rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ampa pole Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo vya askari polisi waliouawa na Hamza, awaonya wanaofurahia!

    Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda. Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo. Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema...
  2. JamiiForums Tanzania IGP kupinga agizo la Rais, kumfokea na kumkejeli Rais -- hii ni sawa?

    Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP. Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP ni pamoja na IGP kuhakikisha kuwa anazuia vifo vya mahabusu, kuzuia matumizi ya nguvu kupindukia kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kufanya ziara mikoani

    Ni wakati sasa kwa Rais kufanya ziara mikoani kujionea wananchi wanataka nini kipindi hiki maana asilimia 60 ya Watanzania wanapitia kipindi kigumu kutokana kila mtu sasa hivi amejiachia kwenye nafasi aliyowepa watanzania sio wakupewa uhuru sana tena kwenye uongozi lazima uwe na roho ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA __________________________________ Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT, #KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
  5. JamiiForums Tanzania James mbatia afunguka mazito, awashukia vikali Rais Samia na jeshi la polisi

    Hatakama Watatuua sote hatuwezi kukubali Serikali inavyondeshwa kibabe bila kufuata Katiba, kila mtu kambale mamba masharubu tu hatuwezi kuendelea na mambo ya ajabu ajabu kama haya, kwanini hata kauli ya Amir Jeshi Mkuu haiheshimiwi!?? Tanzania tunaenda wapi??. Nasema kwa dhati kabisa kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kupaisha bei ya mbaazi kwa 3200%. Hongera sana tuko nyuma yako

    NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka karibu ( X3200 ) kutoka Shilingi Hamsini za Kitanzania hadi kufikia Tshs 1,600 mwaka huu,Mtakumbuka ni...
  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya marais wa Marekani, kipindi cha utawala, chama na makamu wa rais

    ORODHA YA MARAIS WA MAREKANI, KIPINDI CHA UTAWALA, CHAMA NA MAKAMU WA RAIS. Katika Katiba ya Marekani, Rais wa Marekani ni Mkuu wa Taifa pamoja na kuwa Mkuu wa Serikali wa nchi hiyo. Kama mkuu wa tawi la utendaji na mkuu wa serikali ya majimbo, rais ndiye mwenye cheo na madaraka makuu zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Bila ya kurahisisha taratibu zetu za uhamiaji, ziara za Rais Samia nchi jirani zitakuwa ni kazi bure

    Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko kiurahisi, lakini ajabu Tanzania taratibu za mtu kutoka nje ni ngumu sana. Kuna masuala mengi uhamiaji...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya Uteuzi wa Wakurugenzi na mthamini Mkuu wa Serikali Wizara ya Ardhi (26/08/2021)

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Mthamini wa Serikali katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. 1. Ndugu Muchi Juma Ameir ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji 2. Ndugu Juma Ameir Mgeni ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya pili ofisini Rais wa Zambia aunda team ya kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa kodi

    Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpandishe cheo shujaa wetu wa leo

    Nimemshuhudia kijana askari akiwa kwenye vazi la kiraia aliyethubutu kusogea in a close range na ku-risk maisha yake katika kukabiliana na gaidi hili. Yule kijana anahimili risasi ya gaidi na aliendelea kuwa active hadi mwisho. Those are rare soldiers we have as Tanzanians ...we are proud of him
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar es Salaam: Rais Samia akutana na Raila Odinga

    Ikulu ya Magogoni leo Mchana Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga
  14. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema aapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia

    Hakainde Hichilema ameapishwa kuwa Rais wa Taifa hilo katika sherehe ambayo imehudhuriwa ya maelfu ya watu Jijini Lusaka. Anakuwa Rais wa 7 kuongoza Taifa hilo baada ya kumshinda Edgar Lungu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 12, 2021 Uapisho wake umehudhuriwa na Marais wa Nchi mbalimbali...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hili, nampongeza sana Rais Samia

    Hamjamboni wanangu wana jamvi? Ni muda mrefu watanzania wamekuwa wakisikia viongozi wao wakienda ughaibuni bila kujua walioandamana nao. Haya mambo ya kuficha waliokuwa au wanaoandamana na viongozi kwenye ziara za nje hasa rais yalianza wakati wa Jakaya Kikwete aliyependa kuzurura huku akijaza...
  17. JamiiForums Tanzania Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

    Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM. Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

    Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo. Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikualikwa kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Mteule Zambia?

    Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo. Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameona kasoro pekee Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kuwa ni ujazwaji uliokosewa wa wagombea wa upinzani?

    Wakati akipokea ripoti ya Tume ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2020, hapo tarehe 21 mwezi huu, Ikulu jijini Dar, nilimsikia Rais Samia Suluhu Hassan, akielezea dosari alizoziita ndogo, zilizofanywa na Tume ya uchaguzi Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…