rais

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Brazil Ahukumiwa miaka 27 jela

    Rais wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama ya kupindua serikali halali iliyochaguliwa mwaka 2022. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu ya Brazil, ambapo jopo la majaji watano lilimkuta na...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuwasha moto mitaani kwenye Maandamano Ufaransa ya kutaka Rais Macron ajiuzulu

    Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo. Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nitasambaza umeme Tanzania yote

    Hii hadithi tumeisikia kuanzia Nchi imepata Uhuru. Najiuliza umeme utakasambazwa nchi nzima ndo huu huu unaokatika kila baada ya masaa nane au? My take suala sio kusambaza umeme swali ni huo umeme unaosambazwa utaweza kukidhi mahitaji ya Watanzania nchi nzima na utakuwa reliable...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia awatimua Mawaziri watano kufuatia Maandamano ya wananchi

    Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, amefanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri Jumatatu Septemba 8, 2025 kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyozuka nchini kote kupinga marupurupu ya wabunge na kupanda kwa gharama za maisha. Hatua hiyo imekuja baada ya kuongezeka kwa malalamiko ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Walisema Musa tuvushe walivyo fika jangwani wakasema tungebaki kwa farao , ni zamu ya Rais Samia

    Zamani za kale za Bibilia wana wa Israel walimwambia Musa awavushe bahari ya Shamu watokane na mateso ya farao walipovuka wakakutana na jangwa waka zingua wakisema bora wangekufa mikononi mwa Pharao wanadamu hawana jema . Lisu alikuwa ulaya kwenye kambi za wakimbizi baada ya kukoswa kifo na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote. Jamaa...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

    Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu. Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kabati: Rais umetibu ndoa zetu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kilolo, Ritta Kabati, amesema utekelezaji wa sera ya Rais Samia Suluhu ya kumtua mama ndoo kichwani, umechangia kuokoa ndoa nyingi, baada ya serikali kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi.
  13. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Siongozi Wanyonge, Naongoza Watanzania Naotaka Kuwajengea Tanzania Tunayoihitaji

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti ,uimara na ushupavu wa kiuongozi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole kumtumia Rais Museveni kama mfano ni mfu

    Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

    Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa Leseni 147 za maeneo tengefu Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa. Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283 Ongezeko la Shule za...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mbeya mnapoteza golden chance ya kumhoji Rais juu ya alipo Mdude Nyagali CHADEMA

    Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea. Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya. Andaeni mabango mpite mbele ya rais...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chief Masoko: Tutumie mambo yetu yale Wajinga wanaombeza Rais Samia mtandaoni walaaniwe

    Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe
  19. excel

    JamiiForums Tanzania Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

    Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi) Mh. Rais SSH hana hizi taarifa Huu usafiri sio salama
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
Back
Top Bottom