Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
Yeereeeeeh!
Kamwe katika historia ya Tanzania hakutawahi kutokea Rais kama JK. Alikuwa mtu wa watu mpole wakati wote. Vijana wa TISS na UVCCM walikuwa wanamrukia hadi mabegani. Ndie rais wa kwanza Tanzania kuvaa jeans na Tshet hadharani. Hatutawahi kumpata kama JK.
Kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby kilichotangazwa leo Aprili 20, 2021 imeelezwa Jeshi litaongoza Nchi kwa kipindi cha miezi 18, na Baraza litaongozwa na Mtoto wa Rais, Mahamat Kaka, ambaye pia anafahamika kama Mahamat Idriss Deby.
Mbali na kutangaza kifo cha Rais Deby aliyekuwepo madarakani...
Kuuliza siyo ujinga.
Mosi Rais ni sehemu ya Bunge naomba kuelimishwa maana yake kisheria zaidi.
Pili naomba kuelimishwa tofauti ya Parliament na National Assemby kisheria zaidi.
Ramadhan Kareem.
Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi.
Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya.
Kifo...
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93.
Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria...
Wanabodi Shaloom!
Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji.
Nikukumbushe: mwaka 2005 baada ya Jakaya kuingia madarakani ndipo kitengo hiki kiliundwa mahsusi kumpa Salvatory...
Ni ukweli kwamba toka Rais Samia Hassan ameingia madarakani, ameona umuhimu wa kubadili muelekeo wa nchi katika nyanja mbalimbali za kisiasa, kijamii na kiuchumi. Na ni ukweli pia kuwa kuna watu wanamvuta ili asifanye mabadiliko hayo maana yanaonekana kama ni fedheha na kejeli kwa mtangulizi...
Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini.
Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini unaona amaondoka kimyakimya.
Simu zinarahisisha biashara lakini ilifika mahali mtu hapendi muongee...
Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5.
Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki.
Dr Godwin anasema hata...
SASA TUMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU KAZI IENDELEE
Kwa heshima na taadhima kwa niaba ya wapenda maendeleo napenda kutoa shukurani za dhati kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwa jitahada zake za dhati za kulirejesha taifa katika umoja wake na...
Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.
Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni
Chanzo: Eatv Habari
Ramadhan Kareem!
Kisiasa Rais Samia Suluhu asingeweza kusema yupo kinyume na mtangulizi wake Magufuli, na hatutegemei aseme hivyo hadharani lkn inawezekana moyoni anawaza tofauti kabisa. Binafsi kinacho matter zaidi ni vitendo. Hivi ni baadhi ya viashiria vya tofauti zao kiutendaji.
————————
Magufuli: Tanzania...
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kuchaguliwa tena kwa mhula mwingine mmoja. Ibara ya 40(4) ambayo ndiyo inahusika...
Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
===
Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha.
Mwaka...