ramani

  1. the big fish

    JamiiForums Tanzania KWANINI GARI NYINGI ZINAZOTOKA JAPAN ZINAKUJA NA ILE NAVIGATION MONITOR LAKINI INAKUWA NA RAMANI ZA JAPANI NA HUKU BONGO NAONA KAMA HAZIZINGATII

    Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ramani ya nyumba, au mchoraji anakaribishwa

    Ukubwa wa viwanja Kiwanja cha kwanza 20*23- vyumba vya kupangisha, mchanganyiko, single na chumba na sebule Kiwanja cha pili Urefu 31m Upana 17.5m Nyumba moja ya kuishi yenye ghorofa moja Naomba kuwasilisha
  3. Wachatech

    JamiiForums Tanzania Ramani kali ya vyumba vitatu

    Ramani ya vyumba vitatu Sebule jiko dining store Choo Kwa maelezo zaidi +255678418272 WhatsApp
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na nguvu ya maneno, kiongozi wa Iran aliwahi kusema Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia

    Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga. Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ni ramani ambayo hata mtoto mdogo anajua Iran hakuna mahala anakwenda

  6. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Maisha bila makusudi ni safari isiyo na Ramani

    "Duniani ni mahali pa furaha na kutimiza makusudi yako. Ukiishi nje ya hayo, utahangaika, utawewesuka hadi siku unaondoka bila mwelekeo kama ulivyokuja."— Alloyce, P.R.
  7. Bpk

    JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  8. Bpk

    JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya hizi mbili hapa chini?

  9. Bpk

    JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  10. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hesabu za kimedani zimemtupa nje Gwajima katika ramani ya urais, kuendelea kumjadili ni kupoteza muda

    🕵🏾‍♂️ CONFIDENTIAL DOSSIER | OPERATION: SHADOW VOTE “Politics is war without bloodshed, while war is politics with bloodshed” – Mao Zedong 📍 INTELLIGENCE BRIEFING Kumekuwa na movement ya chini chini inayomweka “The Preacher General” kama the next big thing kwa kiti cha juu kabisa cha nchi...
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waarabu kumshindwa Israel katika hii ramani ni jambo la kushangaza

    Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani. Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana. Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuanzia maisha au ya kulindia kiwanja

  13. MoseeYM

    JamiiForums Tanzania Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Waweza nicheki kupitia Whatsap number 0679169532
  14. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Hamtaki Ramani za Nyumba, garden au fence?

    Nipigie nikupe plan bei zangu ni BUREEEE PIGA HATA TUONGEE KUHUSU YANGA KUTOCHEZA MECHI. PIGA 0621 622 070
  15. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania RAMANI ZA UJENZI, HESABAU NA KUJENGA.

    Nyie matajiri zangu bado mnataka kuendelea kulipa KODI? Una miaka 35 bado umepanga huna hata ramani ya nyumba ndani? Suluhisho nimelipata sasa nipo kwa ajiri yako wewe mwenye uhitaji wa haraka na usiye na haraka. Nitakupa ushauri kuanzia... 1. Kupata ramani aina gani 2. Namna ya kujenga 3...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia Ramani ya Afrika mashariki, Burundi na Rwanda ni ndugu zetu kabisa

    Nilikuwa naangalia Ramani ya Africa mashariki. Nikaangalia kwa makini Ramani ya Tanzania, unyoofu wake na kulinganisha unyoofu huo na Nchi zote zinazotunguka.Ni wazi Rwanda na Burundi ni Ndugu Zetu Kabisa. Sijui ilikuwaje Mwalimu akawafata Wanzanzibari na kuwaacha hawa ndugu zetu. Hawa...
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watu 10 niwauzie raman za nyumba kwa bei rahisi tu hamna haja ya kuumizana wote tujenge kwa ramani

    Raman hizi zote unazoziona hapa zina vyumba 2 vya kulala Nichek 0743 257 669 Natoa ofa kwa watu 10 tu niwape hizi raman Nina stock ya raman zaidi ya 500 na nachora nyingine mpya kila siku niletee oda yako Sitak Mtanzania ujenge bila raman ya nyumba Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  19. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  20. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania UJENZI LEO, PATA RAMANI, BOQ NA USIMAMIZI WA UJENZI SITE.

    Habari! KAMPUNI NI : DATTI COMPANY LIMITED. INSTAGRAM : DATTI CONSTRUCTION Tembelea uone kazi zetu. Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA...
Back
Top Bottom