Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao...
Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa.
Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil
Je wewe unaonaje na kusemaje?
Nafikiri kimya kimya.
Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
Hii kauli ya “Mimi ndiye Rais” ni Kama vile inatumika kutisha wanaohoji kuhusu haki zao
Mwaka 2015 September wakati wa kuelekea uchaguzi Kikwete aliwatisha Wananchi kwamba “Mimi ndiye Rais sitaki mtu kuandamana, na mtakiona cha mtema kuni.” Ina maana ni kuwatisha Wananchi wasitimize haki yao ya...
Sema CCM wana siasa za kishamba sana.
Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi.
Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi?
Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti.
Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
Chanzo . BBC Swahili.
Mahakama nchini Zambia imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka miwili jela kwa kujaribu kutumia uchawi kumuua Rais Hakainde Hichilema.
Mzambia Leonard Phiri na Msumbiji Jasten Mabulesse Candunde walitiwa hatiani chini ya Sheria ya Uchawi baada ya kukamatwa mwezi...
Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences (AIMS). Chuo hiki kiko nchi mbalimbali kikichukua wanafunzi wa hesabu na engineering na kuwasomesha...
Mbunge ni muwakilishi wa wananchi hivyo inabidi achaguliwe na wananchi. Wananchi wanamchagua mtu ambaye wanajua anafanana na wao na anaweza kwenda kupeleka hoja zao bungeni.
Lakini kwa jinsi siasa zilivyo ni kama mtu anakuwa mbunge kwa huruma ya rais na sio kwa kura za wananchi. Kwa sababu hii...
Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na maandamano ya vijana.
Uamuzi huo ulitangazwa jana Ijumaa, saa chache baada ya Rais Poudel kumteua na...
Mwigizaji maarufu kama Mzee Mbembe amesema, Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imewafanyia makubwa wasanii nchini ikiwemo kuwapa fursa ya kusafiri nchini Korea Kusini kujifunza zaidi kuhusu teknolojia mpya za uandaaji filamu na tamthilia pia kuhusu masoko na mbinu mpya...
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Kardinali Protase Rugambwa pamoja na Baba Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo hilo Mhashamu Baba Askofu Paul Ruzoka, Ikulu Ndogo ya Tabora tarehe 12 Septemba, 2025...
Nimefika hapa jana nimeona uwanja unatayarishwa kwa shughuli fulani. Nimeuliza kuna nini hapa leo.? Nimeambiwa hapa Leo tunasheherekea Mara Day. Lakini uwanja ni maridadi sana. Nikaambiwa labda neye atafika.
Basi naona hawana habari. Lakini nimeambiwa hapa katika mjengo kwamba Rais atafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.