rais

  1. U

    JamiiForums Tanzania Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  2. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Watu wenye maono na utafiti wa kina kama Polepole wanafaa kutuongoza katika nafasi ya Rais

    Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

    Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM. Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtume maarufu Nigeria mwenye wafuasi milioni 10 asema Rais Samia atashinda uchaguzi 2025, wanaompinga ndani ya chama wataaibika, uchumi utang'aa

    Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi. Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025. Kikubwa zaidi, amesema kwamba katika awamu ya urais ya 2025-2030, uchumi utakua kwa kasi ya...
  5. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Special Branch, Naomba Mfanye Life Style Audit ya Mawaziri Wafuatao na Kisha Mmpe Report Mheshimiwa Rais

    Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais. 1...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani humuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani tu!

    Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu. Mawaziri na watumishi katika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Polepole asikitishwa na kada aliyefukuzwa uanachama kwa kukosoa mchakato wa kupata mgombea. Hoja haipigwi rungu

    Humphrey Polepole amehoji waliobadili utaratibu wa chama wametumwa na nani? Pia ameshangaa kuona mtu aliyehoji na kukosoa amefukuzwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Rais aliniteua hadharani, nami barua yangu nimeiweka hadharani

    Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumetoka kwenye kutawaliwa na taifa moja lenye nguvu. Tanzania lazima tuendelee kutofungamana na upande wowote

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa dira ya taifa ya maendeleo 2050 Rais Samia amesema kuwa Tanzania itaendelea na sera yake ya kutokufungamana na upande wowote kwani uchumi wa sasa haumilikiwi na taifa moja pekee kama ilivyo zamani Tunashudia mabadiliko makubwa kutoka kutawaliwa...
  10. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Rais museven huwa anatafuta sababu yaani umcheke akufunge

  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mkimsema vibaya Mh. Rais naumia sana wakuu, naona kabisa mnanizibia riziki

    Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu. Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na...
  12. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi atangaza kwa mara nyingine nia ya kumrithi rais Museveni

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mshauri mwandamizi wa rais na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, ameibua tena gumzo nchini baada ya kutangaza wazi nia yake ya kuwania urais kupitia ujumbe wa mitandaoni wenye kauli ya kidini. "Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, nitakuwa Rais wa nchi hii baada ya...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu!

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!. Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nabii wa MUNGU amuonya Rais Samia Kujitenga na Machawa, aelezea Kinagaubaga Kwa Mifano Machawa , Athari yao na jinsi ya kuwaondoa !!.

    Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uko sahihi Lusinde makosa mengine ni yetu Wenyewe halafu tunamtupia Lawama Rais Samia na CCM yake, tubadilike tafadhali bado hatujachelewa

    Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo Mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Rais Samia na Kukilaani Chama Cha Mapinduzi (CCM) utadhani Samia na CCM...
  16. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Rais Samia itisha Press, ongea na Taifa kutuliza hali ya hewa

    Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anunua ambulance mpya 700 tofauti na ambulance 540 za tangu uhuru

    Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia. Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana afutilia mbali posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wanaoteuliwa

    Wakuu, Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali na kuelekeza fedha za umma kwenye kuboresha sekta za afya, elimu na kwenye serikali za mitaa...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani alaumiwa kwa kuwaaibisha viongozi wa Afrika

    Marekani hivi karibuni iliandaa mkutano kati yake na nchi tano za Afrika ambazo ni Gabon, Guinea-Bissau, Mauritania, Senegal na Liberia. Lakini kwenye mkutano huo, Rais Donald Trump wa Marekani alifanya vitendo vingi visivyofaa kwa viongozi wa nchi hizo za Afrika, na jambo ambalo limewakasirisha...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nakuuliza Mh Rais Lissu alitaka kupindia serikali atawale yeye au alete vita?

    Kama alikuwa anataka kuoindua serikali alete vita nchini basi anyongwe anyongwe haraka Kama alikuwa anapindua atutawale kama tutawalivyo na ccm mpeni nchiii tuna mtaka Tunachoka wananchi
Back
Top Bottom