rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan anavunja trend hii ya toka enzi za Nyerere

    Wakati Watanzania wanajiandaa kwa shauku kubwa kuishi ndani ya utawala wa Rais wa JMT ambaye ametokea kuwa mwanamke, kuna majadiliano mengi yanaendelea huku na huko. Baadhi ya majadiliano haya nayaona yana mantiki sana ila sitaenda kuyagusia kwa sasa. Mimi nitaongelea suala la majina ya Marais...
  2. JamiiForums Tanzania Kivuli cha falsafa za Hayati Magufuli ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia

    Kivuli cha falsafa za JPM, ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia Deogratias Mutungi Ukweli wenye mantiki ndani yake upo wazi kuwa kivuli cha falsafa za JPM ni fumbo linaloishi sasa na litakaloendelea kuishi ndani ya mawazo ya rais Samia Suluhu Hassan, dhana hii inajengwa kifikra...
  3. JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  4. JamiiForums Tanzania Koffi Olomide amlilia hayati Rais Magufuli

    Msanii mkongwe wa muziki kutoka CONGO Koffi Olomide atuma salamu za pole Tanzania juu ya kifo cha hayati Rais John Pombe Magufuli #ripjpm
  5. JamiiForums Tanzania Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

    Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za 1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni 2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na...
  6. JamiiForums Tanzania Eti picha mpya ya Rais ina rangi nyekundu?

    Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi
  7. JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

    Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say, Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ajikite kutekeleza ndoto za Hayati Magufuli au atekeleze maono yake?

    Je, tunamshauri Rais mpya aendelee na miradi yote aliyoanzisha JPM au aendeleze ile miradi yenye tija kwa Taifa na pia aanzishe miradi ya ndoto zake? Hapa Kuna miradi yakitaifa na miradi ya maono binafsi ya JPM. Miradi yakitaifa ni mradi wa umeme wa rufiji, mradi wa reli, bomba la mafuta...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ni rais lakini bado ana mume, wewe mshahara laki 3 unamtosa mumeo ili uwe single mama!

    Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pamoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lakini bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake. Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

    Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari. Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa https://twitter.com/SirNeoBranson Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Jose Chameleone: Hayati Magufuli hakuwa rais wa Tanzania tu bali rais wa Afrika mashariki

    Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:- Bofya hapa chini kutazama.
  14. JamiiForums Tanzania IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

    Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Waziri Kabudi utakuwa umejifunza jinsi ya kutoa Hotuba fupi na yenye Mambo yote Muhimu kama aliyoitoa Rais Mwinyi wa Zanzibar

    Kwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi. Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

    Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na SADC iliyoleta Marais 8, Jumuiya ya Afrika Mashariki amekuja Rais Kenyatta pekee kumuaga Hayati Magufuli

    Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli. Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa. Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ametoa moja ya hotuba bora sana, nina matumaini ataziba nyufa nyingi za utawala uliopita

    Binafsi nilikuwa na mashaka na namna atavolimiliki jukwaa mbele ya viongozi wabobezi na malegandary wa siasa za kusini mwa Afrika. Ila ukweli kabisa nimeridhika, kwa hotuba ya leo nampa maksi 97% hizo maksi 3% nilizomnyima ni makosa madogo madogo ambayo nadhani yanachangiwa na ugeni na...
  19. JamiiForums Tanzania Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

    Maaskofu wamuasa Rais Samia kuhusu haki na ustawi MAASKOFU wa makanisa mbalimbali Tanzania wamempa ushauri Rais Samia Suluhu Hassan juu ya namna nzuri ya kuongoza nchi kwa haki na ustawi. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Dar es Salaam wa Kanisa Katiloki, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, Jumamosi...
  20. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

    Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli. Nchi za Uganda na Rwanda hazijawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…