rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  3. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda Rais Samia asilivunje bunge rasmi leo hii

    Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025. Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Natamani mh. Rais ayatamke haya wakati anavunja bunge, na ipitishwe kama utaratibu halali.

    Mbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na nguvu ya petition kwa kutumia vitambulisho vyao vya kura kumngoa Mbunge huyo, endapo wananchi hao...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kila Aliyekuwa Mbunge Aulizwe Alifanya Nini Kuhusiana Na Watu Waliokuwa Wakimkosoa Rais, Kutekwa Na Kuuawa?

    Kimsingi kila mbunge ana wajibu wa kitaifa na wa kijimbo, lakini katika majukumu yake yote hayo mawili, yeye anastahili kuwa mwakilishi wa maslahi ya wananchi. Tumeshuhudia mambo ya ajabu katika Bunge hili la Tulia, ambapo wabunge wote, kazi yao kubwa ilikuwa kumsifia Rais na Serikali dhidi ya...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?

    Salaam Wakuu, Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha? Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo. Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kukubali Kuingizwa 'Kichwa Kichwa' katika Siasa za UYANGA na USIMBA, na sasa Mpira wa Tanzania unaenda Kuchafuka mazima

    Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
  9. X factor

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya Rais Samia kuogopa uchaguzi huru na wa haki

    Ikiwa ni kweli wewe 👇 •Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la taifa ni T 107.7 na bado ni stahimilivu. •Umeleta 4R na umezitekeleza Kwa vitendo ukishirikiana na...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huwa nawaambia RAIS SAMIA Hasomi chochote anacholetewa Mezani, yeye ni kusaini tu , Aliyefukuzwa Ukurugenzi Arusha kwa Ufisadi, Ateuliwa Tabora !!

    Mnaona MTU wenu sasa anavyoendelea kadhihirisha kua Wanaomzunguka wanamchezesha kidalo Poo watakavyo nayeye anacheza ,huku wakimsifia Mamaa mamaaa unaupigaa unaupigaaa !!. Kuna mwaka alimtumbua Mkurugenzi wa Musoma Vijijin Bwana Panela Nitu Msongela , kwa Makosa ya Utumbuaji Fedha, Usimamizi...
  11. toriyama

    JamiiForums Tanzania RAIS afanya uteuzi mpya na uhamisho wa wakuu wa milaya na mikoa 24 june 2025

  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 WanaCCM mnabeep? Kama uchaguzi ukiwa huru na wazi Rais Samia hawezi kumshinda Lissu

    Hivi mmetumwa kujaribu upepo wa kisiasa? CCM imechafuka kwa kila uchafu, utekaji , kurithishana madaraka, wizi, sakata la bandari, kubambikia watu kesi (Rejea kesi ya Lissu mpaka shahidi hajui kielelezo kilipo. Leo hii hii uchguzi uwe huru na wa haki Rais Samia hawezi kumshinda Lissu. Ole...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamshukuru Rais Samia Kwa kupewa Baiskeli

    Wananchi wa kata ya Mwanase mkoa wa Shinyanga wamemshukuru Mh Rais Samia kwa kuwapatia Baisketi katika kata hiyo kwa ngazi ya mabalozi huku wakimwahidi kura za kutosha kuelekea uchaguzi mkuu pia wamemwomba Mh Rais, Awaongezee baiskeli hizo, kwa viongozi wa chama kwa ngazi ya wenyeviti na...
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais hizi ni gharama za nyumba ambazo watauziwa wananchi hii ni proposal tu

    Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha makazi ya watanzania yanakuwa mazuri na katika ubora unaotakiwa Barabara zote zitakuwa kubwa na zitapigwa lami Kukiwa na mipango miji kutakuwa ni rahisi kupigwa paving Kutakuwa na mfumo wa Sewage watu hawatachimba tena mashimo Nyumba zote...
  15. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia Aingia Katika Macho ya Bloomberg

    Baada ya gazeti maarufu la Marekani, The Wall Street Journal (WSJ), kuchapisha makala inayomkosoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya shirika jingine mashuhuri la habari nchini Marekani la Bloomberg kuripoti tukio jingine lenye utata. Kwenye taarifa yao...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  17. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Rais ndiye anayehararisha Rushwa kwa 100%

    Ndio. Kuna speech moja amesikika akisema "Wewe kula chako kaa kimya",naam tena alikuwa akiongea Katika majukumu yake kama mkuu wa nchi aliyeapa kuilinda na kutetea katiba ambayo inapinga dhulma kama rushwa. Kwa muktadha huu huwezi kunikatalia nikisema huyu ndie kiongozi wa genge la kutoa...
  18. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kiasi gani Rais kujinyonga au kujiua?

    Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua. Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
  19. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  20. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Rais Mpya Ataomba Msamaha kwa Taifa – Kwa Moyo wa Toba na Upendo wa Kweli

    Great Thinkers Katika siku zijazo, historia ya taifa letu Tanzania itakumbwa na upepo wa toba na maridhiano ya kweli. Rais ajaye baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuomba msamaha wa hadhara kwa Wakristo na taifa zima, akianza na tukio zito lililotikisa dhamira ya uhuru wa...
Back
Top Bottom