rais

  1. M

    Kanisa la Askofu Charles Gadi, lamuandikia Rais Samia ujumbe mzito

    GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY BISHOP DR. CHARLES GADI PRESS RELEASE (May 12, 2021) Ndugu Waandishi, salamu – naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru kwa kuja kunisikiliza, na pia niwapongeze kwa jitihada zenu za kuelimisha jamii na taifa kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kutuhabarisha matukio mbali...
  2. B

    Tujadili Hotuba ya Mh. Rais Yoweri K. Museveni

    12 May 2021 Kampala, Uganda Ceremonies for the 6th swearing-in of President Yoweri Museveni started early in Kololo, Kampala on Wednesday 12, May 2021 President Museveni’s full speech on his inauguration for the sixth term in office Your Excellencies, The people of Uganda and myself, welcome...
  3. B

    Wakili Peter Madeleka umekuwa lini msafi hadi umfundishe Rais kazi?

    Naandika hapa nikiwa na maumivu binafsi juu ya clip ya wakili Peter Madeleka. Sipingani na hoja alizotoa kwa sababu nyingi zina mashiko na mjadala aliouibua unatija kwa haki jinai Tanzania. Kilichonisukuma kuandika ni baada yakumsikiliza akitamka haki kwenye vyombo vya habari akijitapa kwamba...
  4. Sam Gidori

    Rais Museveni aapishwa kuongoza Uganda kwa miaka mitano

    Rais Yoweri Museveni ameapishwa kwa mara ya sita mfululizo kuliongoza taifa hilo hadi mwaka 2026 katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Kololo nchini humo. Museveni amekuwa kiongozi wa nchi hiyo tangu mwaka 1986. Sherehe za uapisho zimehudhuriiwa na viongozi takriban 11 wa mataifa mbalimbali...
  5. Ileje

    Rais Samia aambiwe ukweli, vinginevyo Taifa litaangamia

    Eneo la kwanza ni kuheshimu katiba na sheria, hili ni eneo ambalo kama nchi tunataka kudumisha upendo na amani ni la kuzingatia kwa nguvu zote. Samia ameapa kulinda katiba asipofanya hivyo ni uhaini na lazima atakuja kuchukuliwa hatua bila kujali kinga za Urais. Mila na utamaduni wa Taifa lo...
  6. Papaa Mobimba

    TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  7. J

    Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  8. kavulata

    Rais Samia naomba umfariji Tundu Lissu

    Rais wetu mama, Tanzania ni ya watanzania wote, na kila RAIA ni muhimu sana kwa nchi yake. Watanzania hawana kwao kwingine ila Tanzania. Kilichompata Tundu Lissu ni vigumu kuamini kwamba yuko hai hadi Leo. Tundu Lisu amepata maumivu makubwa sana ya kimwili, kisaikolojia, kijamii na kiuchumi...
  9. Melubo Letema

    Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  10. M

    Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

    Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani. Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu...
  11. Analogia Malenga

    Rais wa Sudan Kusini atangaza bunge jipya

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amefungua njia kwa wabunge wapya na kuunda bunge lililovunjwa siku ya Jumamosi. Majina ya wabunge walioteuliwa yalitangazwa kwenye chombo cha habari cha taifa hilo, Shirika la Utangazaji la Sudani Kusini, Jumatatu usiku. Bunge la sasa linahusisha wabunge kutoka...
  12. J

    IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

    Rais Samia ànapokea hati za utambulisho wa mabalozi wateule wa nchi mbalimbali. Kazi Iendelee!
  13. Sam Gidori

    Sudan Kusini: Rais Salva Kiir avunja Bunge

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amelivunja bunge katika hatua iliyosubiriwa kwa muda mrefu, akipanga kuwateua wabunge wapya kutoka pande mbili zilizokuwa na mzozo nchini humo. Msemaji wa Kiir amewaeleza waandishi wa habari siku ya Jumapili kuwa bunge jipya litaunda muda si mrefu, ikiwa ni...
  14. Nigrastratatract nerve

    Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  15. Kipenzi Changu

    Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
  16. U

    Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
  17. M

    Mvuto wa Rais wetu ni faida kwa Taifa

    Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini . Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha...
  18. Chief Kabikula

    Rais Samia Suluhu Hassan akutane na wakosoaji wote wa CCM na Serikali yake

    Wandugu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameonyesha uungwana kwa kukubali kukutana na vyama vya upinzani kwa maslahi mapana ya nchi, tayari ameshakutana na wazee wa Dar es Salaam. Kwa uungwana huo aliouonyesha kujali makundi mbalimbali na kupata mawazo, kero, ushauri ninatabiri...
  19. M

    Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

    Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada. Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter. Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi. Philip Mpango naye...
  20. gimmy's

    Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
Back
Top Bottom