Zamu ya waropokaji kung'oka!Ngoja tuone.
Huyu hajaikosa katika maishani mwake, matarajio yake yanatendeka vile anakuwa ameyatarajia. Sasa amesema Trump hatafaulu katika uchaguzi wa mwaka huu 2020.
Yesu atamvusha Trump kwa muujiza. Ile silaha aliyoishika Trump ni silaha ya maangamizi siyo mchezo. Go go go go Trump. Jesus is with you. View attachment 1532510
Huyu hajaikosa katika maishani mwake, matarajio yake yanatendeka vile anakuwa ameyatarajia. Sasa amesema Trump hatafaulu katika uchaguzi wa mwaka huu 2020.
kwamba biden atashinda?....... joe biden huyu huyu anaeshindwa kuongea? mkuu ngoja tuoneHuyu hajaikosa katika maishani mwake, matarajio yake yanatendeka vile anakuwa ameyatarajia. Sasa amesema Trump hatafaulu katika uchaguzi wa mwaka huu 2020.
Kwa fikra zako ameshikilia bibiliaYesu atamvusha Trump kwa muujiza. Ile silaha aliyoishika Trump ni silaha ya maangamizi siyo mchezo. Go go go go Trump. Jesus is with you. View attachment 1532510
Kwani yesu ana upendeleo si hata mpinzani wa trump nae anatumia siraha hiyo hiyo kwa ibaada!Yesu atamvusha Trump kwa muujiza. Ile silaha aliyoishika Trump ni silaha ya maangamizi siyo mchezo. Go go go go Trump. Jesus is with you. View attachment 1532510
Itamvusha kuwa kuishika na kujionesha hadharani? Kwani ndivyo Yesu alivyoagiza? Matendo yake je, yanaoenesha ukristu?Yesu atamvusha Trump kwa muujiza. Ile silaha aliyoishika Trump ni silaha ya maangamizi siyo mchezo. Go go go go Trump. Jesus is with you. View attachment 1532510