rais

  1. J

    Wazanzibar walianza kumiliki Runinga kabla ya Tanganyika, tutegemee maendeleo makubwa kwa Rais Samia

    Katika issue ya maendeleo wazanzibar waliwahi tena ni " wajanja" kuliko Watanganyika. Wakati sisi tunasimuliwa mambo na wanasiasa wa zama zile Wazanzibar walikuwa wanayashuhudia kwa macho Runingani. Kadhalika katika swala la kujiamini wazanzibar wanajiamini zaidi kuliko watanganyika ndio...
  2. Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  3. M

    Kuelekea Rais Samia kulihutubia Bunge: Barua ya Wazi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai

    Mheshimiwa Spika, Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi nimelazimika kukuandikia barua hii ili kwayo uweze kutafakari, pengine itakusaidia wewe katika...
  4. S

    Hotuba ya Rais Bungeni: Usisahau kuongelea mambo haya...

    Mheshimiwa Rais, Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya: 1. Ajira kwa vijana. 2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa 3. Gharama za tozo za simu 4. Katiba mpya 5. Maridhiano ya kitaifa 6. Ripoti ya CAG 7. Ubovu wa bunge la JMT. Kila la...
  5. Waasi nchini Chad watishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais Deby aliyeuawa katika mapigano na waasi

    Waasi nchini Chad wametishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais aliyeuawa baada ya kuteuliwa kuwa kiongozi wa mpito nchini humo. Kundi la waasi ambalo jeshi limelilaumu kwa mauaji ya Rais Idriss Deby Itno, limesema kuwa wapiganaji wake wanaelekea katika mji mkuu wa N'Djamena wakati huu. Waasi...
  6. Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  7. Zanzibar: Rais Mwinyi Afanya Teuzi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Kanali Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo(KMKM). Kanali Makame Abdallah Daima ameteuliwa kuwa Kamishna Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) Kanali Rashid Mzee Abdallah ameteuliwa kuwa...
  8. I

    BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  9. UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi za Wenyekiti wa Bodi, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi mbalimbali za Taasisi
  10. B

    Rais Samia S. Hassan akutana na Chama cha Wafanyabiashara wa China

    21 April 2021 RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akutana na wawakilishi wa chama cha wafanyabiashara wa China wanaoendesha biashara zao Tanzania. Mwakilishi huyo wa chamber hiyo ya wafanyabiashara amebainisha kwa sasa kuna zaidi...
  11. J

    Mzee Kikwete: Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais basi unakuwa na nguvu sana

    Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa " Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM. Kikwete aliweka hili...
  12. Kuna ubaya Rais wa sasa kujiunga na CHADEMA?

    Tunakoelekea mambo yatakuwa moto kama Rais ataamua kusimamia yale anayoyaamini kuwa ni sahihi kwa taifa. habari za mitandao huko zinasema kuwa ziko harakati za kumkwamisha katika utekelezaji wake wa majukumu ya kila siku. Na ugumu zaidi ataupata kwenye chama chake CCM ambapo wanadai kuwa...
  13. Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    Kutokana kifo cha JPM, leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa. Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona. Kitendo cha taarifa nyeti za Ikulu kuvuja mitaaani kabla ya taarifa rasmi maana yake kwamba kuna mamluki wengi wamejaa Ikulu. Picha ya jeneza la JPM...
  14. Bila maombi maalum kwa Rais, hatuwezi kuishi kwa Amani na Utulivu nchini

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4 “Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
  15. M

    Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
  16. Hakutawahi kutokea Tanzania Rais kama Mzee Kikwete

    Yeereeeeeh! Kamwe katika historia ya Tanzania hakutawahi kutokea Rais kama JK. Alikuwa mtu wa watu mpole wakati wote. Vijana wa TISS na UVCCM walikuwa wanamrukia hadi mabegani. Ndie rais wa kwanza Tanzania kuvaa jeans na Tshet hadharani. Hatutawahi kumpata kama JK.
  17. Chad: Jeshi Lamtangaza Mtoto wa Rais Idriss Deby Kuwa Rais wa Mpito

    Kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby kilichotangazwa leo Aprili 20, 2021 imeelezwa Jeshi litaongoza Nchi kwa kipindi cha miezi 18, na Baraza litaongozwa na Mtoto wa Rais, Mahamat Kaka, ambaye pia anafahamika kama Mahamat Idriss Deby. Mbali na kutangaza kifo cha Rais Deby aliyekuwepo madarakani...
  18. J

    Rais ni sehemu ya Bunge; inamaanisha ndiye Mkuu wa Bunge?

    Kuuliza siyo ujinga. Mosi Rais ni sehemu ya Bunge naomba kuelimishwa maana yake kisheria zaidi. Pili naomba kuelimishwa tofauti ya Parliament na National Assemby kisheria zaidi. Ramadhan Kareem.
  19. Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  20. M

    Rais Samia akiteua huwaapisha Watendaji Ikulu, kwanini Dkt. Magufuli aliwaapisha Chato?

    Tumemwona Rais Samia akiteuwa watendaji na kuwaapisha ikulu, Hayati Magufuli aliwezaje kuapisshaa watendaji Chato?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…