raisi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka kumlinda Lissu bila Lissu mwenyewe kujua

    Ni hivi Lissu anataka Rais Samia kwenda hadharani na kumuhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurudi Tanzania. Rais Samia anasita ingawa si kwa kumuogopa Lissu au Usalama wa taifa lakini ni kwa kumkinga. Mama akitoka leo na kumuhakikishia usalama Lissu wapinzani wake Rais Samia watatumia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya 2025 Rais Samia atasema Uchaguzi wa 2020 haukuwa huru

    Raisi Samia na Watanzania wengi wanajua huu ukweli kwamba uchaguzi wa 2020 haukuwa wa huru na wa haki. Hivyo kabla ya uchaguzi wa 2025 Raisi atafanya kila jitihada kueleza huu ukweli kwasababu zifuatazo 1. Kutoa dhana ya uongo kwa wananchi walioamini Magu alipata 80% . Wote tunajua hii sio...
  3. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia safisha Polisi na vikosi vyote vya usalama vinavyotuhumiwa kuteka na kuua watu

    Raisi Samia nakupa mawazo tu kusaidia nchi yetu. Pamoja na mazuri Mengi aliyofanya Hayati Magufuli **** jambo baya kubwa sana ambalo kwa wengi linafunika mazuri yake mengi. Jambo hili ni kuagiza na kuunda vikosi vya kisiri vya kushughulikia watu ambao yeye binafsi na wapambe wake walikuwa...
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Kuliko kusitisha rasmi mchakato wa Katiba Mpya ni bora ungeuanzisha uendelee walau kwa muda mrefu

    Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu. Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na...
  5. Abraham Moshi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu hili la Scheme of Service nalo linasubiri huruma yako!

    Ni kuhusu maelekezo yaliyotoka Serikalini tarehe 08 Februari,2021 kuidhinishwa Muundo mpya wa maendeleo ya Utumishi (Scheme of Service) Ulioanza kutumika terehe 01 Machi 2021) kwa baadhi ya taasisi za Umma. Kutokana na mabadiliko ya Muundo huo imeonekana kuwa, Mishahara ya watumishi hao ni...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

    I mean, nani anajua Dunia itakuwaje miaka 2 ijayo?, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa...
  7. battawi

    JamiiForums Tanzania Rais Putin amekosea hatua?

    Ndugu wana ukumbi na wafuatiliaji mada za vita vya Russia na Ukrain. Mimi siiangalii Vita vya Ukrain katika mtazamo wa kivita ,bali mtazamo wa kiuchumi na mgeuko wa mfumo wa uchumi Dunuani. Nasikitika sana na maamuzi aliyofanya Raisi wa Russia kwa kuivamia Ukrain. Nahisi ali under estimate...
  8. imhotep

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Rais Asharaf Ghani wa Afghanistan na Vlodmir Zelensky wa Ukraine

    Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano. Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia Kijijini kwao Chato. Je ni malezi ndio yanayosababisha Kiongozi mmoja kuwa jasiri na mwingine kuwa...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikikupendeza tunaomba uwateue hawa wapinzani katika Serikali yako

    Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma. Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano TRA idara ya Ushuru na Forodha wanamhujumu Rais Samia

    Inawezekana vipi toka asubuhi mpaka saa 10 hii mifumo ya TRA ya kulipia kodi haifanyi kazi? Hakuna uwezekano kwamba wanamhujumu mama?
  11. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Donald Trump akimkemea katibu wa NATO Jens Stoltenberg kuhusu nord stream 2

    Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea, ambapo tulidhani inaweza kutokea vita kubwa lakini haikutokea. Kwenye hii video alikuwa anazungumza na...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais wa Tanzania anasafiri tu hata kama kuna hatari ya vita muda wowote?

    Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

    Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius). Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters. Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru. Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusaini EPA huko Brussels?

    Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit. EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda. Tanzania walipinga...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

    Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani. Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

    Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu (kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro. Ukikosa nafasi, basi sikiliza hotuba yake ambayo bila shaka itapatkana ikiwa ni...
  18. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

    Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

    Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia iachane na Uhandisi Jamii unoendelea kwani unamharibia taswira yake kwa kiwango kikubwa

    Soko la Karume limechomwa lote na hakikusalia kitu hata kimoja na wamachinga wapo hoi bin taaban yaani "they are devastated big time". Soko la Kariakoo nalo liliunguzwa na sasa lipo kwenye matengenezo. Yapo masoko mengine ambayo yamechomwa moto yote na kutekeketea kama lile soko maarufu ya...
Back
Top Bottom