rais

  1. JamiiForums Tanzania Magufuli kuwa Rais wa kwanza Tanzania utawala wake chuki kutawala katika jamii?

    Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa! Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale. CCM kitakua ndicho chama kitakachochukiwa na watu wote katika jamii na hata wao watachukua na wenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

    Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27% Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais kwa kupitia chama Cha ACT Wazalendo, Maalim Seif amepata kura 99103 sawa na 19.87% Mwinyi...
  3. JamiiForums Tanzania Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

    Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini. Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China. Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa. Tupige marufuku...
  4. JamiiForums Tanzania Happy birthday Dkt. Magufuli-Pongezi kwako!

    Leo ni siku ya kuzaliwa ya ndugu John Pombe Magufuli. #Ni tarehe 29 oktoba ya NEEMA Tele.
  5. JamiiForums Tanzania Kwahiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya mapema leo, kesho hawatapiga kura ya Rais na Mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa 'busy'?

    Nimesikia kutoka BBC kuwa Maafisa wa Uchaguzi na wanausalama wamepiga kura leo kwa sababu kesho watakuwa bize. Kumbuka kuwa kesho kutakuwa na uchaguzi wa NEC. Kwa hiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya leo ya mapema, kesho hawatapiga kura ya rais na mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa bize...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Imani yangu kwa Rais Magufuli hiyo kesho tarehe 28/10/2020

    Licha ya kwamba Rais Magufuli hajafanya vizuri katika suala la ajira ila binafsi bado nna Imani naye kuelekea tarehe 28/10/2020 hivyo anastahili kupewa miaka mitano tena katika utawala wake. Kafanya mengi mazuri yakujivunia ukilinganisha na suala zima la uhaba wa ajira nchini. Ni ukweli...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu, umenena tumlipe Rais basi tukishindwa tumuombee heri

    Nafuatilia kauli ya Mufti Mkuu wa BAKWATA Tamzania Sheikh Abubakari Zuberi akimshukuru Rais kwenye ufunguzi wa Msikiti Dodoma kuwa Rais amejenga Msikiti katika maeneo mbalimbali Chato, Kinondoni, Chamwino, Sumbawanga nk na kurejesha mali za Waislamu zilizopotea. Mimi niseme wazi Rais Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu. Agosti 25, 2020 M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
  9. JamiiForums Tanzania MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, Waziri Mwinyi na Vyombo vya usalama vimejipangaje kuepuka Majuto kama Yale ya Mkapa kwenye Confession yake "My life my Purpose"?

    Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani. Rais Magufuli bado ni Amir Jeshi Mkuu mpaka hapo tar 28 siku ya uchaguzi na mpaka kuapishwa kwa Rais mpya tar 30...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mabadiliko katika kujumlisha kura za Wabunge na Rais 2020

    Ilikuwa hivyo tokea mwaka 2010. Kata haiunganishi matokeo ya Raisi Wala ubunge.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua Msikiti wa Abubakar Bin Zuberi Chamwino, Dodoma

    Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro, Mkurugenzi wa TISS, Diwani na makamanda wa JKT waliojenga msikiti huo. Source: Channel Ten Maendeleo...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jinsi Mamlaka ya Maji ya Mwanza (MWAUWASA) unavyokuhujumu usipate kura zetu

    Kwa siku za karibuni tangu uanze kampeni zako Mamlaka ya Mji wa Mwanza (Mwauwasa) umekuwa na huduma mbaya kwa wateja wengi wa maji katika jiji hili. Tangu Injinia Sanga atoke kwenye Mamlaka hii na kupewa wadhifa mwingine huduma zimekuwa mbaya sana. Nitoe mfano hai, tangu ijumaa mpaka leo...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli kuamua kutoa ahadi ya kutuongezea mishahara wafanyakazi wa nchi hii wakati huu wa kampeni, haoni kuwa ndiyo anaharibu zaidi?

    Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa. Tujikumbushe maneno ambayo amewahi kuyatamka katika utawala wake wa kipindi hiki cha miaka 5. Ati sisi wananchi hatuna uwezo wa kumpangia la...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, wajua Mgombea atakayetangazwa kuwa Rais hawezi kuwekewa pingamizi Mahakamani?

    Habari wanaJF, Wakati tukielekea tarehe 28 Oktoba 2020 ambayo itakuwa siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Ni vyema ukafahamu yafuatayo: Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaondoa mamlaka ya Mahakama yoyote kuchunguza juu ya kuchaguliwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Wananchi wa hapa Somanga nasikia mnachomewa moto nyavu zenu na mnanyanyaswa sana, sasa nichagueni Oktoba 28 nimalize huu unyanyasaji

    WANANCHI WA HAPA SOMANGA NASIKIA MNACHOMEWA MOTO NYAVU ZENU NA MNANYANYASWA SANA SASA NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NISIMAMIE HAKI ZA BINADAMU"PROF.LIPUMBA" KILWA- SOMANGA Uvunjifu na ukiukwaji wa Haki za binadamu ni tatizo kubwa nchini Tanzania. Hakuna chombo huru chenye nguvu cha kusimamia...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…