rambirambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma rambirambi Afrika Kusini kwa mafuriko yaliyoua watu zaidi ya 300

    Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa taifa hilo, Rais Cyril Ramaphosa. “Kwa niaba ya Serikali na Watanzania natuma salamu za rambirambi...
  2. amu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

    Wanabodi, msiba ni kuzika. Ninawaomba tukamzike mwenzetu, tukamzika vipi?kwa kushiriki ibada ya kumuaga pale kanisani Muhimbili saa 8 mchana. Je, tutaenda kuaga hivi hivi mikono mitupu hapana ninaomba tujichange chochote kabla ya saa 8 mchana tukabidhi kwa familia. Ninaomba rambirambi zote...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kufuatia mauaji Daraja la Salender, ataka uchunguzi ufanyike

    Salamu zake ni hizi: Natoa pole kwa Jeshi la Polisi na familia za Askari 3, na Askari 1 wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliopoteza maisha baada ya mtu aliyekuwa na silaha kuwashambulia katika eneo la Salenda, Dar es Salaam. Mtu huyo amedhibitiwa na hali ni shwari. Nawaagiza Polisi kuchunguza kwa...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Salamu za Rambirambi za Freeman Mbowe kutoka Gerezani zasomwa Kwenye msiba wa Mkwe wake, waombolezaji wabubujikwa na machozi

    Freeman Mbowe aliyeko gerezani kwa tuhuma za uongo amepoteza Mama Mkwe ambaye ni mke wa Mzee Edwin Mtei, hata hivyo hakukata tamaa, amefanikiwa kutuma salamu zake za rambirambi kupitia kwa mwakilishi wake ambapo ameonyesha masikitiko yake makubwa sana kwa kuondokewa na MZAA CHEMA katika kipindi...
Back
Top Bottom