rais

  1. JamiiForums Tanzania Wazee mmemwambia mambo haya Rais? Au mnataka tuje tafutiana lawama home?

    Isije ikawa mlikuwa mnafurahia tu kuja kupata futru jioni. Halafu baadaye muanze kutusumbua sisi. Mmepata nafasi ya kuongea na Rasi je mmemwambia haya... 1. Vijana wenu hatuna kazi 2. Hamjalipwa au mnasumbuliwa mafao 3. Mna matatizo kwenye kupata huduma za Afya 4. Vijana wenu wanaonewa na Vyombo...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ina mikoa 26 na kila mkoa una wazee. Kwanini Rais wa JMT azungumze na wazee wa Dar pekee?

    Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa. Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo. Kwani Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania Wazee mmeamua kutusemea kwa Rais? Na sisi vijana tuna malalamiko yetu juu ya wazee hawa

    Wazee wanalalamika vijana hatuwapishi viti kwenye daladala, wazee wenyewe hawa hawa tunakimbizana nao kufuatilia mademu? Inaumiza mzee anastaafu halafu kiinua mgongo chake anatumia kuinulia mti nyama ili akakamue binti mkali. Kwani uongo? Hawa wazee wanahonga mabinti siku hizi sisi vijana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam Tunakuletea updates hapa Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

    Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss. Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi. Hiiiiii bagosha! Wajameni, hizi gharama za...
  7. JamiiForums Tanzania CCM mpya mwacheni Rais Samia afanye yake, huyu ni Rais wa nchi sio wa CCM. Mlivyolivuruga Taifa inatosha, ni muda wa nchi kufufuka

    Wanajamvi Salaam, Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT. Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia kamwe hatuwezi kukaa kimya tena Lazima tuwajibu hawa waliojiita eti Wazalendo kwa kutafuna nchi. Leo...
  8. JamiiForums Tanzania Maagizo ya Rais Samia kwanini hayafanyiwi kazi kwa wakati?

    Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho? Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria. Report ya...
  9. JamiiForums Tanzania Je, uwezo ( umahiri ) wa Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa ni sawa au hutofautiana kulingana na Vyeo husika?

    Kwa nchi nyingi tu ( siyo Tanzania ) huwa naona kuanzia Marais wao, Makamu wao wa Rais na Mawaziri Wakuu wao huwa wana 'lundo' la Walinzi ( Bodyguards ) wakiwalinda. Nikiamini kabisa kuwa hapa JamiiForums kuna Wajuvi ( Pundits ) wa 'Sekta' hii au hata 'Wahusika' wenyewe leo wataweza kunisaidia...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam ambao kila Rais wa Tanzania anatamani kukutana nao ni akina nani?

    Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao. Natanguliza shukrani.
  11. JamiiForums Tanzania Je, Rostam Aziz anasahau kuwa Tanzania na Kenya ni tofauti kwani yawezekana kwa Kenya kumuona Rais na kuambiwa wekeza sio kutokufuata sheria?

    Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania (sina uhakika kama ni mlipa kodi maarufu!), Rostam Aziz amelalamika kuwa uwiano wa uwekezaji kati ya Wananzania na Wakenya sio sawa. Alienda mbali na kutoa ushahidi wa kiasi cha dollar zilizowekezwa na idadi ya makampuni Tanzania na Kenya na kinyume chake...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ahutubia Mabunge ya Kenya: Biashara kushamiri, Vikwazo Mipakani kutatuliwa, Udugu kudumishwa

    Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo. ======= Rais Samia Suluhu Hassan Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Iftar ya Rais Samia ndani ya Ikulu ya Kenya

    Nadhani Rais alihisi yuko Zanzibar kabisa.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

    Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena. Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo. Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Thumbs-Up kwa Designer nguo za Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama anapendeza, huyo anayemtafutia nguo, anayemchagulia za kuvaa, anatakiwa apewe tuzo. Jana tu Kenya kaonekana amebadilisha nguo karibia mara tano siku moja, nafikiri ni kwasababu ya COVID 19, kila alipokuwa anaenda alikuwa anaenda na nguo mpya. Ila aliyovaa wakati anafika Kenya ilimpendeza...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Kenya na Tanzania hawajavaa barakoa. Tunapata ujumbe gani hapa?

    Hakuna barakoa, wala social distance. Hii ni ujumbe gani kwetu?
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amemteua Mshenga Haidar kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Vilevile amemteua Nassor Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF). Shariff Ali anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji (ZIPA) huku Suleiman Hamis...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

    Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara Awali Rais Samia alisema...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amwalika Rais Kenyatta kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 60 za Uhuru wa Tanzania

    Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021. Rais Kenyatta amekubali ombi hilo. === Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December...
  20. JamiiForums Tanzania Chad: Jeshi latangaza Serikali ya mpito baada ya kifo cha Rais Idriss Deby

    Utawala wa Kijeshi Nchini Chad umetangaza Serikali moya ya Mpito ambapo idadi kubwa ya Mawaziri walikuwa madarakani katika utawala wa Rais Idriss Deby aliyefariki dunia mwezi Aprili. Wapinzani wametoa wito wa kuwepo Serikali ya Mpito inayoongozwa na Rais aliye Raia wa kawaida huki Makamu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…