rais

  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli mbele ya Mgeni wake Rais Museveni imejaa Hofu ya Kampeni

    Hapa niandikapo, Rais Magufuli amehitimisha hotuba yake. Sasa hivi anaongea Rais Museveni. Hotuba ya Rais Magufuli imejikita katika kuchambua faida ya bomba la mafuta toka Uganda. Lakini kilichojitokeza hasa ni ile "tone" ya Magufuli. Alikuwa anarudiarudia maneno, hana amani, tofauti na...
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

    Rais Museveni ametembelea tanzania Kikazi === Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wamesaini makubaliano ya kuanza ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga, Tanzania Rais Magufuli: Tumeshuhudia uwekaji wa saini wa ujenzi...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alishasema hatabadili Katiba ili kusalia madarakani. Kwanini Kabwe, Membe, Tundu Lissu mnamenea mnamnenea uongo ?

    Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi. Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kheri James: Kumtukana Rais sasa basi

  5. A

    JamiiForums Tanzania Huku Kwetu Kuko hivi, Vipi Huko Kwenu?

    Wapendwa watanzania wenzangu, salaam. Kuna matukio naona yametoweka kabisa au kupungua sana huku Kwetu: 1.Ujambazi wa silaha 2.Ajali za barabarani, hasa mabasi na bodaboda 3.Migogoro ya wakulima na wafugaji 4.Vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga 5.Mgao wa umeme 6.Dharau za...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

    1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu. 2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yetu sikivu ya Rais Magufuli ninaiomba iwalipe fidia wenye ulemavu wa ngozi(Albino),Waliokatwa mikono yote na wengine mmoja na mguu...

    Kama serikali pendwa imewakumbuka wasanii waliotutoka mfano Steve Kanumba(Bongo Movies)aliyepewa milioni 20,mzee Majuto(Vichekesho)Milioni 50,na wengine,basi tunaiomba iwakumbuke na wenye ulemavu wa ngozi(albino)waliovamiwa na kukatwa mikono yote miwili bila hatia,sasa wanalelewa na masista, Ni...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 NCCR MAGEUZI: Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    1. ILANI YA CHAMA CHA NATIONAL CONVENTION FOR CONSTRUCTION AND REFORM (NCCR-Mageuzi) ITAKAYOTUMIKA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 UTANGULIZI: Mabadiliko ndiyo kitu pekee kinachodumu, na hayaepukiki. Kasi ya mabadiliko ya leo yanatokana na teknolojia. Hivyo basi, kazi kubwa ya mwanadamu ni...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya viwanda vilivyozinduliwa na Rais Magufuli kati ya mwaka 2017 na 2019

    Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba. Mradi wa Upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani Mradi mkubwa wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

    Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa? Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine. Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba: Mkinichagua kuwa Rais wa Nchi hii nitafuta umasikini katika nyanja zote

    MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" AKIWA BAGAMOYO Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

    Na Bwanku M Bwanku Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28 Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHAUMMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA) ILANI YA UCHAGUZI (MANIFESTO) JULY 2020 IMETOLEWA NA HAMASHAURI KUU YA TAIFA CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA MTAA WA KIJITONYAMA, KINONDONI DAR ES SALAAM JULY .2020 YALIYOMO 1.0 Utangulizi 1 2.0 HALI YA NCHI 2020. 3 3.0 Ajenda zetu katika uchaguzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Katika kipindi cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, tunahitaji kubadilisha hali hiyo

    "Katika kipindi Cha miaka mitano, mzunguko wa fedha umekuwa mdogo, biashara haitoki, hakuna mzunguko wa fedha unaokidhi mahitaji, tunahitaji kuibadilisha hali hiyo".Prof. Lipumba-Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania RAIS MAKINI SERIKALI MAKINI
  16. C

    JamiiForums Tanzania Licha ya Rais Magufuli kujimwambafai kujenga barabara na madaraja, hivi ndiyo nchi beberu inavyowashauri raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania

    Mnaweza kusoma wenyewe. Nimetumia google translate kutafsiri kwa kiswahili na ku edit kidogo ili wengi tuelewe vizuri. Kiswahili Hali ya barabara nchini Tanzania "Usalama katika barabara za umma nchini Tanzania ni mbaya. Hali ya kuendesha gari nchini haitabiriki. Taa za mitaa na barabarani...
  17. JamiiForums Tanzania Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

    Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad ) Nicolae Ceausescu akiwa pamoja na mzee Rashidi Mfaume Kawawa. Picha kadhaa zilizopigwa kwa kukosa utaalam mahususi zinaonyesha...
  18. JamiiForums Tanzania Ninamuomba Rais Magufuli anidhamini niingie studio kumrekodia wimbo huu mzuri chini kwa ajili yake

    Wimbo maalumu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mh.Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
  19. JamiiForums Tanzania VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu. Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita

    Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Johanna Ng’eno anatuhumiwa kwa kutumia maneno ya matusi kumdhalilisha rais, kulingana na taarifa ya gazeti la Daily Nation inayonukuu ripoti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…