Mmojawapo wa wanamkakati wakubwa na wa kwanza wa MAGA , Steve Bananon ambaye pia amewahi kuwa mshauri na katibu mkuu kiongozi katika utawala wa Trump anasema kwa namna yoyote ile Trump lazima awe Rais katika kipinde kingine cha tatu kuanzia 2028. Steve Banon ansema kuna njia na fursa nyingi za...
Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24
“Si muda mrefu uliopita...
Ni kweli ni wakati wake kutuna. Atulie ale lakini asitumalizie Watoto wetu.
Sababu hapo alipo ni miaka michache. Baadaya hapo atakuwa si lolote si chochote.
Uzuri wa mali hata ujaze hela unakufa na kuziacha.
Urais unakuwa wa maana ukiambatana na kulinda uhai wa unaowatala.
Bado namtafuta...
Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote!
Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
Wakuu...
Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani?
kuna hawa...
Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.
TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!
Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
HELLEN JOHNSON SIRLEAF. ALIONDOKA IKULU BILA MIKONO YENYE DAMU.
-----------------------------------------------------
Hakuna damu iliyomwagika. Naondoka ikulu ya "Monrovia" nikiwa na mikono safi. Kama nitahukumiwa siku moja ni kwa dhambi nyingine. Lakini si ya kupora maamuzi ya uma kwenye...
Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais.
Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema:
“Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c
Anasema:
1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi..
2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun):
Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga.
Kupitia taarifa ambayo rais Samia ameiweka kwenye mitandao ya kijamii...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi.
Pia Soma
GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa
GE2025 -...
Mheshimiwa rais,
Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu.
Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii:
1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
Rais Andry Rajoelina anayekabiliwa na upinzani mkali nchini Madagascar ametangaza kulivunja Bunge la Taifa mara moja
Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya upinzani kutangaza kuwa utaanzisha mchakato wa kumng’oa madarakani kwa madai ya “kuacha wadhifa wake na kukimbia wajibu wake wa kazi”...
BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti.
Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. 🇮🇱🇮🇩
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo.
Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset.
"Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."