19 wapoteze uhai. Papa Francis ametoa...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame atuma Salamu za Rambirambi

    Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi. Samia akiwa makamu wa rais serikali iliiwaambia wana Kagera serikali haikuleta tetemeko. Haikutosha...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akifiwa, unatakiwa umpe sh ngapi kama rambirambi?

    Mpenzi wangu amefiwa na mjomba wake. Je natakiwa kumpa sh ngapi kama rambirambi?
  20. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa marehemu Erick Kisauti wawatuhumu bongo movies kufuja milioni 60 za rambirambi

    Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60. Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari...
Back
Top Bottom