Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa...
Nimemshuhudia kijana askari akiwa kwenye vazi la kiraia aliyethubutu kusogea in a close range na ku-risk maisha yake katika kukabiliana na gaidi hili.
Yule kijana anahimili risasi ya gaidi na aliendelea kuwa active hadi mwisho.
Those are rare soldiers we have as Tanzanians ...we are proud of him
Ikulu ya Magogoni leo Mchana
Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga
Hakainde Hichilema ameapishwa kuwa Rais wa Taifa hilo katika sherehe ambayo imehudhuriwa ya maelfu ya watu Jijini Lusaka.
Anakuwa Rais wa 7 kuongoza Taifa hilo baada ya kumshinda Edgar Lungu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 12, 2021 Uapisho wake umehudhuriwa na Marais wa Nchi mbalimbali...
Hamjamboni wanangu wana jamvi? Ni muda mrefu watanzania wamekuwa wakisikia viongozi wao wakienda ughaibuni bila kujua walioandamana nao.
Haya mambo ya kuficha waliokuwa au wanaoandamana na viongozi kwenye ziara za nje hasa rais yalianza wakati wa Jakaya Kikwete aliyependa kuzurura huku akijaza...
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki...
Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo.
Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.
Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
Wakati akipokea ripoti ya Tume ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2020, hapo tarehe 21 mwezi huu, Ikulu jijini Dar, nilimsikia Rais Samia Suluhu Hassan, akielezea dosari alizoziita ndogo, zilizofanywa na Tume ya uchaguzi Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuwa ni...
Video imebeba ujumbe wote.
Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT...
Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema.
Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila...
Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza kuajiriwa katika maisha yao yote. Watu watamaliza vyuo lakini hawatapata fursa ya kuajiriwa katika...
“Kuna Mwanangu (Goodluck Gozbert) aliimba ‘hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa’, mwenye kinywa atasema tu anayotaka kusema lakini ukweli utabaki palepale, chanjo hizi za Covid-19 zinasaidia kupunguza maumivu na hatari ya vifo kwa Watu".
“Chanjo hatusemi ni kinga kabisakabisa lakini...
Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.
Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge.
Updates;
Familia ya mzee Gwajima imemtaka waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima ambaye ni mke wa mtoto...
Mheshimiwa wa rais Dr Jakaya Kikwete nikivutio duniani kwa sasa baada yakuwa ni kiongozi wa kipekee Afrika na duniani,
Kwanza anaitwa/anajita Dr Jakaya Kikwete wakati hajawahi kusoma popote duniana na hatasoma milele kwa ngazi hiyo ya PHd,
Pili ni rais pekee Afrika anaeongoza kwakusafiri...
Rais wa zamani wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez amefanya jaribio la kujiua akiwa jela siku moja baada ya kufunguliwa mashtaka ya "mauaji ya halaiki" kutokana na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mwaka 2019.
Mmoja ya mawakili wa Anez, Jorge Valda, amesema kiongozi huyo wa zamani ambaye...
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum...
Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima.
Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH.
Chanzo: StarTV medani za siasa.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake.
Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana...
Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno.
Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo.
Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.